nchimbi

Emmanuel John Nchimbi (born 24 December 1971) is a Tanzanian CCM politician and was a Member of Parliament for Songea Town constituency from 2010 to 2015. Currently, he is Chama Cha Mapinduzi General Secretary. He was the Minister of Home Affairs.

View More On Wikipedia.org
  1. Q

    JamiiForums Tanzania Kishindo cha vikwazo kesho, Nchimbi na Kombo wapo Marekani, Samia yupo Dubai

    Bunge la seneti la Marekani kesho linatarajia kukaa na kuujadili mswada kuhusu mahusiano yetu na Marekani. Makamu wa Rais na Waziri wa Mambo ya Nje wa Tanzania wapo huko kujaribu kubadilisha upepo. Kwa mujibu wa chapisho la The Africa Report, chini ya kichwa cha habari, "US-Africa Week Ahead...
  2. JamiiForums Tanzania Tetesi: JasusiTV: Hatimaye yamekuwa. Hoja ya kum - impeach VP Dr Emmanuel Nchimbi yaweza kusomwa wakati wowote katika bunge hili la bajeti!

    https://youtu.be/ZY0-McsJUgM?si=BKQSHy6agElfKKdu Eti na mwisho wake uwe hivi👉🏻: Kwamba, Albert Bashite Malyangili a.k.a Paul Makonda ndiye achukue nafasi ya Dr Emmanuel Nchimbi - awe Makamu wa Rais🤔🤔 Acha ncheke 😁😁na kusikitika miye.. ======================= Ni patamu hasa. Ni mpambano mkali...
  3. R

    JamiiForums Tanzania Hivi, Team Samiah (Russia, China na Umoja wa Falme za Kiarabu na washirika wake)vs Dkt. Nchimbi (USA, European union, Israel, Vatican) nani atashinda?

    Mtanange unaendelea, nani ataibuka kidedea!!? Sisi wamatumbi tupo upande gani!?tujifiche upande wa Mungu na maombi kama kina sisi!!? Kule Zanzibar naona wameanza kuchochea kuni ili kuvunja muungano,ubaguzi wa wazi kabisa kuhusu huduma za umma kwa watanganyika kana kwamba Zanzibar sio sehemu ya...
  4. R

    JamiiForums Tanzania Nabii Lema: YUDA ni nani? Lema atengua kitendawili

    Nadhani ameamua liwalo na liwe. Alikuwa anamsasema Nchimbi Msikilize ============ Mwanasiasa Godbless Lema amesema baadhi ya viongozi nchini huanza kujikita katika siasa za uchaguzi mara tu baada ya uchaguzi kumalizika badala ya kuelekeza nguvu katika utekelezaji wa majukumu yao kwa wananchi...
  5. E

    JamiiForums Tanzania Ndani ya CCM hadi sasa, Dkt Nchimbi viatu vya Urais 2030 vinamtosha

    Yepi maoni yako?
  6. JamiiForums Tanzania Tetesi: Ulinzi wa Nchimbi waimarishwa maradufu

    Hi Nimependa sana hii sinema na sio maigizo, je? Si ni tofauti kati ya sinema na maigizo Nimeona mgawanyiko huu unaenda kuwapoteza baadhi ya wananchi wengi wa kawaida ambao wachanga kwenye siasa na wasiojua lolote Tujiandae wakuu wa nchi wakimiliki vyama tofauti na kimoja tawala, na kumuweka...
  7. JamiiForums Tanzania Kete ya Dkt. Nchimbi itawateka wajinga

    Hii kete ya NCHIMBI Itawateka wajinga na watu wasiojua siasa Idara ya usalama wa taifa ambayo ipo compromised na magenge ya CCM sasahv wanawaza mtu wao wa kurithi kitu Cha urais kuanzia Sasa ikiwa Jambo lolote litatokea. Wanajua huyu mama asafishiki, huyu hana tena ushawishi. Sasa...
  8. JamiiForums Tanzania Nchi imeshaenda Kombo: Ninachoamini Nchimbi ni Smart Guy hamtoweza kumsikia akiingia kwenye mjadala wowote

    Tulipofika ni total destruction of our country , and Samia does not know what else to do- hamna anachokifanya na kwasasa nchi ipo chini ya polisi maana hata jeshi halijaonekana kwenye kusimamia katiba- polisi ni very low minded and most of them ni uneducated- imagine the consequence. Mmbunge...
  9. JamiiForums Tanzania Ni wajinga pekee wanaowaza kwamba Nchimbi anaweza Kugombana na Samia. Mnadanganyika na Cheap Propaganda hizo kweli?

    Ni wajinga, wapumbavu, malofa wanaowaza kwamba .Nchimbi anaweza kugombana na Samia kwa lipi kwa kipi ? Wakati nae anaunga mkono ujinga uliofanyika October 29 damu za watu ndo zimempa umakamu wa Rais tufike kipindi hata tutumie akili za kawaida hizo ni propaganda za wanakitengo tu. Kiufupi...
  10. JamiiForums Tanzania Tujihoji: Kama kweli Nchimbi ni msaliti kama Yuda, angeweza kuachiwa madaraka ya kuitawala nchi kwa zaidi ya siku tatu?

