nchi

  1. Lord Denning

    JamiiForums Tanzania TISS imefikia huku. Wanapiga picha wakiwa kwenye msafara na kujipost. Kweli Nchi imejifia hii

    Huko Instagram nimekutana na hiki kituko. TISS ya sasa wamefikia kujipiga picha wakisafirisha consignments na kujipost. Kweli Nchi imeshajifia hii
  2. Mhaya

    JamiiForums Tanzania Waislamu waziba barabara Canada wakishinikiza Palestina iachwe huru, watu wahoji kwanini wasiende kuandamana huko uarabuni

    Nchi nyingi za Magharibi kwa miaka mingi zimekuwa zikikariwa na jamii ya watu wa Dini ya kikristo, Nazungumzia Amerika Kaskazini, Amerika Kusini na Ulaya. Lakini hivi karibuni kumekuwa na ongezeko la waarabu kutoka Mashariki ya Kati na Waafrika ambao upeleka tamaduni zao katika nchi hizo na...
  3. K

    JamiiForums Tanzania 'Abdul wa Mama' iko siku atakimbia nchi!

    Maisha ni mabadiliko kwasasa watapiga kila deal za pesa Lakini hawa viongozi wajue iko siku wataondoka na watoto wao watatiwa hatiani i Huyu dogo ataishia kukimbia Dubai au Oman. Tutaonantu
  4. H

    JamiiForums Tanzania Kwanini manabii wasiombee nchi yetu iwe tajiri?

    Mengine yoooote wanaombea nchi hii ifanikiwe kama vile eti wanaombea amani,uchaguzi,nk. Kwanini wasiombee nchi au wananchi wote wawe matajiri??
  5. Mashamba Makubwa Nalima

    JamiiForums Tanzania Hatuwezi kulinda Amani ya Watekaji na Wauaji, tutalinda Amani ya Nchi pekee

    Tunataka kuona kaka zetu wanaifurahia hii nchi, tunataka kuona dada zetu wanaifurahia hii nchi. Tunataka kuona wazazi wetu wanaifurahia hii nchi, tunataka kuona babu zetu wanaifurahia hii nchi. Tunataka kuona watoto, wajukuu na vitukuu vyetu wakiifurahia hii nchi. Hatuwezi tukawa tunaishi...
  6. Mashamba Makubwa Nalima

    JamiiForums Tanzania Hatuwezi linda amani ya Mafisadi, Tunataka kuona kodi zetu na mapato ya nchi yakimnufaisha mTanzania bila kujali chama chake, familia aliyotokea, dini

    Hatuwezi kuendelea kuweka mazingira mazuri kwa mafisadi. Mmeharibu sana hii nchi huku waTanzania mkiwaona wakiteketea kila siku juu ya umaskini unaowazunguka. Pesa ambazo zilitakiwa kujenga hospitali bora zinatumika na kakikundi fulani Pesa ambazo zilitakiwa kuhakikisha kuna barabara bora ili...
  7. Myahudi Jr II

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Inasemekana Mch ABIUD MISHOLI akimbia nchi kisa wasiojulikana

    Walipoanza na Mch Mwakipesile (Kikosi chsa Injili) kupigwa, kuhasiwa, kuuliwa kwa mtoto wake hakuna aliejali na kila mtu alimuona kama mchungaji mwakipesile ni kama amechanganyikiwa, Hakuna mchungaji amepitia dhahama na mateso makuu kama Kikosi cha Injili Amehasiwa Atoto wake ameuliwa(akasema...
  8. Mashamba Makubwa Nalima

    JamiiForums Tanzania TAKUKURU fanyeni kazi zenu, mimi hizi messages hazinihusu, kila siku natimiza wajibu wangu kama mzalendo wa nchi yangu

    Kila siku tunawaletea taarifa, juzi tu nimewaletea taaarifa hapo ofisini. Fanyeni kazi zenu
  9. Dennis Robert Shughuru

    JamiiForums Tanzania Angola ni nchi ya tatu kuzalisha crude oil kwa Africa ila wana refinery moja na nyingine ndogo sana

    Africa ni bara lisiloishiwa na maajabu nchi kama Angola ni ya tatu kwa kuzalisha lakini cha ajabu wana-cude oil refinery moja na nyingine ndogo sana kwa maana hiyo crude oil inayochimbwa Angola kwa asilimia kubwa haishafishwi au kuongezewa thaman ndani ya nchi Angola wakihitaji diesel, petrol...
  10. OLS

    JamiiForums Tanzania Je wajua kwa nchi zilizoendelea, kukopa na kununua kwa fedha taslim gharama ni sawa?

