Mkuu wa Wilaya ya Rungwe, Jaffar Haniu ametoa wito kwa Wakazi wa Halmashauri ya Rungwe na Busekelo kujitokeza kwa wingi kushiriki zoezi la Uchaguzi Mkuu unaotarajia kufanyika siku ya tarehe 29, Oktoba, 2025.
Uchaguzi Mkuu utahusisha Wananchi Kumchagua Rais, Wabunge pamoja na Madiwani...
Kuna watu hovyo wamekazana kusimulia nchi jilani zina vita, machafuko, Oooh Kongo wanateseka, nk. Hadithi kama hizo hujitokeza wakati wa uchaguzi. Mbona hata sisi watu wanatekwa na kupotea?
Jana jeshi la Madagascar limechukua uongozi wa nchi. kama kawaida ya BBC Swahili ikawa ni habari kuu. Eti...
Tumeonya sana sana kama watu wa Mungu , machawa yakaona sie mataira ,kumbe lengo letu ni moja ilikua kuliponya Taifa .
Huwezi ongoza taifa ambalo liko katika wakati kama huu, hakuna Duniani kote hata waliojaribu , mnajua what happened, narudia ipo nafasi ya kuliponya Taifa .
1. Sitisha...
Ni ngumu nchi kupata AMANI wakati hakuna HAKI! Huwezi kukalia upande mmoja maana amani inatokana na haki!. Kama mnataka amani tumieni nguvu hiyo hiyo kupigania haki
Assume umepewa nafasi ya kazi Moja na mshahara mmoja ila katika nchi hizi tano(5) umeambiwa uchague Nchi Moja utachagua ipi kati ya Misri,SA, Indonesia,au Brazil, au Israel utachagua ipi?
Ndio kujenga nchi ni Jambo ngumu sana hutaki kukaa kwenye Meza ya Mazungumzo Je, hawa wanaotaka kuandamana hoja yao nini?
Mazungumzo yaliwahi kufanyika na kujua wao wanataka nini?
Tujenge tabia ya Kukaa Mezani Kujadiliana na kukubaliana hii itasandia kujenga nchi. Hata baada ya Uchaguzi...
Ukifanya upembuzi yakinifu utagundua viongozi wengi serikalini sio kwamba hawaoni yanayotendeka.
Shida inakuja ni kuwa wenye uwezo wa kusema hapana ni wananchi wenyewe. Hivyo viongozi wengi wanasubiri kuona nguvu ya umma ikifanya maamuzi.
Fuatilia kwa umakini tu huko maofisini utagundua...
Nimeona Clip ya Makonda aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Arusha na sasa mgombea ubunge Arusha akipita Kanda ya ziwa na maeneo mengine nchini na magari yake akihotubia umma na kusema watu wasikubali alichofanyiwa magufuli afanyiwe Samia.
Mimi swali langu ni Makonda alitakiwa afanye kampeni zake Arusha...
Sehemu pekee iliyobaki ina pesa za bure ni Bungeni ndo maana watu wanapambana kwa kila namna siko kwamba wana wapenda wananchi au kutumikia wananchi hapana. Ila ndo sehemu pekee bunge unapata utajiri wa haraka sana bila kutumia nguvu ni vigumu sana kupata wawakilishi wa wananchi wa kweli wengi...
Tutumie mfano mwepesi vijana waelewe na wajue kwanini kina polepole, kina mdude wametekwa kina tundu lisu wamepigwa risasi nk. na kwanini kuna watu wanatumia nguvu nyingi kubaki madarakani, wanapiga watu virungu, wapo tayali kuuwa watu
Wambieni hao ndio wale wanaotaka kubaki na mashamba ya...
Na mimi namuomba Mwenyenzi Mungu amlinda Dkt Samia aingie kwenye uongozi wa miaka yake mitano. Na ukisikia kelele zinazopingwa hizo ni ule wivu wa kuona mwanamke anaweza?
Wanampa maneno ya kumkatisha tamaa ili akasirike au asuse, na wengi pia wanatamani kuichafua Tanzania yetu huko duniani ili...
Ni kutomkubali tuu malkia?? Inamaana upande wa dini ile wote wanamkubali mtu wao??.
Viongozi wa dini ya kikristo ambao hawafuati maelekezo ya malkia wanakiona cha moto, naanza kuamini ile barua ya mange kimambi japo Msigwa aliikanusha lakini sasahivi yanatendeka yaleyale.
Ukichunguza vizuri nchi hizi utaona ndiyo vinara wa rushwa duniani. Rushwa zao wamezifichaficha na kuzihalalisha kwenye makaratasi. US wanapeana rushwa kubwa kubwa wanazoita lobbying. Unakuta wafanyakazi wengi wa serikali wakistaafu wanaenda kupata kazi nono kwenye makampuni yaliyokuwa...
Ukiona watu wanavozungumzia amani mpaka mishipa inawatoka shingoni mh!
Mbona amani ipo sana tu ishu ni hamjawaelewa wananchi au?
Wananchi tunachojua sisi haki ndo hakuna ila amani mbona IPO sana tu!
Tafadhali tena naomba wakuu mwacheni Polepole kama ana kosa tunaomba sheria ifuate mkondo wake.
Tunaomba Polepole achiwe bila masharti yoyote.
Tafadhali Sana tunakoenda siko mwacheni Polepole
Duniani pote kizingiti pekee cha Jeshi kuchukua nchi ni kutokuwepo na support ya Wananchi pamoja na kutokuwepo kwa support kutoka nje ya nchi.
Mwaka 1964 Jeshi lilipoasi na kumpindua Nyerere , Mapinduzi yale yalifeli kwa sababu tu Nyerere aliomba msaada wa Majeshi ya Uingereza yaliyopo Kenya...
Si mitaani, si majumbani, si vijijini si kwenye mitandao, kauli ya Watanzania kwa sasa ni moja tu, Jeshi lichukue nchi na kuionyoosha.
Kauli hizi za Watanzania hazijaja bure, kauli hizi za Watanzania ni ishara ya mwisho ya kukata tamaa kwa Wananchi.
Kauli hizi za Watanzania ni uthibitisho kuwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.