Raisi wa Africa ya kusini yupo USA ku nadi uwekezaji na kudumisha uwekezaji. Chama chake cha ukombozi kinashieikiana na chama cha africana wazungu ili kuweka nchi mbele ya matakwa binafsi.
Ruto ameweka pembeni tofauti zake na Odinga na wameweka nchi mbele na wote walikuwa China kutafuta...
Wakuu kwa sasa sio siri tena kwamba wamarekani wanasukuma kete zao kwa umakini mkubwa kutimiza agenda zao ovu dhidi ya nchi yetu. Hakuna kinachotokea kwa bahati mbaya hadi sasa. Martha Karua, Boniface Mwangi na hao wanaharakati wengine wanatumika tu kwenye hii mikakati ya wamarekani. Tayari US...
Rais Samia ametoa maagizo mazito kwa Lazaro Jacob Twange, Mkurugenzi Mtendaji mpya wa TANESCO, akimtaka kuiongoza taasisi hiyo nyeti kwa weledi, uzalendo, na ufanisi mkubwa. Akimwelekeza rasmi kuanza majukumu, Rais Samia amesema TANESCO ni taasisi ya kimkakati inayohusiana moja kwa moja na...
Marekani kupitia ukurasa wake wa Mahusiano ya mahusiano ya Nchi za Afrika pale kwenye mtandao wa X ameripoti kusikitishwa na matendo ya Tanzania ya kutowatendea vyema wanaharakati wawili wa Kiafrika kutoka Uganda na Kenya. Na wameitisha Nchi za Ukanda huu wa Afrika Mashariki kuchukua hatua zaidi...
Si Samia na CCM yake Wala IGP , Hawa wahuni wore ni Mafisadi ,Mafisadi wa kutupwa !.
Mmeona JUZI, IGP anakua na balance CRDB zaidi ya 1 Bilioni .
hapohapo utamsikia muhuni huyu anakuja kukuambia "Amani Amani Amani watanzania tulinde Amani".
Unaimbishwa Amani yeye Bank ana Bilioni Kadhaaa...
Wengi wetu tulikuwa wenye mashaka (skeptical) kuwa Kim Jong UN, al maaruf Kiduku, kaamuwa kusilimu na kuwa Muislam kamili baada ya kuusoma Uislam kwa miezi kadhaa.
Leo nimepekuwa sana mtandao na binafsi nimejihakikishia kasilimu kweli na wananchi kadhaa wa Korea Kaskazini wamemfata Rais wao...
Hakuna Taifa duniani linaweza kuwa kichaka cha kizazi cha wanaharakati lialia wanaotukana serikali au kuchukua misimamo na mirengo hatari kwa usalama.
Hii ndio demokrasia.
Wanabodi,
Hii ni makala yangu gezeti la Mwananchi.
Leo, naendelea na zile makala za Ijue Katiba ya JMT, leo nikijikita kwenye umuhimu wa mabadiliko madogo ya katiba, minimum reforms, kuna Watanzania wengi wamelisikia hili neno minimum reforms, baada ya Chadema kulivalia njuga na kutoa kauli...
Sekta ya michezo ya Kamari barani Afrika inaendelea kukua kwa kasi, ikivutia wawekezaji, wasimamizi wa sheria na watafiti. Ukuaji huu unachangiwa na idadi kubwa ya vijana, upatikanaji wa intaneti na matumizi ya simu janja.
Ripoti ya GeoPoll ya Aprili 2025 inaonesha kuwa idadi kubwa ya watu...
Tanzania imeingilia mambo tena ya kisiasa ya nchi zote hapo chini. Kama hujui kasome historia ya Tanzania. Wanaosema sijui Tanzania hawataki uharakati sisi tulikuwa na wanaharakati hapa kutoka kila nchi. Kamuulizeni Generali Ulimwengu
Kenya
Uganda mpaka vita
Rwanda na Burundi
Congo
Zambia...
Kwa jinsi hali inavyokwenda na baada ya mabepari kugundua vyomba vya habari vya Tanzania havina ubavu wa kuikosoa serikali ya Tanzania, ni wazi sasa wanaanza kuvitumia vyombo vyao vya habari na vya nch jirani kuikosoa kweli kweli Tanzania.
Ukiingia kwenye blogs, mitandao ya kijamii mbali mbali...
Akili za baadhi ya watu huwa hazieleweki zinavyofanya kazi. Yaani kweli mtu mliyemtukana wee na kutweza utu wake, mutawezaje kumuomba msaada kwa matatizo yanayowapata kutokana na laana ya matusi na matendo yenu?
Kwa nini sasa mnakuwa na wasiwasi na uoga tele munaposikia kuwa mtu huyo kaamua...
“Wametembea, wamejaribu kwenda kuleta mchezo wanaoleta hapa katika manchi jirani, nini kimetokea?, tukiambia Waty that Kenya is so democratic they don’t believe it”
“Watu wanatoka katika Taifa zingine wanakuja kufanya maandamano hapa, haya wamejaribu, hawakutoka kwa Airport, wameambiwa rudi...
Ndugu zangu kwa hali hii sasa ma papa wamejipanga kupeana vitengo wao kwa wao kwa mipango yao. Tayari wanataka waonyeshe kwamba kuna demokrasia kumbe ni hakuna kitu.
Mwananchi wa kawaida kazi yake ni kulipa Kodi kuwalisha ma papa.
Ukombozi wa nchi hii upo mikononi mwa WANANCHI wazalendo...
Wanasema mwanadamu ametokana na udongo lakini udongo wa maskini huonekana kuwa wa thamani pungufu. Ni kana kwamba aliumbwa si kuishi, bali kubeba, kutumikia, na kuteseka. Misuli yake ni injini ya viwanda, damu yake ni mafuta ya mashine ya mfumo, lakini jina lake halionekani kwenye faida...
WAZIRI MAVUNDE AONGOZA KIKAO CHA KIMKAKATI WA KIUCHUMI WA NCHI KUPITIA SHIRIKA LA MADINI LA TAIFA (STAMICO)
▪️Lengo ni kuiwezesha Taifa Kushiriki kikamilifu katika uvunaji Rasilimali Madimi kupitia uwekezaji Mkubwa wa STAMICO
▪️STAMICO kuweka nguvu kubwa katika madini mkakati na adimu...
Kulikuwa na utawala wenye ukatili wa wazi wazi na matendo yenye kufanana na hapa kwetu.
Ila walipovuka mipaka wakajikuta tumemtoa mpaka yeye.
Kitendo cha kufanya yale yale kuvuka mipaka kitakuja kumfanya kama alivyofanyiwa IDD amin.
Kumbuka hata ZNZ ilisaidiwa na mtu wa Uganda.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.