    Bongo imekuja huduma ya kukopa simu kwa sasa ambapo simu hizo zinalipwa kwa siku. Hili suala la kulipa kwa siku lenyewe kwanza ni mtihani lakini pia gharama ya simu inaongezeka mara dufu. Hivyo anayekopa hakuna kitu anaepuka, maana kama unalipa 2100 kwa siku ujumlishe na hela ya kifurushi maana...
  11. Mashamba Makubwa Nalima

    JamiiForums Tanzania GE2025 Nchi yako ni tajiri usikubali thamani yako kuwa 10,000, kitenge, na tisheti kila baada ya miaka 5

    Sio upande wa rasilimali tu hata tukianza kuzungumzia KODI zetu ambazo zimeongezwa kula siku na kila mahali, pesa iko ya kutosha sana. Usikubali thamani yako iwe ni kitenge, tisheti, baiskeli na elfu kum Another "UZI MFUPI ILA UNAWAFIKIA"
  12. stakehigh

    JamiiForums Tanzania Kiuhalisia manunuzi yote ya serikali nje ya nchi hayatumii hata senti moja ya kodi zetu

    Tuseme serikali inataka kununua v8 500, malipo yote yatafanyika kwa dola na sio tsh, na ili kuipata hio dola ni lazima uuze nje hakuna sehem ingine duniani unaweza kubadilisha tsh na dola zaidi ya nchini tu
  13. Abraham Lincolnn

    JamiiForums Tanzania GE2025 Wakati wa kuomba kura hatusikii ziara za Norway Sweden USA Je, hazina umuhimu kwa nchi wakati huu?

    Kama zile ziara za kutwa mara mbili kwa wiki kama dozi zilikuwa na umuhimu, Kwanini zisimame wakati huu? Ina maana si muhimu kwa sasa?
  14. ndege JOHN

    JamiiForums Tanzania Nchi zinazomtumia ndege eagle kama symbol yao

    Aidha utamkuta kwenye nembo au kwenye bendera. Mexico Albania Moldova Egypt Germany Kazakhstan Montenegro Russia Serbia Austria Poland Romania United States Armenia Czech Republic Liechtenstein Zambia Sina uhakika na Korea pia ila Albania ndo kama nchi ya eagle haswa.eagle kwenye masimulizi ya...
  15. Yoda

    JamiiForums Tanzania Ni sahihi mtu kuichukia nchi yake ya asili aliyozaliwa au ya wazazi wake?

    Kuna watu mtandaoni wanasema ni bora kujiua kuliko kurudi au kurudishwa kwenye nchi zao za asili!
  16. Isenye

    JamiiForums Tanzania Hivi kumbe kuna watanzania hawajawahi kabisa kufika nchi za nje?

    Inashangaza kabisa eti mtu ni.mwalimu mkuu kabisa lkn hajawahi kufika hata hapo kenya au Malawi hata zambia. Nimeshangaa mno,ndo maana kumbe watanzania wengi ni waoga.
  17. B

    JamiiForums Tanzania Nchi tano za Kiafrika zimenyimwa kuingia UAE

    UAE imeweka masharti magumu kwa nchi za kiafrika https://m.youtube.com/watch?v=jFr3iC4irFw UAE na Abu Dhabi kuanzia January 2026 zuio hilo litaanza kutumika biashara, matembezi, kazi . Raia wa kigeni kutoka nchi zilizoorodheshwa ambao tayari wanaishi kihalali katika UAE wakiwa na viza halali...
  18. Kichuguu

    JamiiForums Tanzania International (Kimataifa) na Overseas (kwenye nchi za nje)

    Watanzania tutofautishe na matumizi ya maneno international na overseas au abroad. International ni baina ya mataifa yote duniani ikiwamo Tanzania, usitumie neno international kama unataka kusema nje ya Tanzania. Neno la kutumika hapo ni overseas au abroad ukiwa na maana ya mataifa yote...
  19. M

    JamiiForums Tanzania Mtwara ilipaswa kuwa Business Center nchi hii na je kilichomfanya ndugu Nyerere aiondoe Reli ya Mtwara ni nini?

    Naamini hilo bila shaka Mtwara ndiyo ilipaswa kuwa makao makuu ya nchi hii na business center kwa nchi hii ila tu uroho,ubinafsi na chuki ya viongozi wa nchii hii kutokana na ukanda wao tu hivi kitu gani ambacho kwenye nchii hii Mtwara hakuna madini mtwara yapo,eneo la Bahari lenye kina kirefu...
  20. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Zijue nchi za Afrika zinazofanya uchaguzi 2025

    Chaguzi 2025 Barani Afrika: Orodha Hizi ndizo chaguzi zijazo kwa muundo wa orodha. Januari 2025 12 Januari 2025: Comoro – Bunge la Muungano Februari 2025 2 Februari 2025: Togo – Seneti [imeahirishwa] Februari 2025: Togo – Rais Machi 2025 5 Juni 2025: Burundi – Bunge la Taifa Agosti...
Back
Top Bottom