nchi

  1. Lord Denning

    JamiiForums Tanzania Kwa yanayoendelea sasa nchini, tumaini pekee la wananchi ni Jeshi

    Si mitaani, si majumbani, si vijijini si kwenye mitandao, kauli ya Watanzania kwa sasa ni moja tu, Jeshi lichukue nchi na kuionyoosha. Kauli hizi za Watanzania hazijaja bure, kauli hizi za Watanzania ni ishara ya mwisho ya kukata tamaa kwa Wananchi. Kauli hizi za Watanzania ni uthibitisho kuwa...
  2. K

    JamiiForums Tanzania Damu ya Polepole isipoelezewa nchi imepasuka Rasmi

    Ndani ya masaa 24, kama Serikali haitatoa taarifa kuhusu hali ya Polepole, Tutamobilize vijana kati ya 5000-20,000 nchi nzima, kila mmoja atatumiwa maelekezo ya kujilinda kwa kila hali dhidi ya watekaji kupitia Whatsapp/Telegram na SMS za kawaida, hili tukio litatokea ndani ya dk 10 nchi nzima...
  3. Its Tesha

    JamiiForums Tanzania Heche: Muachieni Polepole na viongozi wetu wote haraka

    Kupitia ukurusa wake wa Instagram Makamu Mwenyekiti CHADEMA ameandika haya....... "Kukosoa serikali sio jinai, kukosoa mienendo ya serikali na uongozi sio kosa lolote kwenye Nchi hii. Hatukubaliani na utekaji na utesaji wa Watanzania kwa kisingizio kwamba wanakosoa serikali ya Rais Samia...
  4. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania Muliro: Tunafuatilia taarifa za Polepole kutekwa ila alisema hayupo nchini amerudi lini?

    Aliyekuwa Balozi wa Tanzania nchini Cuba, na mkosoaji wa serikali ya Tanzania Humphrey Polepole, amevamiwa na kuchukuliwa na watu wasiojulikana, familia yake imethibitisha. Ndugu wa Polepole wameambia BBC kuwa tukio hilo la kuvamiwa na kutekwa kwa ndugu yao kumetokea usiku wa kuamkia leo...
  5. baz kaiza

    JamiiForums Tanzania Kuna siku Moja tena hii nchi itarudi mikononi mwa wazalendo kama Magufuli

    Siku zinakuja hii nchi itarudi tena mikononi mwa wazalendo wenye uchungu na rasilmali za nchi na wananchi wake. Kama ilivyokua Magufuli aya mambo ya unyonyaji utaisha kukusanya kodi inaishia mifukoni mwa wachache litaisha. Mda utafika maana tumeshawajua wanamtandao vizuri na propaganda zao...
  6. D

    JamiiForums Tanzania Hata Capt. Traole awali alipingwa sana na wahuni wanaoitafuna nchi lakini Mungu almsaidia: Hivyo Msiwashangae hawa

    Mnamo mwaka 2022 jina la kapteni Traore liliibuka huko Nchini Bukina faso baada ya utawala goigoi wa rais DAMIBA Malalamiko ya wananchi kushambuliwa yalikuwa makubwa sana jambo lililoibua taharuki kubwa sana wakati huo! Vijiji na miji mbali mbali ilishambuliwa pasipo serikali ya Damiba...
  7. Yoda

    JamiiForums Tanzania Taasisi zinazopaswa kufutwa siku nchi itapata demokrasia

    Hizi taasisi japo hazina nguvu kali za kidola zimehusika sana kuvuruga mchakato wa mabadiliko, kufifisha na kurudisha nyuma hata jitihada kidogo za kutetea raia, siku moja kama tutafanikiwa kupata demokrasia ya kweli zinapaswa kufutwa kabisa. 1. Jukwaa la Wahariri(TEF) 2. BASATA 3. Chama cha...
  8. Beira Boy

    JamiiForums Tanzania Ushauli wangu baada ya brother Philip kuchukua nchi

    Amani iwe nanyi watumishi wa MUNGU katika KRISTO YESU 1, afute uchaguzi 2, amwachie tundulisu haraka sana na wafungwa wote wa kisiasa 3, katika mpya 4, asifukue makuburi aanze upya kwa upendo mpya , sisi tumesamehe yote 5, ahakikishe watanzania wote wenye asili za nje wanakuwa raia rasimi 1...
  9. Chizi Maarifa

    JamiiForums Tanzania Mwekezaji Kijana akiwa ana enjoy na maisha yake baada ya kuonana na wakuu wetu wa nchi

  10. Lord Denning

    JamiiForums Tanzania Duniani kote, hakuna Rais aliyewahi kuongoza salama Jeshi lililogawanyika. Na Jeshi ni askari wa chini wenye uchungu na nchi yao na Wananchi

    Kwa wana CCM wote Kwa machawa wote Kwa Bi Samia na familia yake Ujumbe kwenu leo ni huu. Na Jeshi ni askari wa vyeo vya chini. Askari wanaojua na kuelewa vizuri maana ya Kiapo cha Kuwalinda Wananchi na kulifia Taifa.
  11. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania Habari njema ni kuwa JWTZ ndio Taasisi pekee ilobakia yenye Kibali Cha Wananchi Nchi nzima na inayoungwa Mkono na Ulaya, Marekan na Nchi Wahisani.

