nchi

  1. Echolima1

    JamiiForums Tanzania Magaidi wa Hamas yapongeza nchi za Uingereza,Ufaransa na Kanada

    Unaposifiwa na Hamas - shirika la kigaidi la jihadi ambalo linaua watoto na kuwabaka wanawake - uko upande mbaya wa historia. Ni fedheha iliyoje kusifiwa na magaidi? Ufaransa,Uingereza,Kanada na wengine jitafakarini sana sana.
  2. Crocodiletooth

    JamiiForums Tanzania Rais Samia, Nchi umeifungua haswa, mengine yajayo ni ya kupuuzwa!

    Nchi imefunguka kisawa sawa, dunia yote macho kwa Tanzania, Tanzania hii sasa, kwa kuwa ina heshima yake, basi tuifungue na tuidumishe heshima yake sambamba. Ujio wa wageni mbalimbali kwenye kesi ya Lissu, ni moja ya mapokeo au matunda ya ufunguzi wa taifa letu kwani nathubutu kusema...
  3. Komeo Lachuma

    JamiiForums Tanzania Nchi za Kiarabu zitusaidie Kutujengea Misikiti Mikubwa na Madrasa huku Tanzania

    Huu ndo wito wangu kwa nchi za Kiarabu. Watusaidie sisi waumini wao na ndugu zao kutujengea Misikiti Mikubwa kila Wilaya na Tarafa. Pia watujengee na Madrasa nyingi za kutosha tuwafundishe watoto kushika Dini yao. Kila baada ya angalau kilometre 2 kuwe na Msikiti na Madrasa. Hii itasaidia sana...
  4. H

    JamiiForums Tanzania Uhuru wa nchi za Afrika haukupatikana kupitia demokrasia na haitokaa itokee bali kwa mtutu wa bunduki

    Huu ndiyo uhalisia "no pain no gain"
  5. Tauceti Rigel

    JamiiForums Tanzania Muhtasari wa Kiama Dakika kwa Dakika: Yatakayojiri Vita ya Nyuklia Kati ya Umoja wa Nchi za Ulaya na Urusi Juu ya Mgogoro wa Ukraine

    Je, umewahi kufikiri dunia inaweza kufutwa kwa dakika ishirini tu? Je, maisha yote tuliyoyajenga – shule, familia, ndoto – yakaisha kwa sauti moja ya kishindo? Huu si utani. Si sinema ya Hollywood. Ni uhalisia unaovizia mwanadamu kwa kivuli cha siasa na teknolojia. Rais wa Urusi, Vladimir...
  6. B

    JamiiForums Tanzania Kesi ya Lissu: Ushauri wa Bure kwa Rais Samia, achana na hii kesi Haina maslahi yoyote kwako, CCM, wala nchi!

    Kwako rais Samia: Aibu hii ya nini? Lissu ni kama Yesu mbele za Pilato. Hana hatia. Wanaopaswa kukushauri kuachana na kesi hii wanasubiri uangukiwe na jumba bovu. Utakuwa mgeni wa nani kwa mwendo huu? Achana na kesi hili la kubumba. Wawajibishe wote wasiokutakia mema. Acha haki...
  7. A

    JamiiForums Tanzania Maneno ya Jaji Mkuu wa India juu ya Katiba na Mihimili 3 ya nchi. IPO kwa KiingerezaConstitution is supreme, not us': CJI Gavai urges harmony between

    Constitution is supreme, not us': CJI Gavai urges harmony between judiciary, executive, and Parliament | India News - The Times of India In his first public address since assuming office, Chief Justice of India B R Gavai on Sunday asserted that it is not the judiciary, executive, or Parliament...
  8. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Waziri wa Mazingira wa Norway ateta na Waziri wa nchi Ofisi ya Makamu wa Rais, Hamad Masauni

    Waziri wa nchi Ofisi ya Makamu wa Rais, Hamad Masauni amekutana na kufanya mazungumzo na Bw. Andreas Bjelland Eriksen - Waziri wa Hali ya Hewa na Mazingira wa Norway. Mazungumzo hayo yalilenga ushiriki wa Tanzania katika COP30 na majadiliano kuhusu taka za Plastiki, yalifanyika katika Ofisi...
  9. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania PICHA: Wachina wakishangaa muwakilishi wa nchi yenye njaa akiwa mnene kuzidi wao watoa msaada

  10. Webabu

    JamiiForums Tanzania Nchi za kiarabu zakutana Iraq na kupiga picha ya pamoja siku moja kabla ya Israel kuanzisha operesheni ya kuiteka Gaza.

