nchi

  1. B

    JamiiForums Tanzania Kwa Nini watu wanaipenda ccm kuliko nchi ( msukuma cjakuelewa / kupigana short umemanisha nini

    Kwa Nini watu wanaipenda ccm kuliko MASRAHI ya nchi tatizo lipo wapi Ni pesa au Nini kilichojificha .. Msukuma unasema kupigana short Kwa hyo kudai KATIBA ni kupigana short ,mauji ya October ni kupigana short,kutekwa ni kupigana short ,polepole yupo wapi ni kupigana short Kwa hyo...
  2. T

    JamiiForums Tanzania Nchi hii ina viongozi maprofesa na madokta wengi kabisa mbona sioni maajabu wanayofanya yanayoakisi uprofesa na udokta wao!?

    Kila nikijaribu kuangalia changamoto tunazokutana nazo hasa unaposhughulika na mambo ya kiserikali unagundua kwamba kila siku kero zinaongezeka. Sasa nini faida ya hawa maprofesa na madokta waliojazana kwenye uongozi? Tija Yao ni nini hasa tofauti na wasio kuwa na level hizo.!?
  3. Koffi Annan

    JamiiForums Tanzania Mbunge Sigrada: Nature ya wasema ukweli nchi hii wanateseka, ukitaka kuteseka nchi hii wewe sema ukweli

    Huyu mama japokua yupo kwenye bunge haramu ila amemaliza kila kitu kwenye hii clip
  4. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Tanzania ni nchi ya surprise sana aiseeh, unaweza ukaamka leo giant lakini in no time unafananishwa na sisi tuliopauka

    Yaani unavyopakaziwa wakati wanakudondosha utafikiri haujawahi kufanya lolote chochote. Pole sana ema ze boy.
  5. K

    JamiiForums Tanzania CCM jiulizeni Kama Makamu wa Rais wa nchi anafukuzwa kwa kuwa mkweli wewe Mzalendo bado upo CCM!

    Kama wewe kweli ni mzalendo utaendelea vipi kuwa ndani ya Chama ambacho Makamu Wa Rais wa nchi anafukuzwa kwasababu ya kusema watanzania wapiganie katiba mpya. Tujiulize kwanini hao waliobaki katiba mpya inawapeleka huko. Na hao TIS wanafanya kazi kwa niaba ya nani?
  6. Hance Mtanashati

    JamiiForums Tanzania Mchungaji Gwajima yupo wapi? Hatuoni akijitokeza na kuongelea mustakabali wa nchi kama tulivyomzoea

    Je Gwajima amelambishwa asali? Je Gwajima amepata vitisho ? Je Gwajima ameona aliokuwa anawatetea sio watu sahihi ni heri ajiunge na wenzake wana ccm kujichotea mali za uma nk? Hatujamzoea hivi , au kuna mahali wamembana kaona akifanya fyoko watamfilisi ikiwezekana kumbambikia kesi? Jasusi...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Je mnakumbuka sarakasi za Rajolina wa Madagasca kabla hajaikimbia nchi!?

    Pale Madagasca Bwana Rajolina alichaguliwa, akaapa, akateua Waziri Mkuu na baraza lake la mawaziri. Kabla hata mwaka haujaisha akafukuza Waziri Mkuu wake na kuteua mwanajeshi kuwa Waziri Mkuu mara baada ya muda akalalamika kuwa wanajeshi wanataka kumuua! Mara hili mara lile akatangaza...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Kundi ndani ya CCM linalopinga yanayoendekea nchini hivi sasa lazima lisimame kuhesabiwa ili kuinusuru nchi

    Nyie wanaCCM msiokubaliana na yanayoendelea nchini, uoga wenu ndiyo kitanzi cha tsifa hili. Ni lazima mpandishe joto la kisiasa nchini ili muafaka wa kitaifa upatikane. Tokeni kwenye mashimo yenu ya woga na hofu, mje mtoke hadharani mseme, mkemee, mshauri na mtoe misimamo. La sivyo atanyakuliwa...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Mama anainyosha nchi

    Ukweli kwamba anainyosha nchi. Kila goti litapigwa kuanzia Dar hadi Ruvuma, kupitia Lindi na njia ya kuelekea kwa sugu Kama alifanikiwa bunge la katiba hana hata kajeshi kamoja na hata hili atafanikiwa. Mama shujaa
  10. The Dictator

    JamiiForums Tanzania Kuna nchi siku hizi ni kama wapo kwenye Tamthilia ya Game of thrones

    Mtawala asipokupenda tu kichwa kinawekwa juu ya mkuki iwe fundisho kwa wengine 😂😂🙌 Waliowahi kuiona watanielewa😂 Ni mwendo wa kuwindana na kukaa kimachale machale sana.
  11. wa stendi

    JamiiForums Tanzania Hivi kwa mfano Rais ghafla akapoteza maisha nchi inaongozwaje

    Sory naomba kujua kwa kuwa makamu ameshatangaza kujiudhulu na Rais akapokes barua yake ya kujiudhulu akadhibitisha.alafu hapo hapo au siku kadhaa kabla Rais hajateua Makamu wake ghalfa ikatokea(japo hatuombei itokee)Rais nae akafariki je!tutapiga kura upya kumpata Rais mwingine au nchi...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Hivi hii nchi hatuna wazalendo wenye nyadhifa za juu kwenye majeshi yetu?

