Kwa hatua aliyofukia Lisu akiachiliwa au akinyongwa Bado credits zote zinarudi kwake na chama chake maana wamechagua haki na ukweli
Lakini waswahili wanasema heri nusu shari kuliko Shari kamili au heri aibu kuliko fedheha
Hamna haja ya kumtumia Lisu kama kete ya kulazimisha maridhiano...
Wajibu mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi kwa wasanii unajikita katika kusimamia ulinzi na usalama wao, kuratibu vibali vya ukaazi na kazi kwa wasanii wa kigeni, na kusajili vyama au mashirikisho yao ya sanaa.
Tofauti na Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo ambayo inashughulika na...
Ukiwasikiliza watu wengi wa Tanzania wanaotamani mabadiliko wako na matumaini makubwa sana, wengi wanaamini kwa dhati kabisa ipo siku moja watesi wao watashindwa na kuanguka na nchi yao itakuwa yenye demokrasia pana na maendeleo tele.
Ni nadra kukuta wenye mtazamo mbadala kwamba Tanzania...
Hawa ccm wanatakiwa kupewa somo for once and for all. Watanzania wengi tupo tayari ku-sacrifice maisha yetu kwa ajili ya vizazi vyetu vijavyo. Huu upuuzi unatakiwa ukomeshwe for once and for all.
Sasa wanachotakiwa Chadema waanze kumobilize waandamanaji taratibu kwenye mikutano yao ya hadhara...
Kauli za wanasiasa wasio na Maadili zinaathari kubwa sana kwenye ustawi wa Taifa letu, Leo hii serikali imerudi nyuma kutengeneza miundombinu ambayo ilishamalizana nayo kitambo kwasababu ya kauli za hovyo za viongozi wajinga na wapumbavu so paining 😭
Sheria zipo na hazimuogopi mtu.
Mtu mmoja...
Mr Mapanga amesema Tanzania si nchi masikini, bali Watanzania ndio wanaoishi katika hali ya umasikini, akidai kuwa rasilimali na vitega uchumi vya nchi viko mikononi mwa Serikali huku wananchi wakikosa manufaa yanayolingana na utajiri wa nchi.
Amesema Tanzania ina vyanzo mbalimbali vya mapato...
Katika utumishi wa umma huwa tunaelekezwa kuzingatia maslahi ya umma katika kutekeleza majukumu yetu.
Utashi huu ni muhimu kwasababu pamoja na kuchochea ufanisi, ubora wa huduma kwa wateja na mahusiano mema mahali pa kazi, husaidia kujenga taswila chanya ya taasisi zetu pamoja na serikali kwa...
Sisi tuliotembea nchi kama South Afrika na Ulaya tunafahamu haya
Ukiwa na safari na basi unaweza ukapandia popote. Unaweza ukapandia kwenye ofisi za basi unalotaka kusafiri nalo, ukapandia hata kwenye mgahawa linapopita.
Hii ya Mkuu wa mkoa wa Dar kusema daladala zitakosa wateja ni pointless...
UPOPO WA TIKITI: Masimulizi Kutoka Nchi ya Tongotongo
Kuna nchi moja inaitwa Tongotongo. Katika nchi hii, kila kitu kinaonekana kwenda taratibu lakini kwa hesabu kali sana. Mitaani, wananchi wanapishana wakiwa wamebeba machungu na matumaini yao. Lakini katikati ya vumbi la barabara na mayowe ya...
Mwalimu wa ushenzi ni Uganda ndio anafundisha CCM tokea kipindi cha magufuri.
Mnaweza kuona jambo dogo ila ukweli ni mchungu.
Mambo yanayoendelea ni mabaya zaidi.Maana imefikia watawala washakuwa mungu watu wa kutoa hukumu.
Sina mengi ila tunapoelekea usishangae vifo au mauwaji ya kimya kimya...
Ndugu zangu Watanzania,
Kwa hakika Kwa sasa Tanzania ndio Habari ya Mjini Barani Afrika,Ndio Jina linalotamkika midomoni Mwa Wa Afrika. Ndio Nchi ambayo kila mtu anatamani kuitembelea na kufika na ndio sababu ya kuona ongezeko kubwa sana la idadi ya watalii wanaokuja kutalii na na hata...
Kwenye siasa kuwa na msimamo unaoleweka na wa wazi ni jambo muhimu sana la kujenga heshima na kuaminika.
Ukiangalia katika siasa za Tanzania BAKWATA wao wamejifungamanisha wazi kabisa na CCM na serikali yake, hawajifichi na msimamo wao uko wazi kabisa unaeleweka kwa watawala na wafuasi wao...
Mbunge wa Jimbo la Ubungo na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Mipango na Uwekezaji, Prof. Kitila Mkumbo, amemjibu Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Bara, John Heche, akisisitiza kuwa uongozi wa nchi unahitaji mipango na kura za wananchi badala ya maombi ya ‘kupewa’ nchi ili kuijaribu.
Akizungumza leo...
"UNPD hawawezi kushinda uchaguzi huu, hakuna muujiza. Sasa wameamua kutumia mbinu za Tanzania. Zambia si Tanzania na Tanzania si Zambia. Hii ni Zambia, hatuwezi kutumia mbinu za nchi zilizofeli katika demokrasia.
Wale wanaofikiri wanaweza kutumia mbinu zilizotumiwa na Tanzania, hawawezi...
Waafrika tuliwafukuza wakoloni, which was completely a right thing to do cause watu weusi na watu weupe hatuwezi kuchangamana. It failed in South Africa, na huko USA it's been hundreds of years na bado hadi leo wanahangaika to blend people together
Shida inakuja, baada ya kuwafukuza tukafanya...
Zipo Nchi nyingi Duniani zilizowahi kufanya maridhiano ya pamoja kwa njia zinazotofautiana zikitumia mbinu na mikakati tofauti ili kufanikisha amani na utulivu. Nchi hizo ni pamoja na:
Rwanda– Baada ya mauaji makubwa ya kimbari mwaka 1994, Rwanda ilifanya juhudi za maridhiano ya kitaifa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.