The Dani people, also spelled Ndani, and sometimes conflated with the Lani group to the west, are a people from the central highlands of western New Guinea (the Indonesian province of Papua).
They are one of the most populous tribes in the highlands, and are found spread out through the highlands. The Dani are one of the best-known ethnic groups in Papua, due to the relatively numerous tourists who visit the Baliem Valley area where they predominate. "Ndani" is the name given to the Baliem Valley people by the Moni people, and, while they do not call themselves Dani, they have been known as such since the 1926 Smithsonian Institution-Dutch Colonial Government expedition to New Guinea under Matthew Stirling who visited the Moni.
Mnamo Mei 2019, Adeleye, mama aliyekuwa mfanyakazi wa kulea watoto mwenye umri wa miaka 73 kutoka nchini Nigeria, alihukumiwa kifungo cha miaka 15 jela huko Prince George’s County, Maryland, Marekani. Adeleye alipatikana na hatia ya mauaji ya second degree muder na unyanyasaji wa mtoto wa...
Unakopa "Chupi Mkononi" Kisa Shughuli, Sasa Hivi Unakaa Ndani Dakika 10 Unakimbia!
Ukienda kwenye kamusi ukitafuta maana ya ulimbukeni, picha ya Mama Mwajuma ndio inatakiwa iwekwe pale kama mfano halisi
Mwanamke mzima, akili ndogo kama ya kuku, anahangaika usiku na mchana kuonyesha mtaa mzima...
Kwa maoni na mtazamo wako,
unadhani vita hivi baridi vya maneno kisiasa, baina ya mafahali hawa wawili wa kitaifa ndani ya chadema,
Je, inakwenda kukigawanya na kukisambaratisha chama au inakwenda kukimarisha chama na kua imara na bora zaidi? Kivipi kwa mfano?
Nani anaweza kua changamoto zaidi...
JOSE, DUME ZIMA UNARUHUSU VIPI MKEO AFANYE BAA, HALAFU UNATULILIA ANARUDI SAA NANE ZASIKU 👇
Hapa mtaani kwetu tuna kiumbe mmoja anaitwa Jose.
Dume zima lenye ndevu na sauti nene, lakini kila siku linatuzunguka majirani kutulilia shida zake za kijinga. Hivi juzi kati Jose anakuja kwangu akiwa...
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Lissu, anaendelea kukabiliwa na kesi ya uhaini katika Mahakama Kuu, Masjala Ndogo ya Dar es Salaam. Anashtakiwa kwa kauli alizotoa Aprili 3, 2025, kwenye mkutano wa chama ambazo upande wa mashtaka unadai zilikuwa na nia ya kuchochea uasi...
Msifanye mzaha kwenye maisha ya watu, nampa Rai Katambi, ndani ya wiki moja awe ametoka hadharani na kueleza Dkt. Nchimbi yuko wapi na yuko salama.
Isizidi hata wiki moja, kama hatafanya hivyo tutafuata taratibu za kisheria kuiburuza serikali Mahakani.
Habari za muda huu wana-JF!
Leo kwenye jukwaa letu la Entertainment (Burudani), nataka tuangazie kidogo tasnia ya muziki wa Dansi kutoka Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC). Mara nyingi tukitaja muziki wa Kongo, majina yanayokuja haraka vichwani mwetu ni ya waimbaji au wapiga gitaa wa kiume...
MSHANA JR UMEOKA AU BADO UPO KWENYE HII FANI,KUNA JAMBO NATAKA TUMFANYIE MTU MMOJA UMU NDANI
Mtu wa vizinga secretarybird
Tumfute alafu tumchole Tena Kisha tumueke na tutitiii sa 6 palipo bak tuachie masela kumsumbua full approach aloo 😂😂😂😂😂🏃🏾♂️🏃🏾♂️🏃🏾♂️
Niachen jaman msinikalipie NALUD...
