Aliyekuwa balozi nchini CUBA katika mtandao wake wa facebook amenena maneno mazito kwa nchi ya tanzania kwa kusema kwamba nimhimu sana kupigania chama na nchi kwa ujumla kwani kwa sasa wahuni wamevamia chama na wanatengeneza mkakati wa kujilimikisha nchi na ametaja mikakati hiyo ambayo...
Kundi la kwanza ni watu wazima na kundi la pili niliona ni watoto, sasa hili la kwanza lilikuwa likiimba oktoba hatutiki nalo lilikuwa limejitenga nafasi na la lile la kwanza,
Hili la kwanza au la watoto lilikuwa kimya, watoto wale nyuso zao walikuwa wanashangaa tu wala hawajui nini...
Bunge hili lililomaliza muda wake ndiyo lilikuwa bunge la hovyo kuliko bunge lolote lililowahi kuwepo. Hili ndiyo bunge:
1. Lililoidhinisha uporwaji wa rasilimali za Tanganyika na kupewa waarabu.
2. Hili ndiyo Bunge lililokaa kimya wakati Watanganyika wakitekwa na kuuawa, kupotezwa na kuteswa...
Serikali ya China hivi karibuni ilizindua mpango mpya wa kutoa malipo ya kifedha kwa familia zinazojifungua watoto, ikiwa ni jitihada za kupambana na kupungua kwa kasi kwa viwango vya uzazi.
Kupitia mpango huo, familia zitapokea takribani dola 500 kwa kila mtoto mwenye umri chini ya miaka...
Mimi nawaza hivi taasisi nyeti za serikali kuna watu wameziua kimaksudi kwa kuajiri watu kiundugu au kwa utashi wa kisiasa! Pia napata shaka mamlaka ya vetting hivi kweli nchi hii hatuna watu SMART na wazelendo kwelikweli?
Kwa sasa nahisi wahuni na watu janjajanja nyingi wanafanikiwa kupenya...
Watu wengi wanafikiri usalama ni kulala na kuamka mzima.
Lakini usalama ni zaidi ya hapo
Nawaambia nchi haipo salama kwa Sasa.
Hakuna usalama wa ajira yaani kwa Sasa mpaka utoe rushwa ya pesa,Ngono au uwe Mtoto wa kiongozi ndio upate ajira au cheo.
Usalama wa kiafya haupo Kama ndugu yako...
Tanzania na Qatar kuimarisha ushirikiano katika maeneo ya kimkakati
Tanzania na Qatar zinakusudia kuimarisha ushirikiano katika maeneo muhimu, ili kukuza biashara na uwekezaji kwa misingi ya amani, usalama, na maendeleo endelevu ya wananchi wa pande zote mbili.
Waziri wa Mambo ya Nje na...
Prof -Lipumba huyu nilianza kumfatilia mwaka 2005 huyo hana alichoisaidia nchi wala taasisi yake ya CUF.
Prof -Muhongo , huyu anaingia katika kundi hili ukiachana na Scandal Kama Escrow n.k sijaona Kama kuna kitu kafanya jimbo lake ni moja ya majimbo masikini Sana Tanzania .
Prof Tibaijuka ...
Tangu wiki hii kuanza na Ufaransa kutoa tamko la kuja kuitambua Palestina mwezi Septemba imekuwa ni habari kubwa bila sababu.
Mataifa mengine matatu ambayo ni UK na Canada nayo yametia nia hiyo muda huo ambao kwa mwendo wa vifo vya njaa wapalestina watakuwa wamebaki wachache sana.
Habari hizo...
Mpina kapata adhabu ya kuwa mzalendo kwenye nchi ya kifamilia (Kikwete, Mwinyi na Samia). Kushindana na mafisadi na hizi familia. Hatakiwi CCM maana hiki si chama cha wazalendo tena
Kuzuia uchaguzi ni pamoja na kuiba kura, kutoa rushwa na kuvunja mchakato wa kupatikana wagombea ndani ya chama na kuvunja katiba ya chama.
Kuzuia uchaguzi sio kusema unataka mabadiliko au maboresho ya kiuchaguzi bali ni kile kitendo cha wizi, rushwa na uvunjifu wa katiba ya nchi na chama...
Niko hapa naangalia hii mikeka ya chama Cha tawala forever, halafu wakati naangalia hapa huku nikiwa nacheka kwa uchungu naskia nyimbo ya mwamba Profesa Jay na Stamina
Embu kila mtu anae struggle amuulize mzee wake leo na kila mtu aweke jibu hapa, kwamba wakati ule Hawa wanawekwa mazingira ya...
Na hivi anavyosema kwamba kesho anataka kufanya Press Conference, sijui anataka kusema nini.
Huyu ni mwanasiasa with extremist views, now made worse by his stay in Cuba. Watanzania wanataka amani. CCM wamesema Samia Suluhu ndie atakuwa mgombea urais. Ni wao wenyewe CCM ndio wanaweza kumbadili...
Wazee hata kipofu wameona na viziwi wamesikia kilichotokea kwenye uteuzi wa haya majina ya wagombea ubunge. Nimepitia list nzima ya majina kiukweli wamejaa watoto wa waliokuwa viongozi kwenye awamu zilizopita na hata watoto wa viongozi wa sasa.
Pia hata nikizaliwa mara ya pili sitaamini kuwa...
"Hata wakinipiga marufuku kuingia Ulaya yote, nitaendelea kuchukua hatua kwa ajili ya nchi yetu," alisema Waziri wa Usalama wa Taifa Itamar Ben-Gvir.
Kauli hiyo ilikuja kujibu serikali ya Uholanzi kumzuia Ben-Gvir na waziri mwenzake wa mrengo wa kulia wa baraza la mawaziri la Israel Bezalel...
Wakuu,
Mwanamuziki wa Marekani, Ciara, amekuwa mmoja wa watu wa kwanza maarufu kupata uraia wa Benin chini ya sheria mpya ya nchi hiyo ndogo ya Afrika Magharibi inayotoa uraia kwa watu wenye asili ya watumwa.
Mshindi wa tuzo ya Grammy alipokea uraia huo katika hafla iliyofanyika Jumamosi...
Ndugu zangu Watanzania,
Nashindwa niseme nini,nashindwa niwaambie nini maana Taifa limesimama na wananchi wametulia huku macho na masikio yakiwa mkoani Dodoma
.
Sasa Mwamba Mwenyewe mwenezi wa CCM Taifa Mheshimiwa sana CPA Amos Makalla anakwenda kuisimamisha nchi muda wa saa tatu usiku...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.