    Maana wazalendo tusiokuwa na uwezo wowote wa kulazimisha mabadiriko tukipaza sauti tunalazimishwa kujiuzulu, au kupotezwa. Sasa nauliza huko kwenye majeshi yetu hatuna wazalendo ambao hawawezwi kupotezwa wala kulazimishwa kujihuzulu wanapopaza sauti ya kulinda mali za watanganyika? Captain Tesha...
  13. S

    JamiiForums Tanzania Katika nchi zinazojitambua, kumlazimisha kiongozi anaetetea haki za wananchi kama Dr. Nchimbi kujiuzulu kutasbabisha ghasia za kupindua nchi

    NI Tanzania tu ambapo wananchi wanakaa kimya pale ambapo watetezi wa haki zao kama kina Ben Saanane, Ali Kibao, Luhaga Mpina, Tundu Lissu, Job Ndugai, Hamphrey Pole Pole au hata Dr. Nchimbi, wanaondolewa katika uongozi, kutekwa na kuuwawa au kufunguliwa kesi za mchongo na watu wanakaa kimya tu...
  14. Mzee Mwanakijiji

    JamiiForums Tanzania Tukubali kuwaachia nchi watawale wapendavyo?

    Hili swali ni lazima tulipatie jibu. Nchimbi anaweza kufikishwa mahakamani..hawatamuacha "astaafu". Anaweza kuwa kizuizini asiondoke, asiseme na asikutane na watu anaowataka. Damian analazimisha migogoro ya Kikatiba..alianza na Ndugai..Sasa Nchimbi..na anayekuja ni jaji yeyote wa Mahakama ya...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Mtoto wa Rais Samia, Abdul Hafidh Ameir na Ujumbe wake afika Ikulu ya Entebbe kujadili sekta binafsi zinavyoweza kunufaisha Tanzania na Uganda

    Mtoto wa Rais Samia, Abdul Hafidh Ameir na Ujumbe wake akaribishwa Ikulu ya Entebbe kujadili sekta binafsi zinzvyoweza kunufaisha nchi hizi Mbili
  16. H

    JamiiForums Tanzania Nchi "imetekwa" Tuamke.

    Kama kila Kiongozi anayetaka kutumia akili zake anafukuzwa au kutolewa kwenye mfumo kimya kimiya tusipoamka sasaivi basi Tumekwisha. Ata Samia angesimamia 4R kwa ukweli Wangemuondoa. Naamini kuna genge Kusini mwa Africa limefanikiwa kuteka kabisa hizi nchi. Haya Matajiri yasiyoisha kwenye...
  17. L

    JamiiForums Tanzania Nchi hii kila kitu ni ujingaujinga tu

    Inasikitisha sana Kwa kweli kwa nchi ilipofikia. Imekua nchi ya mfano kwa miaka mingi. 1) Ilikuwa nchi ya mfano kwa kupigania haki ya watu wengine duniani kote walikokua wanaonewa na watawala wa wa hovyo. 2) Sasa imekuwa nchi ya mfano wa mambo ya hovyohovyo na ya kijingajinga hapa duniani...
  18. TAJIRI MKUU WA MATAJIRI

    JamiiForums Tanzania Watekaji watakufuata hata ukiwa nje ya nchi ukiwa mkosoaji.

    https://www.facebook.com/share/v/18PhWwfhPp/
  19. Chizi Maarifa

    JamiiForums Tanzania Viongozi wa Nchi za Africa akiwepo Samia.walipa Mabillion ya Pesa Kampuni ya Udalali ili kuonana na Donald Trump

    Ujinga wa viongozi wa Africa ... https://www.instagram.com/p/DcOXDOTihBv/?img_index=2&igsi=MTgyY3NmdDhoenlrdA==
  20. M

    JamiiForums Tanzania Hii ni hujuma? Siku moja baada ya bwawa la JNHHP kuzinduliwa umeme unakatika

    Tangu saa kumi mpaka sasa tunasubiri kuangalia mechi kati ya Azam na Pamba Jiji. Umeme umekatika nchi nzima. Habari tulizoambia kuna mega watt 2115 ni kama kupiga ndulu tu.
Back
Top Bottom