nchi

  1. Mto Songwe

    Shida ni nchi ya kisekula kutengenezwa katika Ukristo na Uislam hili ni kosa kubwa lilifanyika na linaendelea kufanyika

    Nitazidi kupiga kelele kadiri niwezavyo na kutoa tahadhari kadiri niwezavyo katika moja ya makosa yaliyo fanyika Tanzania ni kutengeneza nchi kimaandishi ya kisekula lakini kivitendo ni ya Ukristo na Uislam pekee. Watanzania wanajipongeza kwamba ni nchi isiyo ya kidini lakini ni nchi iliyo...
  2. B

    Kuelekea Maandamo Arusha Feb 27: Tuwape pongezi na kuwatia shime wote wajitoao kuipigania nchi hii

    Kuelekea Februari 27 kwenye maandamano ya Arusha, tuwape pongezi na kuwatia shime wote wajitoao kuipigania nchi hii. Kuipigania nchi ni jukumu takatifu, kwa hakika tuwape pongezi mashujaa wetu: Ni wazi kuwa umoja wetu hatimaye, utaikomboa nchi hii: Maandamano Mbeya, Mwanza umoja wetu...
  3. Chizi Maarifa

    Kwa jambo hili niliwaunga Mkono TCRA . Nchi hii wenye akili ni wachache sana

    Hakuna Mtangazaji mwenye akili anaweza ongea jambo kama hili. Tanesco wana matatizo yao na pengine ni ya kisiasa zaidi. Hakuna mtanzania mwenye akili timamu atapendezwa na suala hili la kukatika katika umeme. Lakini ni mtu mpumbavu tu anaweza fanyia mzaha jambo hili zito Kitaifa. Ni wakati sasa...
  4. Nyani Ngabu

    Safari za Rais Samia nje ya nchi

    Mjinga mimi nina swali. Ni swali kumhusu Rais Samia [baadhi yenu ni mama yenu]. Sina takwimu wala taarifa zingine zozote za kuufuta huu ujinga wangu. Na hata sijui niende wapi ili kuzipata takwimu na taarifa hizo. Hivyo basi, JamiiForums ndiyo kimbilio langu nitakapo kupata baadhi ya...
  5. Stephano Mgendanyi

    Waziri Simbachawene aitaka TAKUKURU kuwadhibiti wachezeaji rasilimali za nchi

    Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. George Simbachawene ameitaka Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa TAKUKURU kudhibiti mianya ya rushwa katika fedha za miradi ya maendeleo inayoendelea kutekelezwa na serikali nchini ili kuhakikisha thamani...
  6. Magufuli 05

    Rais amekata tamaa na Hana Nia nzuri na nchi

    1. Sukari imeadimika hakuna kauli ya Rais 2. Umeme ni mgawo wa kikatili hakuna kauli ya Rais. 3. Dola imeadimika hakuna kauli ya Rais. 4. Maji ni mgawo katika miji mikubwa hakuna kauli ya Rais 5. RUSHWA na ufisadi uliokithiri hakuna kauli ya Rais 6. Miradi mingi ya kimkakati na Ile yenye tija...
  7. BARD AI

    Tanzania yawa miongoni mwa nchi zinazofanya vizuri kiuchumi Afrika 2024. Yazipiku Kenya na Uganda

    Nchi 3 za Afrika Mashariki zimetajwa katika orodha hiyo ambapo zitaongozwa na Rwanda inayotarajiwa kupata Ukuaji wa 7.2% ikifuatiwa na Tanzania 6.1% na Uganda itakayokua na Ukuaji wa Uchumia wa 6%. Afrika itachangia uchumi wa nchi kumi na moja kati ya 20 zinazokuwa kwa kasi zaidi duniani...
  8. Hukumuzuku

    Hii nchi ina Rais?

    Kwa siku nyingine tena tupo gizani baada ya umeme kukatwa. Hakuna ratiba yoyote ya siku ya wiki wala saa. Umeme unakatwa na kurudishwa na Wahusika wakiamua au tuseme kama wapendavyo na bila taarifa. Hakuna tamko lolote kuhusu hali hii kutoka kwa kiongozu wa nchi, na imeishia wateuøe wake kila...
  9. Nigrastratatract nerve

    Anayejua Rais Samia Suluhu anatupeleka wapi atuambie, naona kama tunapotea

    Mama Samia achana na cheap popularity haitakusaidia lolote unatakiwa usiwe muongeaji sana maana naona unaanza kutoboa matundu ya hela wakati huo ukiwa umewekwa kwenye mtego mgumu na mzito sana wa ilani yenye kurasa 300 ya kutekeleza miradi yote iliyoko kwenye ilani. Yaani kumbuka sasa hivi...
  10. M

    Ni dhahiri CCM na Serikali yake wameshindwa kuongoza nchi. Taifa letu limegeuka "A Failed State"

    Huhitaji kuvaa miwani ya uoni mkubwa kuweza kuona dhahiri shahiri kuwa nchi yetu imefeli, tena imefeli kila idara. Hakuna jambo lenye nafuu katika nchi yetu. Kila kitu ni bora liende, nchi inaporomoka kwenye korongo na ni kama hakuna anayejali. 1. Miaka zaidi ya 60 bila ya umeme wa uhakika...
  11. S

    Upungufu wa dola nchini: Je, haiwezekani sababu ni kupungua kwa fedha za wafadhili kama sio matumizi ya dola katika kulipa madeni ya nje ya nchi?

