The Dani people, also spelled Ndani, and sometimes conflated with the Lani group to the west, are a people from the central highlands of western New Guinea (the Indonesian province of Papua).
They are one of the most populous tribes in the highlands, and are found spread out through the highlands. The Dani are one of the best-known ethnic groups in Papua, due to the relatively numerous tourists who visit the Baliem Valley area where they predominate. "Ndani" is the name given to the Baliem Valley people by the Moni people, and, while they do not call themselves Dani, they have been known as such since the 1926 Smithsonian Institution-Dutch Colonial Government expedition to New Guinea under Matthew Stirling who visited the Moni.
Msaidizi wa Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu, David Jumbe, anasimulia kwa kina matukio yaliyomkuta kabla na baada ya uchaguzi wa Oktoba 29, 2025, akidai kuwa alipokea vitisho, alifuatwa nyumbani na baadaye kutekwa na watu aliowatuhumu kuwa maafisa wa vyombo vya usalama.
Katika mahojiano haya...
Nyie wanaCCM msiokubaliana na yanayoendelea nchini, uoga wenu ndiyo kitanzi cha tsifa hili. Ni lazima mpandishe joto la kisiasa nchini ili muafaka wa kitaifa upatikane.
Tokeni kwenye mashimo yenu ya woga na hofu, mje mtoke hadharani mseme, mkemee, mshauri na mtoe misimamo. La sivyo atanyakuliwa...
Mji mdogo wa Bomang'ombe, uliopo Wilaya ya Hai, Mkoa wa Kilimanjaro, umekuwa ukikua kwa kasi katika miaka ya hivi karibuni. Hata hivyo, ukuaji huu umeletwa na changamoto kubwa ya uanzishwaji wa viwanda vidogo katikati ya makazi ya watu, jambo linaloathiri utulivu na maisha ya wananchi.
Kumekuwa...
Anonymous
Thread
hai
makazi
makazi ya watu
mdogo
mji
nani
ndani
viwanda
viwanda vidogo
Kuna viongozi wanaotoka upande wa Tanzania bara katika serikali hii ya awamu ya sita chini ya Raisi Samia ambao wananchi wa Tanzania bara wanawaona kuwa wasaliti wakubwa wa Tanzania bara, au kama wanavosema "wasaliti wa Tanganyika".
Siku ikifika yakawakuta ya kuwakuta msije mkamlaumu mtu, kwa...
Tunaendelea kuuenzi Muungano wetu wa Tanzania, ambao baba yetu wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere ndiye Muasisi.
Zanzibar kama upande mmoja wa Muungano tunawapa pongezi kwa kuendelea kuunogesha Muungano kwa kuweka mifumo yenye kujali usawa zaidi. Na huo ndio Muungano tunaoupenda...
awamu
ccm
dawa
hatua
hatuna
hii
ili
imara
jitihada
kuimarisha
mfumo
muungano
nafasi
ndani
nguvu
sawa
system
taifa
tanganyika
unyonge
usawa
vingi
viongozi
viongozi wa ccm
vizazi
wana
wana ccm
wasiwasi
watanganyika
wazanzibari
Kama kuna jambo moja ambalo Samia linamshinda katika uongozi wake, ni kuwa na uwezo wa kuona mbali katika baadhi ya maamuzi yake na kuletea kujijengea maadui wengi sana wa kisiasa. Kwa mfano, hadi sasa, hawa huwezi tena kuwaita watu wa Samia, pamoja na wale wanaowaunga mkono
Dr. Nchimbi...
Hatimaye, Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk Emmanuel Nchimbi, amejiuzulu wadhifa wake baada ya miezi ya tetesi, mijadala ya kisiasa na mashambulizi yaliyokuwa yakimlenga ndani na nje ya Chama Cha Mapinduzi (CCM).
Taarifa ya kujiuzulu kwake imetumwa kwenye akaunti zake za X...
Wiki hii imeanza kwa wafuasia wa Lissu na Heche kumshambulia vikali mwasisi wa CHADEMA mheshimiwa Freeman Aikael Mbowe baada ya yeye kuhudhuria sherehe za uzinduzi wa bwawa la umeme la Nyerere. Kiukweli Mbowe kadhalilishwa sana kwa siku kadhaa. Ninampongeza kwa ukimya wake kuonyesha ukomavu wa...
WanaCCM mtandao ambao walishaligeuza taifa letu shamba la bibi watazidiwa nguvu.
Wazalendo wa kweli watashinda. Mtifuano huu unakwenda kuliponya taifa letu.
Najua inaweza kuwa oversight, akapitiwa, lakini kwenye kitu sensitive kama hiki ku determine RIGHTS za watu hapashwi kufanya kosa hili!, kupitiwa. Ya ndani tusiyoyaona yakoje?
Anapoandika proceedings anaandika vitu gani? vina reflect wanachokisema parties and their witnesses correctly? This is...
Kwa mfano we cheki,
mwenyekiti wake taifa kukutwa ana kesi ya kujibu tofauti na walivyotarajia kwa kujiiga kifua sana tu kwamba hakuna lolote n.k, na kwahivyo wameumbuka hadharani na hiyo maana yake mwenyekiti huyo ataendelea kusota korokoroni. Huenda mkosi huu unatokana na utamaduni wa kiburi...
Wajibu mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi kwa wasanii unajikita katika kusimamia ulinzi na usalama wao, kuratibu vibali vya ukaazi na kazi kwa wasanii wa kigeni, na kusajili vyama au mashirikisho yao ya sanaa.
Tofauti na Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo ambayo inashughulika na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.