Wakuu kwa wazoefu wanajua Hii code
Kwa waliowahi kutoka na wake za Watu amini nakwambia,hao watoto uliobahatika kuzaa hao ndio ndugu zako,faraja yako wekeza nguvu hapo,ila huyo kiumbe wa pembeni amini nakwambia huyo ndio adui yako wa kwanza,sio jana sio leo sio kesho ipo hivyo,
Kwa waliowahi...
Mwanaume wa miaka 32 amekamatwa Nairobi baada ya kudaiwa kutoa matamshi yaliyowalenga raia wa Burundi wanaoishi na kufanya kazi Kenya, katika kipindi ambacho mjadala kuhusu wafanyabiashara wa kigeni tayari umeibua hofu miongoni mwa baadhi ya wahamiaji.
Kwa mujibu wa DCI, Kevin Odiwuor Otieno...
Kuna msemo kwamba "don't judge book by its cover"
Sawa na usimhukumu mtu kwa mwonekano wake;
Kisaikolojia sivyo wanadamu wanacyofanya kazi.
Kama mtu humjui na hujapata nafasi ya kuongea naye (hajajitambusha kwako), utamhukumu kwa namna utakavyokuwa ukimuona.
Na mchakato huo hufanyika ndani...
Mnakumbuka MH Polepole ?.
Kile alichokifanya kwanza , kujiuzulu nafasi zake zote, kisha akaanza kukosoa UOVU wa CCM , kilikua na Thaman sana, na Watanganyika Wakamuamini 100% na Ule Ukweli alikua anauzungumza MH Polepole, ndio Ukweli ulowafanya Watanganyika Wadai NCHI yao Oktoba 29 2025...
Na. Philipo Hassan - Kilimanjaro
Waziri wa Maliasili na Utalii, Dkt. Ashatu Kijaji (Mb), leo Septemba 5, 2026, ametembelea eneo ulipozuka moto ndani ya Hifadhi ya Taifa Kilimanjaro kwa lengo la kujionea hali ya eneo hilo na hatua zinazochukuliwa kudhibiti na kuzima moto huo.
Akizungumza baada...
Msimu wa Saba wa kampeni ya kuhamasisha unywaji wa kahawa umezinduliwa rasmi huku msisitizo mkubwa ukiwa kwa watanzania kujenga utamaduni wa kunywa kahawa ikiwa ni mkakati wa kukuza soko la ndani .
Uzinduzi huo umefanyika September 4,2026 kwenye makao makuu ya Bodi ya Kahawa...
Kama kuna kitu mpaka sasa utakuwa umegundua kwa Tanzania ni kwamba ni watu ambao hawapendi sana kwenda nchi za watu.
Yeah wabongo wanaenda sana Dubai (UAE) na China lakini huwa wanaenda kwa biashara zao na kurudi Tanzania. Watanzania wanaosafiri kwenda kuishi nchi za mbali, au hata kutalii tu...
Kama namwona Samuya huko aliko akitukana, akisonya, na kuvimbisha mashavu yake.
Mange afungua shauri dhidi ya kampuni ya Meta ambayo ndo inamiliki Instagram, WhatsApp, na kadhalika.
Tazama hiki kipande cha runinga ya Firstpost.
https://youtu.be/5zEttYOuyvA?is=8j15o65At_8zjVQv
Wakuu poleni na majukumu naomba mrejee kama kichwa kinavyo jieleza hapo juu. Ni hivi nahitaji niweze kuzisoma kupitia android tablet niitumie mbinu gani?
Habari wakuu,
Mimi ni mwanaume wa miaka 27, muajiriwa serikalini. Mrefu kiasi na mweusi. Mkristo
Ombi langu kwenu ndugu zangu nahitaji mwanamke ambae atakuwa mchumba kwa lengo la ndoa baadae.
Kwa yeyote ambae ako tayari tuwasiliane DM au kama mtu anadhani atanifaa pia anakaribishwa DM.
Sifa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.