    Lolote lile litakalifanyoka na Vijana wa JWTZ wanaokerwa na Utekaji, Uuaji, Ufungwaji wa Makanisa, Majaribio ya Kuua Viongozi wa Dini ya Ukristo, kubagaWa Kwa Rasimali za Nchi n.k ,lolote lile liyakalifanywa na Wazalendo Hawa. NCHI NZIMA ITAWAWAFANYIA SHEREHE, JUMUIYA ZA KIMATAIFA...
  12. Fbn

    JamiiForums Tanzania Edward Snowden sio mjinga kufahamu ujasusi mnajua taarifa za CCM zipo nchi zote wanaweza kutumia kuwa tumia wanavyotaka

    Wale majajusi uchwara waliokamatwa kwenda USA wasijidanganye CCM serikali na idara kujiona wamefika level za kuwa wayahudi. JF naomba sitaki kujaza mengine kama wanatumia VPN wakushitaki uwezo wao.
  13. Hance Mtanashati

    JamiiForums Tanzania Faida na hasara nchi ikiongozwa na jeshi

    Kulingana na muelekeo wa nchi ulivyokuwa , kuna idadi kubwa ya wananchi wanatamani nchi iongozwe na jeshi. Lakini swali la msingi kuna faida zipi na hasara ipi nchi ikiwa inaongozwa na jeshi? Maana hawa ndugu zetu wanajeshi tunajua ni watu wa amri tu mwanzo mwisho. Wasije tu na wazo vijana...
  14. Keynez

    JamiiForums Tanzania Mnaotaka na kulilia jeshi lichukue nchi hamjitambui

    Nilikaa mbali na mijadala ya kisiasa kwa muda ila nimelazimika kulisema hili. Huu uzi nilikusudia kuuleta kitambo sana ila nikawa napotezea au kuahirisha kuuleta. Kuna watu kutokana na sababu wanazojua wao wamekuwa wanatoa kauli za kutaka JWTZ lichukue uongozi wa nchi. Kuna wakati hadi nahisi...
  15. The Watchman

    JamiiForums Tanzania GE2025 Itutu: Mafisadi jiandaeni kukimbia nchi tukiingia madarakani

    Chama cha Alliance for Democratic Change (ADC) kimesisitiza kuwa endapo kitapata ridhaa ya kuingia madarakani, kipaumbele chake kitakuwa kuwawajibisha wote walioiba mali za umma. Kauli hiyo imetolewa Oktoba 3, 2024 katika Wilaya ya Ilemela, wakati wa mwendelezo wa kampeni za mtaa kwa mtaa...
  16. McLaren

    JamiiForums Tanzania Uingereza yaongoza kwa nchi zinazoongoza kwa kukamata watu kwa kutoa comments mbaya mtandaoni

    Wakuu, Nimeshangaa sana kukutana na list hii. Kwa hiyo Uingereza kwa siku moja approximately wanakamata watu 30 kutokana na comments wanazotoa mitandaoni. Inakuwaje kuwaje, Russia na China wanakamata watu wachache kuliko Uingereza wakati UK ndo inajulikana kwa kutangaza zaidi "demokrasia na...
  17. Nikifa MkeWangu Asiolewe

    JamiiForums Tanzania Hii Nchi hii asee kwahiyo Yeriko Nyerere naye ni jasusi?

    Akipata kura hata 3 tu basi hii Nchi Ina wajinga wengi kama uyoga. Au Ili uwe jasusi ni lazima uwe na vigezo Gani?
  18. 4

    JamiiForums Tanzania GE2025 Unaenda vipi kwenye Uchaguzi nchi ikiwa katika alert kubwa namna hii?

    Wakuu jf amani ya Bwana ikawe juu yenu kila mmoja kwa imani yake ,poleni na Tanzania pia. Kwa mara ya kwanza nchi ya tz inaweza kwenda kwenye uchaguzi mkuu katika alert kubwa , why , na nini kipo Ikulu kisa madaraka tu ambayo huwezi zikwa nayo, baki nayo milele. Leo wenda vijana wetu katika...
  19. Mashamba Makubwa Nalima

    JamiiForums Tanzania Yani nchi ilikuwa hata wanaCCM wenyewe wakitekwa ndugu au rafiki zao wanaogopa kukemea na watu waalikuwa wanaona sawa tu??

    Hili nililiona kwa yule Chonchori nikashangazwa zaidi mpaka wenyewe wanaogopa hili genge alafu wanataka kutuaminisha hiyo ni amani mko sawa nyie??? Mzee haki yako pia itapiganiwa na sisi raia, kitu ambacho haikutegemea ila ndiyo maisha yalivyo hao uliohisi ni ndugu na watasimama na wewe kila...
  20. baz kaiza

    JamiiForums Tanzania GE2025 Duniani kote wenye Mamlaka ya mwisho juu ya Nchi yao huwa wananchi

    Mamlaka ya mwisho kabisa iko kwa wananchi siku wananchi wa Tanzania wakijitambua dharau za Viongozi zitaisha viongozi wamejaa dharau sana kudharau wananchi kuwaona kama takataka. Hiyo inatokana na wananchi kutojua kwamba wao ndo wenye mamlaka ya mwisho ya kuweza kuondoa yale yanayowaumiza...
Back
Top Bottom