ndani

The Dani people, also spelled Ndani, and sometimes conflated with the Lani group to the west, are a people from the central highlands of western New Guinea (the Indonesian province of Papua).
They are one of the most populous tribes in the highlands, and are found spread out through the highlands. The Dani are one of the best-known ethnic groups in Papua, due to the relatively numerous tourists who visit the Baliem Valley area where they predominate. "Ndani" is the name given to the Baliem Valley people by the Moni people, and, while they do not call themselves Dani, they have been known as such since the 1926 Smithsonian Institution-Dutch Colonial Government expedition to New Guinea under Matthew Stirling who visited the Moni.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Watu zaidi ya 30, wakiwemo Askari wa Jeshi la Polisi, wamefariki Dunia katika ajali Morogoro

    Watu zaidi ya 30, wakiwemo askari wa Jeshi la Polisi, wamefariki dunia na wengine 37 kujeruhiwa katika ajali mbili tofauti zilizotokea usiku wa kuamkia leo mkoani Morogoro. Akizungumzia ajali hizo, Kamanda wa Polisi Mkoa wa Morogoro, Andrew Kantimbo, amesema ajali ya kwanza imetokea eneo la...
  2. JamiiForums Tanzania MIRADI 14 MIKUBWA YA MADINI KUFUNGUA FURSA KWA MAKAMPUNI YA NDANI

    Miradi 14 mikubwa ya madini nchini inatarajiwa kufungua fursa zaidi kwa makampuni ya ndani kushiriki katika mnyororo wa thamani wa sekta ya madini. Kwa kuwa soko la ununuzi wa bidhaa na huduma katika sekta hiyo linakadiriwa kufikia takriban TSh trilioni 5.1 kwa mwaka, lengo ni kuhakikisha hadi...
  3. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ilianzia Kama Utani: Raia wa Nigeria Afariki Angani Akirejea Nyumbani Ndani ya Ndege ya Kenya Airways"

    Tukio la kusikitisha limetokea angani ndani ya ndege ya shirika la Kenya Airways (KQ) iliyokuwa ikisafiri kutoka Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Jomo Kenyatta (JKIA), Nairobi kuelekea Lagos, Nigeria, baada ya abiria mmoja wa kiume kupoteza maisha kabla ya ndege hiyo kutua. Jinsi Tukio...
  4. JamiiForums Tanzania Tukubaliane ndugu zangu Noise Pollution ni tatizo sugu ndani ya nchi yetu.

    Kwa tafsiri isiyo rasmi kwa Kiswahili inafahamika kama Uchafuzi wa kelele. Uchafuzi huu wa kelele vyanzo vyake vikuu ni: 1. Milio ya honi na sauti zisizo za kawaida za vyombo vya moto hususani magari, pikipiki, nk. 2. Sauti zitokanazo na vipaza sauti vilivyo simikwa juu ya nyumba za ibada...
  5. N

    JamiiForums Tanzania Jamiiafrica inapaswa kuwa mstari wa mbele kukuza teknolojia za ndani wao ni walezi na wakongwe kwenye tasnia

    JamiAfrica na Ukuaji wa Teknolojia za Ndani JamiAfrica inapaswa kuendelea kuwa mstari wa mbele katika kukuza na kuunga mkono teknolojia za ndani. Kama mmoja wa walezi na wakongwe katika tasnia, JamiAfrica imekuwa na mchango mkubwa kwa jamii na Afrika kwa ujumla katika nyanja mbalimbali, ikiwemo...
  6. JamiiForums Tanzania Haya matukio ya mauaji ya wanawake ndani ya wiki moja tunaenda wapi wee mapenzi?

    Mwanasheria Keneth Nkiko (28) anatuhumiwa kumuua Magreth Richard (22), mfanyabiashara na mkazi wa Manispaa ya Musoma. Uchunguzi wa awali kutoka Jeshi la Polisi, umebaini chanzo cha tukio hilo ni wivu wa mapenzi ambapo mtuhumiwa alikuwa akimtuhumu mpenzi wake huyo kuwa na mahusiano na wanaume...
  7. JamiiForums Tanzania Human Nature

    Hello Great thinkers 🫡 Mwanadamu ana baadhi ya mambo ambayo huwa yanatokea ndani yake bila yeye kuyapanga au kuyachagua kwa makusudi(Unakubaliana na mimi?) Hayo tunaweza kuyaita Human Nature asili ya mwanadamu Mfano: Kupenda : binadamu anaweza kujikuta anampenda mtu au kitu bila hata...
  8. JamiiForums Tanzania Mgogoro ni mkubwa ndani ya ndoa.

    Mzazi amesomesha watoto wake wakiume ni wrngi wasichana wwchache. Familia zikiwa nq tabia eti kwa sabab amesomeshaz ndio Madume ya miaka 34 yajazane nyumbni kwangu? Ile kuja na kusalimia sio mbaya, tatizo ni kambi. Hata kupata tunda inakuwa aibu? Kibaya ambacho ni kizuri hakuna dada...
  9. JamiiForums Tanzania Mmuya aagiza kasi upatikanaji wa hati za ardhi sasa kupatikana ndani ya saa 48

    ★ Aelekeza kuanzishwa Kliniki ya Upimaji wa Mashamba ★ Awasisitiza wawekezaji kuendeleza maeneo yao kuepuka migogoro Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Mhe. Kaspar Mmuya, amesema kipaumbele cha Wizara kwa sasa ni kuongeza kasi ya utoaji wa hati za miliki za ardhi ili...
  10. JamiiForums Tanzania Hayati Mkapa: Makosa yangu yalisababisha mafisadi kujenga ngome ndani ya Chama cha Mapinduzi

