Wazo kuu hapa ni kwamba utajiri wa kweli wa matajiri haujatokana na kuwa na rasilimali asilia (kama mafuta, madini, au ardhi yenye rutuba) bali ubora wa rasilimali watu (human capital), yaani, ujuzi, maarifa, ubunifu, nidhamu, na uwezo wa kufanya kazi kwa pamoja wa wananchi wake.
Naomba...
Sio maneno yangu. Kulingana na ripoti iliyotolewa na Doing business ambayo huzingatia vigezo kumi inaonyesha Rwanda ni ya 38 kati ya 190 mbele ya mataifa mengi ya ulaya na la kwanza kwa Africa. Tanzania imeshika nafasi ya 141 huku majirani Kenya wakiwa nafasi ya 56 na Uganda nafasi ya 116...
Katika siasa na uchumi wa mataifa mengi, kuna kundi dogo la watu wenye utajiri mkubwa na ushawishi wa kisiasa ambao mara nyingi huitwa king makers (wazalishaji wa watawala) na wakati mwingine king dethroners (waangushaji wa watawala). Hawa watu huendesha siasa kwa kivuli, bila kuonekana moja kwa...
Ukiachana na JUA vitamin D inapatikana zaidi kwenye samaki ambao east afrika hawapo, kuna njia zingine kama mayai ama maini ya ngombe lakini hizi hutoa asilimia chache sana ya vitamin D zinazohitajika na mwili kwenye shuhuli zake za kukinga mwili hivo basi kwa wale mnaopenda sana kutumia usafiri...
Kwa hali ya sasa, wengi wanadhani Lissu kafungwa tu kama mbinu ya kawaida ya kumzuia(delay tactics), lakini mambo yatakuwa tofauti na tulivyozoea.
tumezoea upinzani wakikamatwa huwa kuna nafasi ya msamaha, maridhiano, mazungumzo, Lakini hizo zama zimefikia ukingoni !!
Tunaingia stage mpya...
Wiki chache zilizopita Umoja wa Mataifa wametoa taarifa za vikosi vya Wanamgambo wa M23 kuua raia nchini Congo. Taarifa hiyo imefuata taarifa rasmi iliyotolewa na Kikundi kazi cha Umoja wa Mataifa kuwa Majeshi ya Rwanda yanawaunga mkono M23 na kutoa msaada wa kijeshi kwao.
Aidha miezi miwili...
Na Mwandishi Wetu,
Katika kongamano maalum kuhusu hali ya uchumi na mwelekeo wa Taifa kuelekea Uchaguzi Mkuu Oktoba 29, Bw. David Zacharia Kafulila, mchambuzi wa masuala ya Sera na uchumi ambae pia ni Mkurugenzi mtendaji wa Kituo cha Ubia nchini kati ya Serikali na Sekta binafsi nchini PPPC...
Uzi huu ukifutwa na hili jukwaa, na mwanzilishi wake ni mwanaume, basi itakupa picha namna wanaume nao wanaweza kuonekana kama tatizo kubwa kwa nchi hii…
Toka kuumbwa kwa dunia, wanaume wamekuwa mstari wa mbele kuikomboa jamii katika majanga mbalimbali, unyonyaji, vita na mambo mengine mengi...
Kwani tukisema nchi inakaribia kuwa ya ki Falme au ki Monarchy tutakosea?
========================================
Katika familia zenye hadhi kubwa ya kisiasa na utawala hapa nchini, huwezi a kuacha kuitaja familia ya Mohamed Mchengerwa. Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais (TAMISEMI) Tawala za Mikoa...
Ukiwa huku mtaani Vijana wa CCM wanadhani Chama chao ndicho "Chama Tawala".
Chama kama taasisi haiishii tu kwa watu, bali Ilani, sheria, kanuni, taratibu na miongozo ya chama, kisha Wanachama na wafuasi. Katika hali ya kawaida tu; taifa lenye mfumo wa vyama vingi kama Tanzania suala la uhuru...
Tanzania kwa sasa iko katika mtafaruku wa mkubwa wa kutisha wa uongozi unaotia ndani mambo ya kutisha sana, ambayo mtu yeyote mwenye akili akitafakari anapaswa kutetemeka kwa hofu.
Mara nyingi hali kama hii inapojitokeza katika nchi huwa kunakuwa na njia mbadala ya kurekebisha mambo, lakini sio...
Mkuu wa IDF awatishia viongozi wa Hamas nje ya nchi: 'Tutawafikia pia'
Mkuu wa IDF, Lt. Jenerali Eyal Zamir (kushoto) akizungumza katika tathmini pamoja na Mkuu wa Kamandi ya Kaskazini Meja Jenerali Rafi Milo, Agosti 31, 2025. (IDF)
Kufuatia mauaji ya Israel kwa maafisa wakuu wa Houthi na...
Hapo chini ni Mapinduzi ya Kijeshi( Coup d'etat) yaliyowahi kufanyika kwenye nchi mbalimbali na kupata baraka na support za wananchi kutokana na UFISADI na DHULMA dhidi ya wananchi
Afrika
1. Mali (2020, 2021) – Wananchi walipinga ufisadi na ukosefu wa usalama, wizi wa mali za Umma...
Mbeya University of Science and Technology (MUST)
Hiki chuo mnakifahamu? Moja ya vyuo vyenye watu magenius hapa Tanzania ni pamoja na hiki chuo. Ubunifu unaofanyika kwenye hiki chuo unaweza sema ni wanafunzi wa Kichina, kumbe ni wa hapahapa Bongo.
Kwa mtu anayejua chuo cha MUST nadhani...
Katika Uchaguzi Mkuu wa Tanzania wa mwaka 2025, vyama vya siasa 18 vimehusika katika mchakato wa uteuzi wa wagombea wa nafasi ya Rais na Makamu wa Rais. Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) imetangaza kuwa vyama hivi vimewasilisha majina ya wanachama 36 kugombea nafasi hizo .
Vyama vya Siasa...
Nchi 10 za Africa zenye highest external debt kwa mujibu wa data za 2025
1. South Africa – USD 176,314 million (Sep 2024)
2. Egypt – USD 155,204 million (Sep 2024)
3. Tunisia – TND 128,856 million (Sep 2024)
4. Mauritius – MUR 96,713 million (Dec 2024)
5. Angola – USD 50,260 million (Dec 2023)...
Nchi Zinazojulikana kwa Uzuri na mpangilio mzuri wa Muundo na Mazingira
1. Italy
Inajulikana kwa mafanikio ya kipekee ya usanifu kama miundo ya Kirumi, Renaissance, Baroque, na Neoclassical.
Mijini kama Rome, Florence, Venice ina majengo ya kihistoria kama Duomo ya Florence, Colosseum, na...
Ndg wana JF msidanganywe na propaganda za mitandaoni na za magharibi kwamba urusi ni nchi maskini.
Ile nchi ni tajiri sana Kwa vipimo vyote vya kiuchumi halafu miji ni mizuri na misafi mno ambayo ni indiketa ya ubora wa maisha. Njoo urusi.
Ni sehemu salama sana.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.