    Mtu msaliti kama Yuda aachiwe kutawala nchi hii? Hili jambo linashangaza sana. Kwa Sasa Nchimbi ndio mkuuu wa nchi maana rais yupo nje kwenye ziara.
  11. E

    JamiiForums Tanzania Ulicho mnfanyia Magufuli unafanyiwa na nchimbi karma what goes around comes around

    Sio muumini wa karma lakini leo naona kama vile Kuna ka ukweli flani hivi
  12. K

    JamiiForums Tanzania Njoni kina Nchimbi na Mpina muongeze nguvu tumalizie palipobaki

    Waheshimiwa wangu tunaona mapambano yenu mkiwa huko mliko yaani CCM na ACT vyama rafiki hivi kabla ya October 29 Niwaombe jambo Moja hebu njooni unganeni na Heche Kisha tupambane Lissu atoke Wallah kazi itakuwa kwishiney kina Muliro watachoka njooni tuliokoe taifa kwenye mikono ya...
  13. JamiiForums Tanzania Baadhi ya watu wanaorudi upande wa Nchimbi wananikumbusha mfano wa ajabu

    Fikiria umekamatwa na majambazi wawili. Jambazi mmoja anakupiga makofi na mateke kila dakika, mwingine yupo pembeni anavuta sigara tu, hashiriki kukupiga wala kukusaidia. Baada ya kichapo badala ya kukimbia wote wawili au kupambana nao wote, unaamua kumkimbilia yule anayevuta sigara na...
  14. JamiiForums Tanzania Kama kweli mnajiamini mguseni Mtanganyika Dr. Emanuel Nchimbi

    Salaam Wakuu, Naomba Dr. Emanuel Nchimbi mumuache afanye kazi. Kwanza udaktari wake wa kusomea so aheshimiwe. Msimuingize kwenye ugomvi wenu na Ufisadi wenu.. Ameishi kwa heshima kwa kuheshimu wakubwa na Wadogo.. Uroho wenu wa madaraka usiwafanye mumchafue kisa yeye anawalazimisha kutenda...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Dkt. Nchimbi anazidi kukubalika na kuonekana ana busara kuliko wanachama wote wa CCM

    Nipo kwenye basi natoka Chato na kuelekea huko ninakokwenda. Nimefika Bwanga nikaanza kujiuliza juu ya hili suala.
  16. K

    JamiiForums Tanzania Dangote kamchoka Mama Samia, tumtume Nchimbi kuokoa uwekezaji!

    Nasikia Dangote ndiye sababu ya Samia kutokualikwa Kenya asingeenda Kenya kama Mama angekuwepo. Wakina Kikwete wamekuwa wanamsumbua sana kwenye kiwanda chake cha cement na kuomba omba rushwa. Dangote hajawahi kumpenda fisadi Kikwete na familia yake. Wakina Mama wameshaanza kuomba omba 10%...
  17. JamiiForums Tanzania Dr. Nchimbi: Nipo tayari kutimuliwa CCM kwa msimamo

    Makamu wa Rais Dr. Nchimbi amesema haogopi kutimuliwa CCM kwa msimamo wake wa kupiga maovu! Je ni kweli ndani ya Serikali ya Samia kuna mpasuko? https://twitter.com/mwananchidr/status/2051230409103483204?t=aU3lhyI6WR9JBM2MMOLaFA&s=19
  18. JamiiForums Tanzania Emanuel Nchimbi Vs Tundu Antipas Lissu. Nitaondoka na Tundu Lissu japokua Emanuel ni mwana CCM mwenzangu atanisamehe

    CCM wakimsimamisha Emanuel na Lissu nafasi ya urais nitaondoka na Lissu sio Emma japokua mwana ccm mwenzangu nina sababu za msingi kama tatu. Emanuel ni mtu mwenye misimamo Ila ni mtu muoga hawezi kutoka kusimamia anachokiamini mpaka mwisho. Walivyomkata Lowasaa 2015 yeye na sophia simba ndo...
  19. JamiiForums Tanzania Dkt. Emmanuel Nchimbi: Uhamiaji tumieni busara bila kuvunja Sheria

    Makamu Rais, Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi, ametoa wito huo kwa Idara ya Uhamiaji wakati wa uzinduzi wa Ofisi ya Uhamiaji Wilaya ya Kati, Mkoa wa Kusini Unguja.
  20. M

    JamiiForums Tanzania Nchimbi: Hakuna Siku mawazo ya Watanzania yatafanana. Hili ni taifa la watu wanaofikiri, si Taifa la Mawe

    Kwenye Usiku wa Mtanzania uliofanyika Ukumbi wa JNICC, Dar es Salaam, Aprili 26, 2026, Makamu wa Rais Emmanuel Nchimbi alisema kuwa Msisitizo wa Rais kwa siku ya leo ni mshikamano wa nchi yetu, anasema kwenye umoja, kwenye amani tunakwenda vizuri isipokuwa tunachangamoto kwenye mshikamano...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…