nchini

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Orketeemi

    JamiiForums Tanzania Bado Mo Dewji ndiye tajiri namba moja nchini?

    Kwa Mambo makubwa makubwa anayoyafanya Mzee Bakhressa kwenye soka letu naamini ni kichekesho cha Mwaka kuamini Mo Dewji ndie tajiri namba moja nchini. Kimsingi orodha ya Matajiri nchini inapaswa kuwa hivi... 1. Said Salim Bakhressa 2. Said Salim Bakhressa 3. Said Salim Bakhressa 4. Said...
  2. Wildlifer

    JamiiForums Tanzania Historia ya Muziki wa Rumba nchini Kongo (Rumba Congolais)

    Salam wanaJF. Katika uzi huu nitaelezea Historia ya Muziki wa Rumba la Kikongo. Hii itagusa Congo zote mbili yaani Kongo Brazzaville na Kongo Kinshasa. Huu ni mkusanyiko kutoka vyanza mbalimbali, na hasa imehamasishwa na Mtafiti wa Chimbuko na asili ya Muziki (Ethnomusicologists), Masoud...
  3. Underthesea

    JamiiForums Tanzania Familia kubwa kuliko zote nchini Uingereza inayoishi nyumba moja (watoto 22)

    The Radford Family Noel (50) na Sue (46) Radford walikuwa mayatima na walikutana wakiwa wadogo. Sue alipata mimba akiwa na umri wa miaka 14 huku Noel akiwa na 18. Walikaa bila kongeza mtoto hadi walipooana binti akiwa na miaka 17. Tangia wakati huo karibu kila mwaka Sue huwa na ujauzito...
  4. B

    JamiiForums Tanzania Tuwatambue wanaohujumu vita dhidi ya Covid-19 nchini

    Hatimaye serikali ya awamu ya sita ilitangaza rasmi uwepo wa ugonjwa hatari wa Corona hapa nchini. Hii ikienda sambamba na kutolewa kwa maelekezo thabiti ya hatua gani za kuchukuliwa tunaposubiria kuwasili kwa chanjo. Hatua hii ni njema kabisa ya kupongezwa na kila mzalendo na hasa kila...
  5. P

    JamiiForums Tanzania Vyama vya siasa nchini haviwezi kukua,vitakuwa vinachipukia kuweka mapingamizi kwenye uchaguzi

    Kumzuia mama mjamzito asipate vyakula bora tangu mimba ilipotunga halafu unampa mlo bora mwezi wakujifungua wewe ni muuaji kwa mama na mtoto.
  6. Fatma-Zehra

    JamiiForums Tanzania Bei za mafuta zimelenga kudhoofisha uchumi na kuleta vurugu nchini

    Kuanzia tarehe 1 July, bei za mafuta, kuanzia petrol, diesel, kerosene zitapanda kwa kiwango kisicho na chembe ya uungwana. Maisha yatapanda. Mfumuko wa bei utapanda wakati kodi zitashuka maana hali naiona siyo nzuri sana. Kushuka kwa kodi pamoja na kupanda kwa gharama za maisha italeta...
  7. P

    JamiiForums Tanzania Siasa imeharibu miradi ya maji kichefuchefu nchini

    Miaka nenda rudi majimaji,maziwa,mito na mabwawa yamejaa. Wamisionari walijenga miradi ya maji miaka mingi lakini bado inadumu na inafanya kazi. Miradi kichefuchefu nani husababisha.
  8. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Mwaka huu ( 2021 ) Israeli Mtoa Roho anaupiga mwingi sana kwa wenye Majina yao nchini Tanzania

    Nimekutana na bonge la Foleni Daraja la Kijazi wakati nikitokea Stendi ya Magufuli ili niwahi kupita Daraja la Mfugale kuelekea Nyumbani tayari kwa Kujiandaa na Safari yangu ya kwenda Mkoani Dodoma Kesho ili nikatembelee pia Soko la Ndugai ambalo nasikia kutokana na lilivyoharibika japo...
  9. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu: Nitarudi nyumbani ikiwa Rais Samia ataahidi kuwa nitakuwa salama nikirudi nyumbani

    Aliyekuwa mgombea wa urais wa Tanzania mwaka 2020 kupitia CHADEMA, Tundu Lissu amesema kwa sasa CHADEMA agenda yao kuu ni Katiba Mpya ambayo wataendelea kupambania kama chama. Aidha amesema mapambano ya Katiba Mpya anaweza kuyafanya nchini ikiwa Rais Samia atamuita na umhakikishia usalama...
  10. P

    JamiiForums Tanzania Kinga ya kutoshitakiwa kwa viongozi wa mihimili nchini ni wizi na uhujumu uchumi

    Ni sheria gani inamtaka mtumishi/mwanasiasa awe na kinga yakutoshitakiwa? Kwa Siku 100 kuna mambo mengi yanajidhihirisha kikiuka sheria kwa kigezo cha kinga. Kama kodi nyingi zinatumika kulisha mahabusu na wafungwa wengi wasio na hatia lipo tatizo kubwa kama nchi kuanza kufundisha elimu ya...
  11. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Mkutano Mkuu wa Yanga SC leo umeharibiwa na shabiki wao aliyesema Klabu ya Real Madrid inatokea nchini Ufaransa

