nchi

  1. President of China

    JamiiForums Tanzania Je, Nchi za Ulaya zimepuuza Bunge la EU?: Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Serikali ya Jamhuri ya Czech zimetia saini Mkataba muhimu

    Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Serikali ya Jamhuri ya Czech zimetia saini Mkataba wa Kuondoa Utozaji Kodi ya Mapato Mara Mbili na Kuzuia Ukwepaji Kodi, hatua itakayosaidia kufungua uchumi wa nchi kwa kuvutia uwekezaji wa kimataifa na utawezesha wawekezaji na wafanyabiashara...
  2. vnn

    JamiiForums Tanzania Hivi Kuna haja gani ya Nchi kuwa na wabunge? Je, Haiwezekani nchi kuendelea bila wabunge?

    Nashindwa kuelewa kwani lazima kila kitu tuige nje, binafsi mimi kama mimi sioni tija yoyote ya kuwa na wabunge kwenye hii nchi zaidi naona ni mzigo tu wabunge 400 nchi hii wa kazi gani? Inabidi tupungize matumizi yasiyo na lazima ili tuelekeze kwenye maendeleo mengine Kama kuna faida za...
  3. Genius Man

    JamiiForums Tanzania Machafuko kwenye nchi yanatokana pale mtu anapojawa na tamaa za madaraka

    Tumetoka kwenye utawala wa kisheria sasa tunaingia kwenye siasa za kutoana roho, lawama zote na kiini cha haya yote ni mtu mmoja tu mwenye tamaa ya madaraka. Hii inaweza kupelekea vita vya sisi kwa sisi Tanzania kwa sasa sio salama tena kuna uwezekano wa machafuko kutokea hatakama watanzania...
  4. Komeo Lachuma

    JamiiForums Tanzania Kwa hii hali ya Nchi yenu kwa sasa Sitaki nirudi maana hamchelewi kunihujumu

    Sijawahi jua taratibu mtu unapotaka kusafiri. Najua ukiwa na Documents inatosha. Sasa kwa nchi ilivyo nadhani ni mpaka uage kwa rahisi kwanza. Mi sirudi huko kwenu mnaendeshwa na kuongozwa na vilaza. Hakuna wenye uelewa hata wa kawaida tu. Common sense.
  5. Fbn

    JamiiForums Tanzania Uzuri wa kuunda genge ili liwe kinga ya madaraka yako kuna siku linakugeuka wewe mfano Sudani

    Napenda kutoa mfano mchache tu wengine mtaweka hapa. Watawala wakishafika kujenga genge la kuwasimamia kila kona kuna siku watapenda nao nafasi uliyopo washike wao endapo mkipishana. Swala la sudani lilikuwa funzo tosha ila ndio basi tena. Hata kule congo laurent kabila nalo lilikuwa hivi...
  6. Webabu

    JamiiForums Tanzania Ziara za mwanzo za Trump awamu ya pili kuzitembelea nchi za ghuba ni dalili za kuishiwa kwa Marekani

    Ziara za mwanzo kubwa za raisi Trump katika kipindi chake cha pili cha uraisi imekuwa ni nchi tatu za ghuba zenye uchumi mkubwa duniani na rasilimali za kutosha za nishati.Nchi hizo ni Saudi Arabia,Qattar na Umoja wa Falme za kiarabu. Pamoja na mambo mengine lakini malengo makuu ya ziara hizo...
  7. A

    JamiiForums Tanzania Mapendekezo: Kwa Sababu ya Matokeo Mazuri Nchi Inayopata kila Kitu kipewe Jina Lake

    Kutokana na matokeo Mazuri Nchi iliyopata , ni vizuri kila kitu cha nchi hii Kipewe Jina lake kabla ya maneno Mengine Mbele yake. Mfano Yahaya Tanzanite, Yahaya Gold, Yahaya Katiba, Yahaya Ali Hassan Mwinyi Road, Yahaya Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania
  8. M

    JamiiForums Tanzania Unaweza jiuliza hali iliyoko ya nchi ya kuelekea kupoteza umoja imeletwa nani

    Bila mihemko na kwa msaada wa historia hii tokea uhuru tunaweza jiuliza hali iliyoko ya nchi ya kuelekea kupoteza umoja imeletwa nani. 1. Samia na Waislam 2. Nyerere na Wakristo Tukizingatia kuwa ubora wa Serikali huamuliwa na falsafa au imani ya walio ndani ya Serikali. Kwa maana The Quality...
  9. BabaMorgan

    JamiiForums Tanzania Hii ni coincidence ama mpango nchi zote za Africa zilizopo karibu na bara la Europe ni za Waarabu.

    Ukiangalia kwa haraka unaweza kuchukulia poa how come pale juu hakuna taifa lolote la Waafrika weusi? Kwa Nini chini mwa Sahara desert hakuna tena nchi ya kiaarabu? Niamini Mimi Kuna namna watu hawakutaka watu weusi wawe na direct access kwenye nchi za Europe.
  10. F

    JamiiForums Tanzania Kesi ya Lissu: Linalowatesa upande wa mashtaka muda huu ni namna ya kujitoa kwenye kesi, panya kashakula vyote ndani ya mtego ila hajui atoke vipi.

