nchi

  1. J

    JamiiForums Tanzania Siku ya Afrika: Rais Magufuli ang'ara, UN yazitaka nchi tajiri kusamehe madeni kwa nchi za Afrika ili ziweze kupambana na Corona

    Leo ni siku ya Afrika. Katika maadhimisho ya siku ya Afrika Katibu mkuu wa Umoja wa Mataifa amelipongeza bara la Afrika kwa siku hii na kwa namna wanavyopambana na Corona. Katibu mkuu wa UN mh Antonio amekubaliana na wazo la kuzitaka nchi tajiri kusamehe madeni ya nchi za Afrika ili kuzipa...
  2. P

    JamiiForums Tanzania Hizi ndizo saili zilizoongoza kuwa na waombaji kazi(wasailiwa) wengi kwa nafasi chache tangu nchi hii ipate uhuru

    Sio ubishi tena, Janga la ajira ni changamoto kubwa sana kwa kizazi Cha Sasa . Tujikumbushe kidogo Tarehe 12/12/2014 ilikuwa ni siku ya usaili ya nafasi za kazi 50 tu zilizotangazwa na TRA takribani mwezi kabla ya tarehe ya usaili., baada ya kufanya short listing wakapatikana watu zaidi ya...
  3. F

    JamiiForums Tanzania Makinikia ya dhahabu yaruhusiwa tena kupelekwa nje ya nchi kama zamani

    Mnakumbuka sakata la makanikia mwaka 2017 na jinsi lilivyozua mtafaruku dunia nzima na kupelekea serikali kuzuia kusafirishwa nje ya nchi udongo wenye dhahabu. Yalikuwepo makontena takribani 277 yaliyo na dhahabu kiasi cha tani 7.8 za dhahabu kwa kila kontena. Sasa mambo yamerudi kama zamani...
  4. JamiiForums Tanzania Huyo jamaa ana Mungu.Miaka minne alivyoongoza Nchi kwa jasho na damu na bado anadunda!?

    Huyo jamaa kwa magumu aliyopitia kwa miaka minne kama Kiongozi wa Nchi kwa hakika ana Mungu na ni muda muafaka aachwe tu. Matusi,chuki,kukatishwa tamaa na hata kutabiliwa kifo ilikuwa ni rahisi kwake kukata tamaa na pengine angeamua tu kuwa upande wa mafisadi ili kuwafurahisha wakosoaji na...
  5. JamiiForums Tanzania Uingereza nao wafuata Tanzania na nchi zingine abiria wote watakaotua UK kutakiwa kujiweka karantini kwa gharama zao wenyewe kwa siku 14

    Waziri wa mambo ya ndani wa Uingereza Priti Patel Serikali nchini Uingeeza leo jioni inatarajia kutangaza kuwa abiria wote wa kimataifa ambao watatua kwenye viwanja vya ndege vya nchi hiyo watatakiwa kujiweka wenyewe karantini kwa gharama zao wenyewe. Pia abiria hao watatakiwa kutoa taarifa...
  6. JamiiForums Tanzania Vyombo vya dola viwachukulie hatua wanaofanya uchochezi kwamba katika nchi isiyo na dini, mkuu hawezi kuhutubia taifa kanisani

    Kuna watu wana chokochoko, wakiona maji yametulia,wanayakoroga,almuradi tu hawapendi amani na upendo ndani ya taifa Kuna watu wa ule upande mwingine wanasema hawawezi kusikiliza au kupokea na kuangalia maagizo yanayotolewa kanisani kwa njia ya hotuba. Wanasingizia kwamba wao sio wa dini hiyo...
  7. JamiiForums Tanzania Kwanini Tanzania hakuna daily briefing juu ya Corona virus pandemic?

    Nauliza hili swali sababu kama wananchi tunataka kufahamu ukweli juu ya hili janga. Tunataka waziri wa afya, au msemaji mkuu wa serikali kila siku awe anatoa taarifa zilizo rasmi. Mbona nchi za wenzetu ambazo zimekumbwa na hili janga kila siku lazima watoe taarifa rasmi kuhusu...
  8. JamiiForums Tanzania Rais Magufuli bila kuleta Mageuzi ya Uchumi wa watu, Nchi utaiacha ikiwo hoi sana kiuchumi

    Wafanyakazi waongezwe mishahara ili kuongeza parchasing power, Wakulima wapewe ruzuku kwenye dhana za kilimo mbolea, matrekita, wajasiliamali wanahitaji sera bora za upatikanaji wa mitaji na bima za kiserikali za kulinda mitaji yao, Wafanyabiashara wanahitaji upatikanaji wa mitaji na sera bora...
  9. J

    JamiiForums Tanzania Mchungaji Lusekelo: Kwa mujibu wa Biblia mkuu wa nchi akishaongea mjadala unafungwa, hao wanaohoji baadae ni wavuta bangi

    Mchungaji Lusekelo amesema yeye ni miongoni mwa wachungaji bora 10 barani Afrika hivyo anapoongea jambo wananchi ni lazima wamuelewe. Lusekelo anasema Rais Magufuli ameitikisa dunia kwa namna alivyoweza kudhibiti Corona, kadhalika wale walioongea baada tu ya Rais kuongea na wananchi ni wavuta...
  10. JamiiForums Tanzania Tanzania ni nchi yenye furaha sana

    Siku za hivi karibuni baada ya ujio wa mitandao ya kijamii; nchini Tanzania kila kitu kimekuwa utani na hivyo kufanya mambo kuwa mepesi na msongo wa mawazo kupungua. Kwa ufupi tunapeana burudani ya kutosha humu online. Nadhani zile takwimu za kuwa hatuna furaha sasa ziwe reviewed tuwemo...
  11. JamiiForums Tanzania Je, ufisadi na ubadhirifu ndio tatizo pekee kubwa kwa nchi za Afika?