    Kuna Utafiti uliwahi Kufanywa na ukaja na Matokeo kuwa 90% ya Mashabiki wa Yanga SC ni Mbayuwayu ( Watupu Vichwani ) wengi Wetu ( hasa Wadau wa Soka) nchini tukabisha na kukataa ila leo tumejiridhisha na Kuamini. Katika hali ya Kushangaza (ambayo kamwe hutoweza kuikuta kwa Mashabiki Werevu tupu...
  12. Ziroseventytwo

    JamiiForums Tanzania Jerry Nashon dudumizi ndio mwimbaji bora wa wakati wote. Nimejiridhisha

    Siyo Marijan Rajab. Wala siyo Hemedi Maneti. Pia si Eddy Sheggy. Gurumo, Moshi, Bitchuka na wengineo wenye uwezo aliokuwa nao Dudumizi, Jerry Nashon. Msikilize kwenye vibao kama Imakulata, pesa ndio inasababisha, Tereza, ndio utajua namaanisha nini. Nimejiridhisha bila shaka yoyote kwamba...
  13. CCM Music

    JamiiForums Tanzania Rais Samia, tumia ARDHI kwa njia hii kukabiliana na changamoto ya ajira nchini

    Haka kajamaa kakajengewa hata sanamu DSM kule city centre ama hata Dom. Yupo vizuri, sema nimegundua sio muandishi mzuri lakini ana vision. Halafu ukute ni jobless hahahahahaha ndio atajua hajui. Am joking guys! Ametoa madini si mchezo yaani. Kila mtu ajisomee PDF hapo down. Nina wasiwasi...
  14. CCM Music

    JamiiForums Tanzania Rais Samia, hivi ndivyo ambavyo unaweza kutumia BAHARI kuondoa tatizo la ukosefu wa Ajira nchini

    Sina maelezo mengi, PDF ya jamaa inajieleza zaidi. Sijui huyu ndio Kigogo au sijui ni nani. 1/10SHIRIKA LA KAZI TANZANIA (TANZANIA LABOUR CO-OPERATION) (Kumradhi Mama, naomba niandike kwa lugha za vijana wa mitandaoni)Mama Shikamoo!Mama, nilifurahi uliposema unataka kufungua nchi...
  15. CCM Music

    JamiiForums Tanzania Rais Samia, tufuate utaratibu huu; migogoro yote itaisha nchini

    Naam, jamaa ni yule yule sijui ni wale wale I don't know. Namna ya kutatua migogoro ya Ardhi nchini. Jisomee mwenyewe. Halafu, wapinzani njooni kosoeni tuone hoja zenu na CCM tuchukue ========== MIGOGORO YA ARDHI – TANZANIA (Kumradhi Mama, naomba niandike kwa lugha za vijana wa...
  16. May Day

    JamiiForums Tanzania Serikali ishugulikie kushamiri kwa uuzwaji wa vifaa vya nyumbani ambavyo vimekwishatumika

    Ninaliona hili kwa hapa Arusha na sijajua kama Serikali inaufuatiliaji wa kujiridhisha uhalali wa kila kinachouzwa kwenye hizi yadi. Kumekuwa na masoko yanayoibuka yaliyosheheni vifaa/vyombo mbalimbali kama Majiko, Meza, Vitanda, Magodoro, TV, Feni n.k. Ningetamani kama inawezekana kuanzishwe...
  17. L

    JamiiForums Tanzania Chanjo ya COVID-19 kwa wafanyakazi wa Mashirika ya Kimataifa yaliyoko nchini iratibiwa na nani?

    Baada ya Mheshimiwa Rais Samia Suluhu Hasani kuruhusu chanjo ya COVID-19 nchini baada ya kushauriwa na watalaamu wetu, na kwamba mashirika ya kimataifa yalioko hapa nchini yanaruhusiwa kufanya chanjo hiyo kwa wafanyakazi wake. Sasa kitu ambacho sijakielewa/Sikifahamuni kuwa je ni hospitali gani...
  18. M

    JamiiForums Tanzania Njia rahisi za kuupata/kuukosa Ukuu wa Wilaya nchini

    #kwa jina la jamhuri ya muungano wa tanzania. Kwa ufupi njia rahisi za kuukwa nafasi ya kuteuliwa kuwa mkuu wa wilaya nchini ni 1)uwe ni mwanachama wa chama cha upinzani nchini na hasa chadema,halafu ukiwa kwenye chama hiki uwe mkosoaji mkubwa wa chama tawala ccm.Wewe kwenye mitandao,mikutano...
  19. B

    JamiiForums Tanzania Rais Samia, una taarifa za changamoto ya mifumo ya TEHAMA nchini hasa kukosekana kwa huduma ya malipo up (control number)?

    Ni takribani mwezi Sasa malipo ya serikali hayafanyiki kwenye taasisi mbalimbali baada ya kile kinachodaiwa mfumo wa hazina unaotoa control number kushindwa kufanya hivyo. Kutokana na changamoto ya control number fedha lazima zitakuwa zinapigwa kwa sababu huduma zinatolewa manually kitu ambacho...
  20. Ileje

    JamiiForums Tanzania Hivi kweli Rais Samia umedhamiria kuleta maendeleo nchini?

    Kwa namna ulivyoteua ma-DC sioni kama uko serious. Nafasi ya u-DC inashuka hadhi kila kukicha, kwa sababu inaonyesha kila mtu anaweza kitu ambacho si kweli. DC ni mtu ambaye anatakiwa atoe dira ya maendeleo ya wilaya yake lakini kwa baadhi ya hawa uliowateua ni sawa na wapiga debe wa daladala...
Back
Top Bottom