    Japo mimi sio mtaalamu wa mambo ya kifedha, lakini napata wasiwasi kuwa sababu ya upungufu wa dola hapa nchini inaweza kusababishwa na ama kupungua kwa fedha za wahisani kama sio matumizi ya dola katika kuhudumia deni la taifa sababu ambazo zinaweza kuwa ni ngumu kuziweka hadharani iwapo kweli...
  12. M

    Nchi haina sukari, maji, umeme na dola

    Naangalia Azam tv now, nchi yetu imeadimika sukari, maji, umeme na dola. Na hili joto kazi tunayo
  13. Mganguzi

    Haya ndiyo maandamano ya ovyo kuwahi kutokea katika nchi yetu. Hata wanaoandamana hawajui kwanini wanaandamana!

    Ukitaka soma, ukitaka acha lakini ukweli ni kwamba haya maandamano ya Freeman na washirika wake ni ya hovyo na sijawahi kushuhudia. Wanaojua kwa nini wanaandamana ni freemani na washirika wake, lakini waandamanaji hawajui kitu chochote! Hawajui kwa nini wanatembezwa kwenye jua Kali mchana...
  14. Replica

    Gerald Hando: Watanzania wanataka sukari, usituambie tusitumie. Asema majibu ya Janabi na Chalamila ni dharau kwa watanzania

    Mwandishi wa EFM, Gerald Hando ameshangazwa na majibu ya sukari yaliyotolewa na Prof. Janabi yaliyoungwa mkono na mkuu wa mkoa wa Dar. Hando amesema ni mtazamo finyu kuwaza sukari ni chai pekee ilhali sukari inayotumika kwenye chai ni vijiko viwili. Hando amesema sehemu kubwa ya vitafunwa...
  15. Kaka yake shetani

    2025 utashangaa CCM ikisema awamu iliyopita ilikuwa sio ya kuchaguliwa raisi kama sasa wanavo sema raisi kainua nchi

    Nimefatilia sana siasa yangu mpaka sasa ila kila siku kupitia ccm tokea kupata uhuru sijajua mpinzani wao ni nani kwenye madaraka yao kila raisi na chama chao wanavojaribu kujivua magamba wakati nyoka ni yule yule. kabla ajafariki dkt john pombe magufuri, bunge lilikuwa mstari wa mbele kumpa...
  16. S

    Ahadi ya kupewa urais wa nchi ilikuwa ahadi batili, hakuna usaliti wowote uliofanyika

    Hakuna usaliti wowote uliofanyika, sababu kumuahidi mtu nafasi ya urais baada ya kiongozi aliyepo madarakani ni suala linaloibua maswali kuhusu uadilifu na utawala bora. KIla mtu ana haki ya kuwa Rais kama alivyoteuliwa mwingine badala ya yule aliyepewa ahadi. Hivyo sio jambo la kuwekeana bifu...
  17. Suley2019

    Rais Samia awasili nchini Ethiopia

    Rais wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan amewasili Addis Ababa Nchini Ethiopia kuhudhuria Mkutano wa Wakuu wa Nchi za Afrika, safari ambayo ameifanya baada ya kutoka kijijini Ngarash Wilayani Monduli Mkoani Arusha ambako ameongoza Waombolezaji kwenye maziko ya Waziri Mkuu Mstaafu Hayati Edward...
  18. N

    Hii nchi ina mambo ya ajabu sana! Eti wanapima uzalendo kwa mtu kuteseka

    Kuna picha moja inatend ya mmoja wapo wa mtumishi wa Afya akiwa amebeba vaccine carrier kwa maana chanjo akivuka mto kwenda kutoa chanjo. Ile picha imenifikirisha sana kwanza yule mtumishi wa Afya ni mpumbavu,mjinga na hajielewi yaani unavuka kwenye mto ili iweje? Je, haoni hatari ilioje? Na...
  19. Ritz

    Israel kwenye kesi ya ICJ - nchi 52 kutoa ushahidi kuanzia Feb 19-26

    Wanakumbi. 🚨🇮🇱ISRAEL KWENYE KESI YA ICJ - NCHI 52 KUTOA USHUHUDA KUANZIA FEB 19-26 Kesi za ICJ zitaendelea hadi Februari 26. Baadaye, majaji wanatarajiwa kuchukua miezi kadhaa kujadili kabla ya kutoa maoni ya ushauri. Kikumbusho: Hata iwe uamuzi gani, ni juu ya nchi kote ulimwenguni kutunga...
  20. Chizi Maarifa

    Quran inasema wazi hakuna nchi itaendelea kwa kuongozwa na Mwanamke. Ila yetu nasema itaendelea

    Mimi nasema Tanzania itaendelea mtake msitake. Pamoja na maneno haya kusemwa na Quran naamini itakuwa si kwa ajili ya nchi yetu. Labda kwa maeneo mengine. Tuendeleeni kumuunga mkono samia katika harakati zake. Haya mambo mengine yasitutoe kwenye mstari. Lazima tukubaliane dunia imebadilika. Au...
Back
Top Bottom