nchi

  1. M

    JamiiForums Tanzania Mtoto wa Rais Samia, Abdul Hafidh Ameir na Ujumbe wake afika Ikulu ya Entebbe kujadili sekta binafsi zinavyoweza kunufaisha Tanzania na Uganda

    Mtoto wa Rais Samia, Abdul Hafidh Ameir na Ujumbe wake akaribishwa Ikulu ya Entebbe kujadili sekta binafsi zinzvyoweza kunufaisha nchi hizi Mbili
  2. H

    JamiiForums Tanzania Nchi "imetekwa" Tuamke.

    Kama kila Kiongozi anayetaka kutumia akili zake anafukuzwa au kutolewa kwenye mfumo kimya kimiya tusipoamka sasaivi basi Tumekwisha. Ata Samia angesimamia 4R kwa ukweli Wangemuondoa. Naamini kuna genge Kusini mwa Africa limefanikiwa kuteka kabisa hizi nchi. Haya Matajiri yasiyoisha kwenye...
  3. L

    JamiiForums Tanzania Nchi hii kila kitu ni ujingaujinga tu

    Inasikitisha sana Kwa kweli kwa nchi ilipofikia. Imekua nchi ya mfano kwa miaka mingi. 1) Ilikuwa nchi ya mfano kwa kupigania haki ya watu wengine duniani kote walikokua wanaonewa na watawala wa wa hovyo. 2) Sasa imekuwa nchi ya mfano wa mambo ya hovyohovyo na ya kijingajinga hapa duniani...
  4. JamiiForums Tanzania Watekaji watakufuata hata ukiwa nje ya nchi ukiwa mkosoaji.

    https://www.facebook.com/share/v/18PhWwfhPp/
  5. JamiiForums Tanzania Viongozi wa Nchi za Africa akiwepo Samia.walipa Mabillion ya Pesa Kampuni ya Udalali ili kuonana na Donald Trump

    Ujinga wa viongozi wa Africa ... https://www.instagram.com/p/DcOXDOTihBv/?img_index=2&igsi=MTgyY3NmdDhoenlrdA==
  6. M

    JamiiForums Tanzania Hii ni hujuma? Siku moja baada ya bwawa la JNHHP kuzinduliwa umeme unakatika

    Tangu saa kumi mpaka sasa tunasubiri kuangalia mechi kati ya Azam na Pamba Jiji. Umeme umekatika nchi nzima. Habari tulizoambia kuna mega watt 2115 ni kama kupiga ndulu tu.
  7. G

    JamiiForums Tanzania Siku ya hukumu ya kunyongwa Kwa Lissu kama wataamua hivyo itampa umaarufu Dunia nzima na chama chake huku ikiwachawachafua na nchi yetu ikipata aibu

    Kwa hatua aliyofukia Lisu akiachiliwa au akinyongwa Bado credits zote zinarudi kwake na chama chake maana wamechagua haki na ukweli Lakini waswahili wanasema heri nusu shari kuliko Shari kamili au heri aibu kuliko fedheha Hamna haja ya kumtumia Lisu kama kete ya kulazimisha maridhiano...
  8. JamiiForums Tanzania CivilianCoin: WAJIBU wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi kwa Wasanii.

    Wajibu mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi kwa wasanii unajikita katika kusimamia ulinzi na usalama wao, kuratibu vibali vya ukaazi na kazi kwa wasanii wa kigeni, na kusajili vyama au mashirikisho yao ya sanaa. Tofauti na Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo ambayo inashughulika na...
  9. JamiiForums Tanzania Nini kinawafanya Watanzania wengi waishi kwa matumaini makubwa sana kuhusu nchi yao ?

    Ukiwasikiliza watu wengi wa Tanzania wanaotamani mabadiliko wako na matumaini makubwa sana, wengi wanaamini kwa dhati kabisa ipo siku moja watesi wao watashindwa na kuanguka na nchi yao itakuwa yenye demokrasia pana na maendeleo tele. Ni nadra kukuta wenye mtazamo mbadala kwamba Tanzania...
  10. M

    JamiiForums Tanzania CHADEMA waanze kumobilize maandamano ya nchi nzima

    Hawa ccm wanatakiwa kupewa somo for once and for all. Watanzania wengi tupo tayari ku-sacrifice maisha yetu kwa ajili ya vizazi vyetu vijavyo. Huu upuuzi unatakiwa ukomeshwe for once and for all. Sasa wanachotakiwa Chadema waanze kumobilize waandamanaji taratibu kwenye mikutano yao ya hadhara...
  11. JamiiForums Tanzania Hii ndo maana halisi ya "Rule of Law" tuheshimu Sheria za Nchi hakuna msalia mtume kwenye kusimamia maadili ya Taifa

    Kauli za wanasiasa wasio na Maadili zinaathari kubwa sana kwenye ustawi wa Taifa letu, Leo hii serikali imerudi nyuma kutengeneza miundombinu ambayo ilishamalizana nayo kitambo kwasababu ya kauli za hovyo za viongozi wajinga na wapumbavu so paining 😭 Sheria zipo na hazimuogopi mtu. Mtu mmoja...
  12. JamiiForums Tanzania Mr Mapanga: Tanzania sio Nchi Masikini, Watanzania ndio Masikini. Nchi masikini halafu Rais anapita na gari mia na ya kitajiri tupu!

