Si weweNani huyo?
Jiwe gizani dadeki😁😁Kila nikikumbuka kuna mtu humu anasema yupo abroad ila 29oct internet ilipozimwa na yeye akapotea iliporudi na yeye akarudi. Nachoka mie..!
Alikuwa anatumia vpn ya TZKila nikikumbuka kuna mtu humu anasema yupo abroad ila 29oct internet ilipozimwa na yeye akapotea iliporudi na yeye akarudi. Nachoka mie..!
leteni picha za warembo bwana mbona mnazingua raha ya dunia ni waremboZee la totoz haha
Tukuletee ngano ama udaga?haya wabongo mliokuwa hapo mexico tafadhali tupieni picha za warembo wa huko na msisahau kuja na unga huku bongo
watu wa teeth bhana, mnataka tujue tulipo mkuje au?