makpridash
Member
- Sep 18, 2026
- 49
- 86
Mzazi amesomesha watoto wake wakiume ni wrngi wasichana wwchache.
Familia zikiwa nq tabia eti kwa sabab amesomeshaz ndio Madume ya miaka 34 yajazane nyumbni kwangu? Ile kuja na kusalimia sio mbaya, tatizo ni kambi.
Hata kupata tunda inakuwa aibu? Kibaya ambacho ni kizuri hakuna dada anamchukia ndguye eti kisa mume. Hiyo inabakia hivyo. Mke lazima apende ndgu zake ndio kipimo cha kujali, but not like kijana anahamia kwa kisa dada yao anamshahara basi amenunua bati, kokoto nk. Wabongo Wana hisia za kisengerema. Hakuna anayesema hivyo ila jeuri ya kijana kuganda mwaka miaka kwa dadaake. Si ishara mbya hiyo?
Anafikia hatua eti tuwajengee Banda nje wakinja wasisumbue ndani, nimekataa kujenga servant quatas. Ninajenga jengo langu nipangishe. Na nijenge nje ya hapa chumba cha watoto, cha masters jiko, hata sebure siweki jiko ndio hiyo hiyo open kitchen. Hakuna kupe yoyote atie mguu.