nchi

  1. K

    JamiiForums Tanzania Je Tanzania ni nchi ya kidemokrasia? Sijui kama tunajielewa

    Hata huko China wameamua moja kwamba jamani sisi Demokrasia hatuna hivyo hivyo huko Russia Kakini hata Malawi, Zambia, Kenya, Botswana, SA wamechagua kwamba nchi zao ni za demokrasia Wenzetu wa Uganda na Rwanda ni mfumo wa familia na uongozi wa mtu mmoja Tanzania hatueleweke mara demokrasia...
  2. Ojuolegbha

    JamiiForums Tanzania Balozi wa Tanzania nchini Sweden, Mobhare Matinyi ameelezea namna anavyofanya majukumu yake

    Balozi wa Tanzania nchini Sweden, Mhe. Mobhare Matinyi, ambaye pia anatuwakilisha katika nchi za Denmark, Finland, Norway, Iceland, Estonia, Latvia, Lithuania na Ukraine, amefanya mahojiano katika taarifa ya habari ya ZBC na mtangazaji Abubakar Harith na kueleza atakavyotekeleza majukumu yake ya...
  3. KakaKiiza

    JamiiForums Tanzania Tanzania ni nini kinatusumbua au Rushwa umekomaza katika misuli ya nchi?

    Nilikuwa naangalia gharama za Ujenzi wa viwanja vya michuano ya kimataifa itakayofanxika 2027 ya AfCON gharama zetu zimekuwa kubwa sana Mfano Uwanja wa Tlanta jijini Nairobi unajengwa Kwa TZS Billion 44, capacity 60,000. Uwanja wa Arusha capacity 30,000 unajengwa TZS Billion 300. Hapo unapata...
  4. mcTobby

    JamiiForums Tanzania Hivi nchi zote duniani zikiungana kumpiga Mmarekani si itaanguka?

    Kama kichwa kinavyojieleza. Ikatokea nchi zote duniani kuanzia bara la Ulaya, Afrika, Asia yote tukaungana kumpiga mmarekani. Si tutamshinda asubuhi mapema? La sivyo ataendelea kuisumbua hii sayari kwa miaka mingi ijayo. NB: Sijapenda mchina anachofanyiwa na mmarekani. 😎
  5. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Stephen Wasira: Watanzania kataeni kuyumbishwa na wasiotakia mema nchi

    CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) kimewataka Watanzania wasikubali kuyumbishwa na vyama vya siasa vyenye kuhatarisha amqni na usalama wa nchi. Ameisitiza kuwa amani iliyopo si mali ya chama cha siasa bali ni tunu ya Watanzia na lazima ilindwe. Mqkqmu Mwenyekiti wa CCM Tanzania Bara, Stephen Wasira...
  6. Shobi

    JamiiForums Tanzania Tanzania ndio nchi inaongoza kwa kuwa na wengi Simba Duniani, Kwanini waliweka mnyama mpole kwa Twiga kuwa Nembo

  7. Yoda

    JamiiForums Tanzania CHADEMA ina uwezo mkubwa sana kutengeneza ajenda na mijadala ya siasa za nchi kitaifa

    Twende mbele turudi nyuma, CHADEMA ndicho chama chenye kutengeneza ajenda kubwa za nchi kujadiliwa kitaifa. Mijadala mkubwa zaidi inayoendelea kwa sasa katika siasa ni kukamatwa kwa na kushitakiwa kwa uhaini kwa Tundu Lissu, no reforms no election na CHADEMA kugomea kinachoitwa kanuni za...
  8. 05CUBA

    JamiiForums Tanzania CHADEMA ikipewa nchi inaweza kuiendesha kweli ?

    Kuna ndugu hapa ni mwana Chadema mzuri Sana na ni mwenezi wa TAWI. nimekaa nae nikamwuliza hili swali Ila amefeli kabisa kunipa hoja akaanza kunitolea maneno ya dhihaka badala ya kujibu swali. Binafsi sababu nnashida na majib kwa uthabiti nimeona nilete swali lang hapa JF. Swali: Je, Chadema...
  9. L

    JamiiForums Tanzania "Vita vya ushuru" vya Marekani vinasukuma nchi za Afrika kuongeza kasi ya kutafuta maendeleo kwa kujitegemea

    Wakati Marekani inapoanzisha duru nyingine ya vita vya ushuru na kuvuruga utaratibu wa biashara ya kimataifa, "jinsi ya kujitupia macho na kufanya mambo yenyewe" imezidi kuwa maoni thabiti ya pamoja ya nchi mbalimbali za Afrika. Rais William Ruto wa Kenya hivi karibuni alisema Afrika inaamini...
  10. T

    JamiiForums Tanzania Ukilinganisha na nchi tulizokuwa sawa kiuchumi wakati tunapata uhuru tunastahili kuhurumiwa.