    Hayati Benjamin Mkapa Katika kitabu chake "My Life, My Purpose" (2019) Ameeleza maeneo aliyofeli kama kiongozi 1. Kufeli Kukubwa Kuliko kote: Ubinafsishaji (Privatization) Anasema "Nilifanya Haraka Sana" "Tuliamini soko huria litatatua kila kitu. Tuliuza viwanda 400 kwa bei ya hasara...
  11. T

    JamiiForums Tanzania Apartments kali zagundulika kuwepo kinyume cha sheria ndani ya gereza huko Indonesia

    Maafisa watano wa gereza Nchini Indonesia wamesimamishwa kazi baada ya uchunguzi kubaini uwepo wa vyumba vya kifahari vinavyofanana na ‘apartments’ ndani ya Gereza la Cibinong, lililopo Bogor karibu na Jakarta, ambavyo vinadaiwa kutumiwa na baadhi ya Wafungwa. Kwa mujibu wa uchunguzi...
  12. JamiiForums Tanzania Vipi tutaondosha migogoro ndani ya ndoa zetu...

    Makala ya Kwanza: Siri ya Ndoa: Kwa Nini Mume Ndiye Mboreshaji na Mke Ndiye Mlinzi? Katika ulimwengu wa leo, mafanikio ya ndoa hayaji kwa bahati mbaya, Bali yanahitaji uelewa wa kina wa kisaikolojia—kile tunachoweza kukitea sayansi ya ndoa. Katika misingi ya kudumu...
  13. JamiiForums Tanzania Vita ya kuwania madaraka ya urais 2030 ndani ya CCM inaweza kuleta anguko lake

    Kwa mara ya kwanza katika historia CCM itaelekea katika uchaguzi wa urais mwaka 2030 bila kuwa na mgombea yeyote maarufu, mwenye ushawawishi au anayeweza kubebwa au kujificha chini ya kanuni za utamaduni wa chama wa "muendelezo" wa Rais aliye madarakani. Hii inaweza kuwa fursa kubwa sana ya...
  14. W

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania "SISEMI! MAKUBALIANO YETU NA DANGOTE YATABAKI SIRI” - Rais Ruto Akataa Kuweka Wazi Kilichoko Ndani.

    Rais William Ruto sasa amesema makubaliano kati ya Serikali ya Kenya na Mfanyabiashara Aliko Dangote kuhusu Refinery ya Lamu hayatawekwa wazi, huku akimuelekeza yeyote anayetaka kuyaona kutumia utaratibu wa Bunge kuyaomba. Kauli hii inakuja wakati mradi huo wa takriban Shilingi trilioni 2.2...
  15. JamiiForums Tanzania Humu ndani kuna mtu nampenda nisaidieni kumwambia

    Mimi sio domo zege ila nahisi kawahiwa
  16. K

    JamiiForums Tanzania Mtego wa Misaada ya Afya na Mapinduzi ya Kulinda Data: Ndani ya Uamuzi wa Ghana Kuisikitisha Marekani na Mtihani wa Kiutawala wa Tanzania

    Habari Kuu: Ghana Yaupiga Chini Mkataba wa Dola Milioni 109 Serikali ya Ghana, chini ya Rais John Dramani Mahama, ilikataa rasmi mkataba wa afya wa miaka mitano wenye thamani ya dola milioni 109 (zaidi ya bilioni 300 za Kitanzania) uliopendekezwa na serikali ya Marekani. Uamuzi huo...
  17. JamiiForums Tanzania Tutumie siku ya kahawa duniani Leo october Mosi kunywa kahawa kukuza soko la ndani

    Leo Oktoba Mosi ni Siku ya Kahawa Duniani na kwa Tanzania ina maana kubwa sana. Umuhimu wake kwa Soko la Ndani: 1. Kutoka Kulima kwa Wazungu kwenda Kunywa kwa Watanzania Ukweli mchungu: Tanzania inazalisha tani 70,000 kwa mwaka, lakini 92-93% inaenda nje,.mtanzania mmoja anakunywa kikombe...
  18. JamiiForums Tanzania Kama dini yako inakufundisha kuwa kuua mtu kunaweza kukupeleka mbiguni basi tambua haupo kwenye dini bali upo ndani ya CULT

    CULTC usually means a group with strong devotion to a particular leader, belief, or ideology, often involving unusual or extreme practices.
  19. JamiiForums Tanzania Waziri wa mambo ya ndani Patrobas Katambi anadanganya umma na madereva

    ANADANGANYA kusema kwamba tatizo ni Sheria ya Bunge ,kwamba yeye hawezi ifuta. Tatizo wala sio Sheria ya usalama Barabarani ,Sheria ipo wazi kabisa,Sheria ya usalama Barabarani (Road Traffic Act ) Sura No.168 toleo la 2023 kifungu cha 31(1) kinasema hivi , " For the purpose of ensuring...
  20. JamiiForums Tanzania Kwanini Iran haishambulii ndani ya mipaka ya Israel?

    Dhidi ya dhana kwamba Iran haishambulii ndani ya mipaka ya Israel, ukweli ni kwamba Iran imeshawahi na kuendelea kushambulia moja kwa moja ndani ya mipaka ya Israel kwa kutumia makombora na ndege zisizo na rubani (droni), kama ilivyotokea Aprili 2024 na katika wimbi la mashambulizi ya baadaye...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…