Jua haya kuhusu Vatican

jamaikatz

Member
Jul 11, 2023
51
132
Ukifika pale Italia, kuna sehemu ndogo ya nchi, inaitwa Vatican. Hapo ndipo yalipo makao makuu ya Kanisa la Roman Catholic ambapo mkuu wa kanisani hilo ni Papa.

Pale Italia wana pesa yao, ila haitumiki ukiingia Vatican. Kule Vatican wana pesa yao na unaweza kuitumia hata Italia.

Rais wa Italia, Bwana Sergio Mattarella hana mamlaka katika serikali ya Vatican, ila Papa ana mamlaka makubwa katika serikali ya Italia.

Mtu wa Vatican anahesabika ni Muitaliamo pia, ila Muitaliano huhesabiki kama Mvatican.

Polisi wa Italia wakienda Vatican, kuna sehemu hawatakiwi kukanyaga kabisa, yaani wamewekewa mipaka ya kuvuka nchini humo.

Vatican ina raia 800 tu ila ndiyo wanaisshikilia dunia yenye binadamu zaidi ya bilioni 7.

Vatican hakuna hospitali, so hakuna suala la kusema umepata uraia kwa kuzaliwa. Wao washajiwekea ni watu 800 tu. Akifa mmoja, analetwa mwingine.

Hapo Vatican kuna museum 70,000 ambapo utaangalia historia za sehemu mbalimbali. Wana vitabu vya historia ya kila taifa duniani. So wanazijua nchi zote mpaka serikali zake. Na kwa siku hupokea watalii 25,000.

Vatican ina miaka 95 tu tangu alianzishwe.

Ndani ya Vatican, kuna maeneo mtu mwenye tattoo haruhusiwi kuingia.

Papa halipwi ila Vatican huingiza mapato ya dola milioni 300 kwa mwaka ambazo hutumika kwa ajili ya chakula, pesa kidogo kwa papa na kugharamia safari zake.

Wanajeshi kutoka nchini Uswisi ndio wanaoilinda Vatican.

Vatican haizitambui nchi mbili tu duniani, China na Korea Kaskazini.

Benki ya Vatican inamiliki assets ya dola bilioni 64.

Vatican inatumia benki ya Istituto per le Opere di Religione kuhifadhi pesa zao. Kuna kipindi wezi waliiba humo, walikufa vifo vya kutatanisha (Niliandika zaidi kundini Whatsapp).

Unapoingia Vatican, unaruhusiwa kubeba kamera yako popote pale isipokuwa katika kanisa la Sistine.

Unapoingia kwenye museum youote pale Vatican, unaruhusiwa kupiga picha ila kamera isiwe na flash.

June 22 mwaka 1983 mwanamke aitwaye Emmanuela alipotea katika mazingira ya kutatanisha huko Vatican alipokuwa akisomea shule ya muziki. Kuna stori tamu sana juu yake,

Vatican inamiliki telescope kubwa huko Arizona ya kufanyia tafiti zao mbalimbali.

Huwa nawaambieni, mkisikia Papa, jua umemsikia mtu mkubwa sana, yaani mkubwa kuliko unavyofikiria. Na ukisikia Roman Catholic, jua umesikia kanisa kubwa mno kuliko unavyofikiria.

Kuna maamuzi huwezi kuyafanya pasipo ruhusa kufika Vatican.

Dunia ipo kiganjani mwao.

Mengi nitayaandika kundini kuhusu Papa, Vatican na hata uongozi wao kwa dunia ya leo.
 
Biblia inasema
Uyo mnyama ni ufalme ndani ya ufalme
Mamlaka ndani ya mamlaka.
Imezungukwa na vilima saba.
 