    Nimetafakari sana na kujiuliza juu ya hili swali. Maana hata kabla ya kurudi kwa mfumo wa vyama vingi hapa Tanzania na nchi nyingine nyingi za Africa, sababu kubwa iliyoletwa na taasisi kama World Bank na nchi nyingi za wahisani ilikuwa ni kudhibiti ubadhirifu na ufisadi. Wahisani na World...
  12. JamiiForums Tanzania Marekani kuanza kusitisha ufadhili wa fedha kwa WHO ndani ya siku 30 zijazo

    Rais wa Marekani Donald Trump ambaye anakabiliwa na uchaguzi mkuu mwaka huu ambaye amekosolewa jinsi anavyotatua ugonjwa huo nchini Marekani , amelaumu China kwa kujaribu kuziba mlipuko huo na kuilaumu WHO kwa kushindwa kuiwajibisha China. Rais wa Marekani, Donald Trump ametangaza kwamba...
  13. JamiiForums Tanzania Huwezi kuchukua nchi bila SYSTEM kuwa upande wako

    Chadema mnapofanya siasa zenu tambueni kuwa ni ngumu kuchukua nchi bila kufanya urafiki na vyombo vya ulinzi na usalama. Either mtatumia umwagaji damu, Vyombo vya ulinzi ndio watanzania wenyewe ukiona umekubalika 50% kwa watanzania na ndani ya ulinzi ndio hivyo hivyo, maafisa wa vyombo wanataka...
  14. K

    JamiiForums Tanzania Ubunge Tanzania ni ulaji tu hakuna faida kwa nchi

    Watanzania tunadanganya na wabunge kwa kujifanya kama vile wanatusaidia. Bunge kwa mfumo wa sasa ndiyo sehemu ya matumizi bila faida yeyote kwa taifa 1. Kwanza Budget ambazo wanatumia muda kujadili na kuchukua pesa nyingi serikali kwenye utekelezaji hawatumii pesa kama walivyopanga. Hivyo...
  15. JamiiForums Tanzania WHO: Corona Virus inaweza isiondoke

    Mkurugenzi mtendaji wa Shirika la Afya Duniani ‘WHO’ amesema #CoronaVirus wanaweza wakaendelea kuwepo na kujiunga na virusi vingine vinavyoendelea kuua watu duniani Amesema hafananishi virusi hivyo ila ni vyema kujua uhalisia, kwa kuwa hakuna anayeweza kutabiri siku ambayo ugonjwa huo unaweza...
  16. J

    JamiiForums Tanzania Spika Ndugai amtaka Mbowe aache tabia ya kujipima ubavu na Mkuu wa nchi Rais Magufuli, aache kabisa!

    Up dates; Spika Ndugai amesema Mbowe kama KUB ni mtu muhimu sana pale bungeni na ni mjumbe wa kamati zote muhimu ikiwemo ya Uongozi, kamati ya haki, kamati ya kanuni na kamati ya bajeti. Pia kama KUB Mbowe anaruhusiwa kusimama bungeni wakati wowote na kuuliza au kushauri chochote tofauti na...
  17. S

    JamiiForums Tanzania Tunaweza kuona tuna msimamo imara suala la Corona lakini mwishoni gharama yake inaweza kuwa Tanzania kukosa heshima na kupoteza urafiki na nchi jirani

    Sikatai kwa nchi hata Tanzania kutokuwa na msimamo na kukubali kuyumbishwa ndani na nje ya nchi. Ninachowaambia ni kwamba katika masuala ya mahusiano, ndani na nje ya nchi, tunapaswa tujue namna ya ku balance kati ya kuwa na msimamo, kutoyumbishwa na udiplomasia. Kuwa na msimamo haina maana...
  18. JamiiForums Tanzania Kauli hii "Wakimaliza kujifungia watakuwa na njaa, tujitolee kuwasaidia" si kauli ya kiongozi aliyekomaa. Inaweza kuleta hujuma kwa nchi!

    Kusema kweli hii ni kauli mbaya kuzungumzwa na kiongozi wa nchi kwenda kwa nchi majirani zake ambao wanakabiliana na matatizo. Ni kauli ya kuharibu na kuleta hujuma kwa nchi. Ndugu Rais, unapotamka jua kuwa wewe ni Rais wa nchi. Hilo lazima ulielewe hivyo umakini unahitajika sana kwenye...
  19. JamiiForums Tanzania Watanzania wengi wanatamani wawe raia wa nchi zinazopambana na Corona kwa dhati ili kuwa na uhakika wa kuishi

    Hili jambo limenishangaza sana ! wananchi wengi wamejiridhisha kwamba nchi yetu haipambani na corona kwa dhati kama nchi nyingine zote duniani , Tumeshuhudia pia juhudi za viongozi kutaka kuwaaminisha wananchi kwamba corona kwa Tanzania ni jambo jepesi tu . Bali kinachoshangaza wananchi ni...
  20. JamiiForums Tanzania TAKUKURU: Kwenye TFF kuna hela zimetumika vibaya

    Taasisi ya kuzuia na kupambana na rushwa imesema shirikisho la mpira(TFF ) kuna hela zimetumika vibaya,baadhi ya watuhumiwa wameitwa kuhojiwa na nyaraka mbalimbali zimechukuliwa . TAKUKURU imesema watu hao wana hiari ya kurudisha hela au kusubiri uchunguzi ukamilike. Mkurugenzi wa TAKUKURU...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…