nchi

  1. idiomer

    JamiiForums Tanzania Kwanini ni ngumu watu kufuata utaratibu katika nchi zinazoendelea?

    Kufuata utaratibu ni ngumu. Mfano stendi ni magufuli watu wanapaki shekilango! Na mambo mengine mengi.
  2. Trainee

    JamiiForums Tanzania Hii nchi kuna mambo wewe unajua yamebaki stori lakini kumbe kuna maeneo ukienda unakuta watu wanayaishi bado!

    Mtandao na internet Kuna maeneo Bado watu wanajitega kwa ajili ya kupiga simu na kuingia internet Tigo na kujimwambafai kote Kuna maeneo Bado ni bilabila Barabara na uchukuzi Kuna maeneo Tanzania hii hii kipindi cha mvua wanakata muingiliano/mawasiliano ya kutoka na kuingia mpaka mvua...
  3. JF Member

    JamiiForums Tanzania Hi Kama Nchi tunajisikia je pale mwenzwetu mmoja tu anapopotea?

    Nimekaa leo nikawaza sana tu. From no where mwenzetu anapotea na hatumuoni tena na watuhumiwa wapo na tunaendelea kukaa nao. Hii imekaaje wadau? Tuwaambie waache kututeka ama tukatae kushirikiana nao?
  4. Ngengemkenilomolomo

    JamiiForums Tanzania Hii si reflection nzuri kwa nchi yetu

    Wakuu Yan kwa tulipofikia kama nchi sasa hivi mtu(mwanaharakati) akikamatwa na polisi maombi yanabaki nyuma kwamba hasiuawe yn mtu anakamatwa na chombo chenye dhamana ya ulinzi na usalama lakin watu wanapata hofu na mashaka juu ya uhai wake na afya yake kwa ujumla hili jambo sio zuri kabsa...
  5. Design Your Idea

    JamiiForums Tanzania Nawapongeza wananchi wa Albania kwa kukimbilia ukristo kwa kasi ya ajabu. Nchi sio muslim majority tena.

    MMECHAGUA AMANI. MMECHAGUA UWAZI
  6. shonkoso

    JamiiForums Tanzania CHADEMA Ingefaidika vipi wakati nchi ikipinduliwa, jeshi ndo huchukua nchi

    Tuchukulie kwa mantiki ya hoja, bila kuamua kwanza kama tuhuma hizo ni za kweli au za uongo. Ikiwa kweli CHADEMA ingekuwa imepanga kuipindua Serikali, swali muhimu sana ni: CHADEMA INGEPATA FAIDA GANI?Kwa sababu kuipindua Serikali hakumaanishi kwamba CHADEMA moja kwa moja ingeichukua...
  7. comrade_kipepe

    JamiiForums Tanzania Katika kitu kimebakia kama nchi tunachojivunia ni hichi tuu

    Safarilager Moja ya bia nzuri zaidi kuwahi kutengenezwa kwenye uso wa Dunia.
  8. Moto wa volcano

    JamiiForums Tanzania Hivi Nchi ikipata Hyper inflation there's no Comeback? Zimbabwe inasikitisha sana

    Taifa la Zimbabwe linashangaza sana walipofikia , uchumi wa nchiyao umeshuka mpaka sakafuni imagine Bank kuu inachapisha noti ya Trilioni na bado haitoshi kununua hata mkate dukani , Local currency yao haina thamani kabisa wanatumia USD kufanya malipo! Ila wakitokea watu matajiri wanakuwa...
  9. H

    JamiiForums Tanzania Serikali inatambua mchango wa Kanisa - Waziri Mkuu Nchemba

    Serikali inatambua mchango wa Kanisa na baba Askofu. Kila tunapotaja maendeleo ya nchi yetu, kuanzia mwanzo mpaka hapa tulipofika, hatuwezi kuyataja kwa kina maendeleo hayo bila kutaja mchango wa Kanisa - Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba 📍Mpanda - Katavi. 🗓️ Agosti 30, 2026. ————————————————...
  10. funaku

    JamiiForums Tanzania Je mwenendo wa Chuo cha SUA kuipeleka nchi kwenye Vijishamba vya mjini badala ya kukuza mashamba ya vijijini upo sawa?

    Chuo cha Kilimo SUA kiliwekwa makusudi ili kuleta tija katika kilimo chenye kutupatia chakula na mazao ya biashara. Kwa uchunguzi wangu naona kama vile kinataka kutupoteza na sasa kinatoa wahitimu na ujuzi wa kilimo cha nchi zisizokuwa na utajiri wa ardhi. Wengi wa wahitimu wa SUA wanakuwa na...
  11. L

    JamiiForums Tanzania CHADEMA Ilifanya Uchaguzi Wa Mwenyekiti Chama Kikapasuka na Kusambaratika . Halafu Utaona Wanabetua Midomo wanasema Wanaweza Kuongoza Nchi.

    Ndugu zangu Watanzania, Uimara ,Ushupavu na Umadhubuti Wa Chama cha Siasa na kilicho tayari kuongoza Na kushika Dola ni Pamoja na ukomavu wake wa kuhimili mikiki mikiki ya ndani ya chama . Ni Pamoja na kuweza kujiongoza chenyewe kama Taasisi ,Ni Pamoja na Kuweza kutatua migogoro yake bila shida...
  12. Mwande na Mndewa

    JamiiForums Tanzania Kama Zanzibar ni nchi huru,Je Tanzania ina muungano na nchi gani? Rejea katiba ya Zanzibar.