Romani sio kanisa
Ila ni dhehebu

Na wala sio kanisa la kwanxa ila ni dhehebu la kwanza
Kahaba mwanamke alieasi neno la mumewe.
Nae akazaa mabinti wanaofanana nae

Kanisa la kwamza lilianza yerusalem na alilianzisha mungu mwenyewe
 
Papa ni mtu Mkubwa sana.
Ndiye anayemwakilisha Mungu hapa duniani
Ana ufunguo, na lolote analolifungua au kulifunga hapa duniani linafunguliwa au kufungwa Mbinguni pia.

Labda mwezeshaji niulize swali kidogo, kwanini Vatican haitambui China na Korea Kaskazini?
 
WEKA PICHA TUPAONE
 
Amka kumekucha mkuu.
 
unasema hakuna hospital wanapo ugua wanatibiwa wapi au kuna miujiza
pia huwez pata uraia kwa kuzaliwa maana yake hawazaliani mwanamke haruhusiwi kubeba ujauzito au huo mji wanaishi wanaume tu???????
 
Enyi wagalatia msio na akili ni nani aliye waloga?
 
unasema hakuna hospital wanapo ugua wanatibiwa wapi au kuna miujiza
pia huwez pata uraia kwa kuzaliwa maana yake hawazaliani mwanamke haruhusiwi kubeba ujauzito au huo mji wanaishi wanaume tu???????
Hospitals and delivery rooms are absent in the Vatican city. Therefore, it is not possible to become a citizen of the Vatican through birth. Access to clinics and hospitals in Rome for care is mandatory for all patients.
 
umeniacha njia panda na lugha ya malkia 😉
 
Samahani sana.
Hospitali na vyumba vya kujifungulia havipo katika mji wa Vatican.
Kwa hivyo, haiwezekani kuwa raia wa Vatican Kwa kuzaliwa.
Huduma za afya wanaenda Roma.
 
Samahani sana.
Hospitali na vyumba vya kujifungulia havipo katika mji wa Vatican.
Kwa hivyo, haiwezekani kuwa raia wa Vatican Kwa kuzaliwa.
Huduma za afya wanaen
ni kwa nini hakuna hospital hapo wanakwepa nin
au mazingira hayaruhusu
 
Papa ni mtu Mkubwa sana.
Ndiye anayemwakilisha Mungu hapa duniani
Ana ufunguo, na lolote analolifungua au kulifunga hapa duniani linafunguliwa au kufungwa Mbinguni pia.

Labda mwezeshaji niulize swali kidogo, kwanini Vatican haitambui China na Korea Kaskazini?
Unaweza kulithibitisha ili kwenye maandiko??

Wapi mungu aliposema papa atakuwa muwakilish wake duniani!?
Ama kwamb Mungu alimpa papa funguo ??

Mungu alimkabidhi petro na kanisa funguo
Hakuna mahali Mungu alimpa papa funguo
Nawala petro hakuwah kuwa papa na ata kukanyaga vatikan hakuwahi.

Ni shetani akiwawekea mtu kuchukua nafasi ya Bwana yesu

Biblia inasema mwakilish wa Mungu dunian ni Bwana yesu.
Ntakuonyesha kwenye maandiko
Na ww unionyeshe ambapo Mungu alimfanya papa kuwa mwakilishi ama mbadala wake

Ufunuo wa Yohana 13:17-18
[17]tena kwamba mtu awaye yote asiweze kununua wala kuuza, isipokuwa ana chapa ile, yaani, jina la mnyama yule, au hesabu ya jina lake.
And that no man might buy or sell, save he that had the mark, or the name of the beast, or the number of his name

.
[18]Hapa ndipo penye hekima. Yeye aliye na akili, na aihesabu hesabu ya mnyama huyo; maana ni hesabu ya kibinadamu. Na hesabu yake ni mia sita, sitini na sita.
Here is wisdom. Let him that hath understanding count the number of the beast: for it is the number of a man; and his number is Six hundred threescore and six

VICARIUS filli DEI ni jina la papa
Maana yake ni mwakilishi ama mbadala wa mwana wa Mungu

.
FEXqQ9kUYAANjMM.jpg
Papežská_tiára.jpg
 
Back
Top Bottom