    Mr Mapanga amesema Tanzania si nchi masikini, bali Watanzania ndio wanaoishi katika hali ya umasikini, akidai kuwa rasilimali na vitega uchumi vya nchi viko mikononi mwa Serikali huku wananchi wakikosa manufaa yanayolingana na utajiri wa nchi. Amesema Tanzania ina vyanzo mbalimbali vya mapato...
  13. JamiiForums Tanzania Je, hivi ndivyo tunavyotaka nchi yetu ionekane?

    Katika utumishi wa umma huwa tunaelekezwa kuzingatia maslahi ya umma katika kutekeleza majukumu yetu. Utashi huu ni muhimu kwasababu pamoja na kuchochea ufanisi, ubora wa huduma kwa wateja na mahusiano mema mahali pa kazi, husaidia kujenga taswila chanya ya taasisi zetu pamoja na serikali kwa...
  14. JamiiForums Tanzania Kudos US kwa kumuwekea vikwazo rais wa ICC maana wapo compromised. Hawataki kudeal na waharifu ila wapo obsessed na Israel na nchi za mrengwa wa kulia

    mcTobby
  15. M

    JamiiForums Tanzania Nchi zilizoendelea kama South Afrika na Ulaya huwezi kukuta mabasi yanapewa amri kama hizi za kupakilia Magufuli stand .

    Sisi tuliotembea nchi kama South Afrika na Ulaya tunafahamu haya Ukiwa na safari na basi unaweza ukapandia popote. Unaweza ukapandia kwenye ofisi za basi unalotaka kusafiri nalo, ukapandia hata kwenye mgahawa linapopita. Hii ya Mkuu wa mkoa wa Dar kusema daladala zitakosa wateja ni pointless...
  16. JamiiForums Tanzania Kwenye katiba Mpya Rais wa Nchi atokee Yanga.

    Tundu Lissu ni Yanga, Mwalimu Nyerere ni Yanga. Tafadhali sana, katika mabadiliko ya katiba ya nchi, Rais atokee Yanga tu.
  17. JamiiForums Tanzania UPOPO WA TIKITI: Masimulizi ya kisiasa kutoka nchi ya Tongotongo na hatima ya haki katikati meno ya mamba na majqmbia ya wauaji

    UPOPO WA TIKITI: Masimulizi Kutoka Nchi ya Tongotongo Kuna nchi moja inaitwa Tongotongo. Katika nchi hii, kila kitu kinaonekana kwenda taratibu lakini kwa hesabu kali sana. Mitaani, wananchi wanapishana wakiwa wamebeba machungu na matumaini yao. Lakini katikati ya vumbi la barabara na mayowe ya...
  18. JamiiForums Tanzania Nchi ilipofikia kuna hatari ambayo itakuwa kama ilivyofanya rwanda na burundi.

    Mwalimu wa ushenzi ni Uganda ndio anafundisha CCM tokea kipindi cha magufuri. Mnaweza kuona jambo dogo ila ukweli ni mchungu. Mambo yanayoendelea ni mabaya zaidi.Maana imefikia watawala washakuwa mungu watu wa kutoa hukumu. Sina mengi ila tunapoelekea usishangae vifo au mauwaji ya kimya kimya...
  19. L

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Ameongeza Ushawishi Wa Tanzania Barani Afrika na Duniani Kote Kwa Ujumla wake. Ingekuwa Ni Nchi Ndiye Angekuwa Rais Wake

    Ndugu zangu Watanzania, Kwa hakika Kwa sasa Tanzania ndio Habari ya Mjini Barani Afrika,Ndio Jina linalotamkika midomoni Mwa Wa Afrika. Ndio Nchi ambayo kila mtu anatamani kuitembelea na kufika na ndio sababu ya kuona ongezeko kubwa sana la idadi ya watalii wanaokuja kutalii na na hata...
  20. JamiiForums Tanzania Hivi ni nchi nzima au mtaani kwetu tu tunauziwa cement kwa 30,000?

    Kwa kweli nanathindwa kweleeewa!
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…