    Najiuliza sana ni kwa nini viongozi wetu wanajiskia fahari katika mazingira ambayo walipaswa kujionea aibu. Maana tuna nchi nyingi sana ambazo miaka ya 60 na 70 nilikuwa nyuma yetu kiuchumi lakini Leo ziko mbali sana. Kukaa kutwa mnasifiana sijui ni kwa lipi!?
  11. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Yanayojiri katika nchi ya Hayati Julius Nyerere

    Amos Makala: CHADEMA wanakwenda kuleta virusi vya ebola na M-pox nchiki ili kuangamiza taifa letu. John Mwakangale: (akiwa kaburini) uli nhaaji! Jeshi la Polisi: Sisi kazi yetu ni kulinda amani mikutanoni hatuhusiki na siasa za majukwaani. Tundu Lissu: CCM na Serikali yake wasiposikia na...
  12. H

    JamiiForums Tanzania Nchi Ingekuwa Ni Mifumo Bora Ya Utawala Na Sheria, Viongozi wa CCM Ndio Walitakiwa Kukamatwa kwa Uhaini

    Hapa nchini petu, kupitia taarifa mbalimbali, zikiwemo za wapiga kura, na hata taarifa za watazamaji wa kimataifa wakati wa uchaguzi, CCM ndiyo imekuwa ikivuruga uchaguzi ili kupora mamlaka ya wananchi. Kule Zanzibar, watazamaji wote walithibitisha kuwa maalim Seif alikuwa ameshinda uchaguzi...
  13. E

    JamiiForums Tanzania Fursa: Nafasi 700 za Kazi za Kuangalia Wazee New Zealand

    Fursa: Nafasi 700 za Kazi za Kuangalia Wazee New Zealand (Kupitia Danvast Career Search) Habari wanajamii, Nimekutana na tangazo la kazi ambalo naona linaweza kuwasaidia baadhi yetu humu. Kuna nafasi 700 za kazi za kuangalia wazee (Caregiver Jobs) katika nyumba za kulelea wazee New Zealand...
  14. Mhaya

    JamiiForums Tanzania MDAU: Kwanini ni nadra kuona watu wakipeperusha bendera ya Palestina kwenye nchi za Uarabuni tofauti na wanavyofanya Ulaya au Marekani?

    Katika pitapita zangu nikakutana na hii video jamaa anamuuliza mdau mwingine kuwa kwa nini Hawa wafuasi wa Palestina na Uislamu hawawezi kupeperusha bendera ya Palestina wakiwa kwenye mataifa ya Kiislamu kama Dubai (UAE), Saudi Arabia, Qatar, na kwingineko, lakini wanafanya hivyo wakiwa nchi...
  15. chiembe

    JamiiForums Tanzania Chadema kupeleka saini 15 milioni umoja wa mataifa ni kutekenya mbuzi, Umoja wa Mataifa hauna nguvu ya kuingilia maamuzi ya ndani ya nchi

    Umoja wa Mataifa ni taasisi ya kidiplomasia, sio jeshi au mahakama ya dunia. Katika strategy ya hovyo ya chadema ni kupeleka saini umoja wa mataifa. Kama unaweza kukusanya saini 15 milioni, hizo ni kura za kushinda urais kabisa. Sasa kwa nini hao 15 milioni usiwageuze wakawa wapiga kura wako...
  16. N

    JamiiForums Tanzania Axian telecom (kampuni mama ya Yas) yapokea uwekezaji wa dola za Marekani milioni 100 kutoka EIB global kwa ajili ya kuboresha huduma za intaneti

    Waziri wa Posta na Mawasiliano wa Madagascar, Stéphanie Delmotte (katikati), akionesha mkataba wa dola za Marekani milioni 100 uliosainiwa kati ya Benki ya Uwekezaji ya Ulaya (EIB) na Axian Telecom (Kampuni mama ya Yas) kwa ajili ya upanuzi wa huduma za intaneti kwa ajili ya Tanzania na...
  17. julaibibi

    JamiiForums Tanzania Tumejipangaje kama nchi kuliteka soko la USA baada ya mchina kuwekewa tariff?

    Wote ni mashahidi jinsi vita vya tariffs baina ya US na China kwa jinsi ilivyo ni kwamba trade will go into stop. huwezi weka tariffs za 50% na ukategemea biashara iende. so tunaenda kwenye completely halt ya trade. Ukiangalia US analia un fair play kutoka kwa china na mchina nae anasema...
  18. M

    JamiiForums Tanzania Dawa ya Moto ni Moto tu, Yeyote Anayetaka Kuhatarisha Usalama wa Nchi Shughulika Nao

    Wengi tulitaka kushangaa huyu mtu anapata wap nguvu ya kutukana mamlaka, unadiriki kusema kuwa utafanya uasi, utaingiza watu barabarani, utakinukisha, wewe mwenzetu utaenda Belgium na 'shoga' yako Lema ataenda Canada. Mimi nitaenda wapi kikinuka, nitaenda Msumbiji? Nitaenda Uganda? NItaenda...
  19. Allen Kilewella

    JamiiForums Tanzania CCM mnataka mpewe nini ili muwe Imara?

    Mmeweka picha zake mpaka kwenye pikipiki Kwa maelfu lakini mikutano ya CHADEMA inawapelekesha na kuwapa kihoro. Mna viongozi wote wa Serikali za mitaa, wabunge na Rais na ziada ya mabango, lakini mikutano ya CHADEMA inawapa wazimu! Mnataka muwe na nini ili muwe imara?
  20. comrade_kipepe

    JamiiForums Tanzania Hivi kuna nchi rahisi kuongoza kama Tanzania? Nitajie

    Tanzania NI nchi rahisi na nyepesi MNO kiendesha kama kiongozi, kwanza haihitaji uwe na elimu Sana, Yani hata kama huna vigezo pia unaweza kua Raisi WA nchi hii na watu wote wakakutii. Hata kama uwe na uongozi m'baya vipi hiyo sio ticket kwamba unashindwa uchaguzi ujao, HAPANA, kuna kundi kubwa...
Back
Top Bottom