    Hivi leo ACT wanaojiita Wajamaa na Wazalendo leo wanapigania Uzanzibar! kule Zanzibar,kwa nini wasipiganie na Utanganyika huku Tanganyika,ila wamekaa kimya kwa upande wa Tanganyika nao wanaiita Tanzania,sasa Tanzania kwa sasa ni muungano wa Tanganyika na nchi gani ? Montevideo Convention ya...
  13. polokwane

    JamiiForums Tanzania Sera ya CCM kuwa wafia chama badala ya nchi ndizo zinazo liua Taifa, wakibadili tu huo mtazamo wa tutapata viongozi bora kabisa maana wapo

    Na hata hivyo huko kwenye chama wanaburutwa tu kama tela la punda, Mambo ya zidumu fikra za mwenyekiti tangu zama za nyerere ndio zinazo liua sana taifa hakafu kuna anasema nyerere mtakatifu, anautakatifu gani wakati alijiandalia katiba inayo mlinda yeye
  14. funaku

    JamiiForums Tanzania Rais Mwinyi kumuwakilisha Rais Samia katika mkutano wa 65 wa Nchi zisizofungamana na upande wowote(NAM)

    Huu ni mkutano muhimu katika nyakati hizi za mivutano ya siasa za kiuchumi na kikanda
  15. T

    JamiiForums Tanzania Yaani CCM wakiwa na jambo lao hata kama ni la kutumbukiza nchi shimoni watashikamana na kulipigia debe hutajua yupi professor doctor au la saba

    Hiki chama kina matatizo sana yaani wao cha kwanza kwao ni maslahi ya chama kwanza. Na sababu kuu ni kwamba wameaminishwa kwamba hakuna maisha nje ya chama hivyo mtu yuko tayari kusaliti dhamiri yake kusaliti elimu yake na kusaliti utu wake ilimradi tu asiende kinyume na chama. Yaani kwa kifupi...
  16. technically

    JamiiForums Tanzania Wakuu nchi inauzwa tuitisheni maandamano haraka iwezekanavyo

    Nimesoma mkataba wa Siri wa bandari Nimesoma mikataba ya ujenzi wa viwanja vya afcon Nimesoma mikataba ya barabara Nimesoma mkataba wa bandari ya bagamoyo. Nimesoma mkataba wa ngorongoro Nimesoma mikataba wa makaa ya mawe,gasi na uranium kusini Aisee ni majanga niwaambie tu nchi yetu...
  17. gimmy's

    JamiiForums Tanzania Kwa kutotoa press ama kauli yeyote mpaka sasa kwa issue ya makamo kujiudhuru ni ishara kwamba mkuu wa nchi atakua anaupima upepo.

    Tangu mh Nchimbi ajiudhuru mpaka sasa ni takribani siku ya nne lakini hakuna kauli yoyote ya mkuu wa nchi. Kwa namna ya ukubwa wa jambo lenyewe ilipaswa mpaka sasa nchi iwe imesikia kauli yoyote kutoka kwa raisi lakini yuko kimya. Kimkakati ni kama anaupima upepo kusikilizia yanayoendelea...
  18. Crocodiletooth

    JamiiForums Tanzania Nchi yetu inapoelekea kwenye maendeleo makubwa,ni lazima ilindwe kwa nguvu kubwa,lakini kwa uwazi mkubwa!.....

    ••Kwenye uwazi na ukweli ndipo tunapokosea, ••Mambo ya siri,mikataba ya siri ndilo tatizo kubwa. ••Wakati taifa letu likielekea kwenye uchumi mkubwa the way ndipo tunapojiongezea maadau wengi zaidi wa kiuchumi,maadui hawa wengi ni miongoni mwetu sisi wenyewe kwa kutumika na walio nje wenye...
  19. L

    JamiiForums Tanzania Kiti Cha Urais Ndicho Kinacholindwa Kwa Jasho Na Damu Maana Ndio Nchi Yenyewe. Ukileta Ujuaji, Usaliti, Hujuma na undumila Kuwili Utajutaa Kuzaliwa

    Ndugu zangu Watanzania, Hata Hayati Baba Wa Taifa Amewahi kusema na kuandika katika kitabu chake cha Uongozi wetu na Hatima ya Tanzania cha Mwaka 1994 ya kuwa Ukimtikisa Rais Wa Nchi unakuwa Umeitikisa Nchi yaani Huwezi kumtikisa Rais wa Nchi na Nchi ikabakia Salama. Unaweza kumtikisa...
  20. B

    JamiiForums Tanzania Kwa Nini watu wanaipenda ccm kuliko nchi ( msukuma cjakuelewa / kupigana short umemanisha nini

    Kwa Nini watu wanaipenda ccm kuliko MASRAHI ya nchi tatizo lipo wapi Ni pesa au Nini kilichojificha .. Msukuma unasema kupigana short Kwa hyo kudai KATIBA ni kupigana short ,mauji ya October ni kupigana short,kutekwa ni kupigana short ,polepole yupo wapi ni kupigana short Kwa hyo...
Back
Top Bottom