    Hadi sasa sababu nzuri za kumshtaki Lissu kwa makosa ya uhaini zinatia shaka na upande wa mashtaka wanaumiza vichwa kutafuta mashiko katika kesi hii ya kihistoria. Upande wa mashtaka walitamani kesi isikiliziwe uvunguni katika chumba cha giza bila Umma kujua kinachoendelea lakini Lissu...
  11. Genius Man

    JamiiForums Tanzania Polisi hawawezi kusema wanachunguza kitu ambacho wananyooshewa vidole na zaidi ya nchi nzima kama wahusika lazima wananchi mbeya wajilinde

    Hatuwezi kusema na haiwezekani tuchunguze kitu ambacho watu zaidi ya maelfu wana tunyooshea videlo kama wahusika na utekaji wa mdude, alafu tuje na majibu mepesi kwamba tunachunguza hamuwezi kujichunguza. Wananchi wa mbeya wanayo haki ya kuchunguza tukio hilo na kujilinda dhidi ya wahalifu...
  12. Mto wa mbu

    JamiiForums Tanzania Huyu Katrina, anaiwakilisha nchi gani kwenye bunge la umoja wa ulaya?

    Huyu bidada kwenye debate ya Tundu Lissu kwenye bunge la umoja wa ulaya, ndo Mbunge aliyepiga spana aswaa. Alienda mbali na kusema misaada ya umoja wa ulaya Kwa Tanzania ije na masharti ya ukuaji na kulinda demokrasia na haki za binadamu. Aliingea mengi ila mwisho alisema watanzania wanaoteswa...
  13. Mganguzi

    JamiiForums Tanzania Hata CHADEMA wakichukua nchi bado wapinzani wataendelea kutekwa na kupotea. Wapinzani sio lazima wawe CHADEMA hata CCM ni wapinzani kwa CHADEMA

    Nimeona kada wa chadema singida akipigwa na kupoteza fahamu ndani ya kikao Cha ndani Cha chadema, na wanaompiga wanasikika wakisema huyu ni team Mbowe huyu mshughulikieni !! Sijajua kama CHADEMA wakichukua nchi watu wataacha kupotea! Maana najua kwa Sasa ndani ya CHADEMA kuna wapinzani...
  14. C

    JamiiForums Tanzania Msaada anaejua namna ya Kuandaa ndizi kwajili ya Export kwenda nje ya Nchi Nimuajiri anahitajika hata saivi

    Habari Ndugu Nina ndugu zangu waarabu wamepata tenda uko kwao ya kupeleka ndizi kwa maana ya export kwenda nje ya nchi za uarabuni na wamenieka mimi kuwa mtu kati yao niwasaidie na tunagawana percent ila sina ninachojua kwenye uandaaji na packaging ili zifike salama ninachojua ni ndizi...
  15. N

    JamiiForums Tanzania Mabadiliko ya katiba na mifumo ya nchi hayaepukiki: Madereva 70 toka Tanzania wenye vyeti toka NIT wafeli mtihani wa driving Doha, Qatar

    Wakati raia wengi wakitaka mabadiliko kuanzia kwenye katiba na mifumo mingine inayoongoza nchi ili kuendana na mabadiliko ya science na technologia, Watanzania 70 wamejikuta wakishindwa usahili wa kuendesha magari ya kisasa aina ya VOLVO nchini Qatar na kubaki wakishangaa. Hayo yamesemwa na...
  16. Mag3

    JamiiForums Tanzania Nchi iliyojaa neema yageuka kuwa taifa la ombaomba...asante CCM!

    Misaada peke yake tunayopata ingetosha kuendesha nchi hii bado mikopo na tpzp!
  17. K

    JamiiForums Tanzania UVCCM itisheni maandamano makubwa nchi nzima kupinga maazimio ya umoja wa Ulaya tuone kama MULIRO atayazuia

    Sijui kwanini mwachelewa wakati sababu zipo Waonyesheni mabeberu kuwa hatutaki kupangiwa na tuko huru Police wawasaidie kuratibu na watumieni wafanyakazi wote wa serikali kihamasisha yule asiyetoka katika maandamano hayo ashughulikiwe kwa mujibu wa Sheria
  18. funaku

    JamiiForums Tanzania Bunge la Tanzania limtangaze Catarina Viera kama adui wa Katiba ya nchi

    Kifungu 107 B cha Katiba kinazuia mahakama ya Tanzania kuingiliwa na chombo chochote na hivyo kuwa huru kimaamuzi. Leo hii Lissu akiachiwa wapo watakaojiuliza jee mahakama haijaingiliwa na Azimio la bunge la Ulaya katika kufanya maamuzi?? Wajuzi wa Sheria Pascal Mayalla njooni mjadili
  19. JamiiForums

    JamiiForums Tanzania Je, Tunazifahamu Vyema Nchi za Kinordic?

    Nchi za Kinordic; Sweden, Norway, Denmark, Finland na Iceland zinajulikana sana miongoni mwa Watanzania kwa sifa chache mashuhuri—kama vile maisha bora ya wananchi wao, elimu ya bure, kiwango kidogo cha rushwa, usawa wa kijinsia na viwango vya juu vya furaha. Lakini je, tunafahamu zaidi ya...
  20. B

    JamiiForums Tanzania Mbunge Bunge la Ulaya: Pesa zetu za Umoja wa Ulaya zinatumika kusaidia Serikali kandamizi Tanzania

    MAZITO YAJADILIWA KATIKA BUNGE LA ULAYA, TUNDU LISSU KESI YA UHAINI, ALI KIBAO KUUAWA,,WATU KUPOTEZWA N.K https://m.youtube.com/watch?v=4QH2juya5sk Wabunge wa Bunge la Ulaya wasema kuwa zile 4R za rais Samia Hassan zimetuhadaa Misaada mfano €160,000,000 na mingine mingi ya EU inatumika...
Back
Top Bottom