    Mataifa ya kiarabu yameendelea kujitusi yenyewe kwa kufanya kikao nchini Iraq na kuondoka bila matamo yanayoendana na wakati. Katika mkutano huo wa 34 mataifa hayo yamerudia azimio la kuijenga upya Gaza na kwamba wanapinga kuhamishwa kwa wapalestina kutoka ardhi yao hiyo. Mkutano huo...
  11. Lord Denning

    JamiiForums Tanzania Ufisadi wa Kutisha: Wanasiasa na Viongozi wa Umma kununua viwanja kwa Mabilioni ya Pesa huko Arusha! Watanzania tusiposimama imara, tumekwisha

    Kuna tuhuma nzito zimetolewa zikiwa na ushahidi kuhusu Viongozi wa Kisiasa na Utumishi wa Umma kununua viwanja kwa mabilioni ya pesa huko Arusha. Kwenye tuhuma hizo zilizotolewa usiku huu na Mtanzania Mange Kimambi kupitia Akaunti yake ya X zimeonesha Mkuu wa Mkoa wa Arusha Bw. Paul Makonda...
  12. Fbn

    JamiiForums Tanzania Nchi zilizoendela zinaonyesha kuwa na upweke sana na marafiki zao ni wanyama wa kufuga majumbani

    Kama usafiri unaweza kubisha hii mada. Wenzetu unaweza kuwa na jirani na wala msiwe na urafiki na mazoea. Nchi zilizoendelea ni ngumu sana kuwa na mazoea ya kulazimishana na urafiki kama huku afrika. Ndio maana wanaruhusiwa kumiliki bunduki wajikinge na CCm wasiojulikana. Wenzetu wameona...
  13. Yoda

    JamiiForums Tanzania Kwanini Marekani imeshindwa kuanzisha makundi ya kigaidi katika nchi mahasimu zisizo za Kiislamu?

    Kuna ukweli gani kwa madai ya baadhi ya watu kwamba Marekani ndiyo mwanzilishi wa makundi ya kigaidi kama Al-Qaeda, ISIS, Boko Haram na mengine mengi yanayosumbua katika nchi za Kiislamu au Kiarabu ili kuvuruga amani na kuchota rasilimali? Kwa nini Marekani haijaanzisha makundi ya kigaidi kama...
  14. Jack Daniel

    JamiiForums Tanzania Siasa za nchi yetu pamoja na wanasiasa wetu wenye tamaa

    Habari jamii Africa. Mmmmh. Poleni wananchi wa Tanzania, Poleni raia wa Tanzania. Lakini poleni zaidi wapenda Mabadiliko wa Tanzania. Mimi ni mmoja wa wapenda Mabadiliko,ambaye sipo upande wowote wa chama,japo kazi zangu naweza jikuta natekeleza ilani ya CCM ila nachojua Mimi nawajibika...
  15. K

    JamiiForums Tanzania Tutengeneze wazalendo ndani ya vyombo vya usalama kukomboa nchi

    Tutengeneze wazalendo ndani ya vyombo vya usalama kukomboa nchi na sio vyama au vyeo. Tutaona mabadiliko makubwa. Walinde kura badala ya kuiba, walinde watu badala ya kuwateka na wapiganie haki
  16. Tochuku

    JamiiForums Tanzania Kama nchi we should be ashamed of ourselves kwa hili la uwanja

    Bilioni 30 zingeweza kutengeneza drainage systems za uhakika za kuzuia mvua kubwa zikinyesha ..teknolojia ambazo wangeenda hata kuchukua ujuzi hapo Zanzibar tu kua wamefanyaje wao kiwanja chao hata mvua Gani inyeshe panakua Pako kama hapajanyesha, hata tumeshindwa kuwatumia mainjinia wetu...
  17. H

    JamiiForums Tanzania Tarehe 15.5 iwe siku ya kuadhimisha MILA na DESTURI kwa nchi za Afrika!!

    Mei 15 kila mwaka nchi ya Burkina Faso inaadhimisha siku ya mila,desturi na tamaduni. Siku hii ni fursa ya kuonesha vyanzo vyenye rutuba vya maarifa ya mababu zetu ili kuhamasisha upendo wetu kwa nchi zetu. Urithi uliorithiwa kutoka kwa mababu zetu ni ngome yetu. Natumai kwamba kupitia sherehe...
  18. matunduizi

    JamiiForums Tanzania Kwanini Tangu waafrika tupate uhuru Hadi Sasa hakuna nchi Tajiri iliyofanikiwa

    Tatizo ni ngozi? Ubongo? Au tuliumbwa tuwe masikini na Tegemezi? Au hii sehemu Mungu aliiweka kama mashambani pa dunia watu watoke kwingineko waje wapige pesa na kuondoka. Maana Sasa hivi DUNIANI Kila rangi inayoamua kuendelea duniani inaendelea tena faster isipokuwa hii nyeusi rangi ya...
  19. President of China

    JamiiForums Tanzania Je, Nchi za Ulaya zimepuuza Bunge la EU?: Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Serikali ya Jamhuri ya Czech zimetia saini Mkataba muhimu

    Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Serikali ya Jamhuri ya Czech zimetia saini Mkataba wa Kuondoa Utozaji Kodi ya Mapato Mara Mbili na Kuzuia Ukwepaji Kodi, hatua itakayosaidia kufungua uchumi wa nchi kwa kuvutia uwekezaji wa kimataifa na utawezesha wawekezaji na wafanyabiashara...
  20. vnn

    JamiiForums Tanzania Hivi Kuna haja gani ya Nchi kuwa na wabunge? Je, Haiwezekani nchi kuendelea bila wabunge?

    Nashindwa kuelewa kwani lazima kila kitu tuige nje, binafsi mimi kama mimi sioni tija yoyote ya kuwa na wabunge kwenye hii nchi zaidi naona ni mzigo tu wabunge 400 nchi hii wa kazi gani? Inabidi tupungize matumizi yasiyo na lazima ili tuelekeze kwenye maendeleo mengine Kama kuna faida za...
Back
Top Bottom