nchi

  1. JamiiForums Tanzania GE2020 CCM kusambaza mabango ya wagombea wao nchi nzima, ni kutumia vibaya "resources" zetu!

    Hivi sasa unapotembea kwenye miji mikubwa hapa nchini utakutana na mabango ya wagombea wa CCM, ambayo yamebandikwa kila mahali, hadi kwenye vichochoro, hadi inatia aibu na kuleta kichefuchefu! Wakati hayo yanafanyika kwa upande wa CCM, kwa kutapanya ovyo pesa zetu za walipa kodi, hali ni mbaya...
  2. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ethiopia sasa ni nchi ya pili Afrika kwa ku-export maua. Kenya bado ni ya kwanza

    Watanzania fulani humu hupenda kusema kuwa Tanzania inaexport maua kwa wingi kushinda Kenya. Ukweli usiopingika ni kuwa Kenya ni ya kwanza Afrika kwa wingi wa kuexport maua. Kumbe hata nchi kame kama Ethiopia pia inaexport maua kwa wingi kushinda walazy wa kusini? Wabongo tusiwahi bishana tena...
  3. JamiiForums Tanzania Sumaye: Hatutaki watu wanaochochea fujo ndani ya nchi kwasababu tu wanatafuta madaraka

    WAZIRI Mkuu mstaafu wa awamu ya tatu, Frederick Sumaye, ameibuka na kuitaka serikali na vyama vya siasa kuchukua hatua dhidi ya wagombea ambao wanatoa kauli zinazohatarisha kuvunjika kwa amani. Pia amesema ushindani wa vyama na wagombea upo japo si mkali sana kulinganisha na uchaguzi uliopita...
  4. JamiiForums Tanzania Msaada. Naomba picha za viwanda vilivyojengwa nchi nzima

    Hapo ulipo ndio panaitwa nchi nzima kwahiyo piga picha kiwanda kilichojengwa awamu hii uweke hapa. Msaada wadau naomba kuona picha za hivyo viwanda. Na bidhaa zake na zinako safirishwa johnthebaptist Maendeleo hayana uvyama ndani yake.
  5. JamiiForums Tanzania Nawakumbusha tu, mipaka mingi imefungwa,tusiitie kiberiti nchi yetu

    Amani iwe nanyi, Nafuatilia mienendo ya wanasiasa, wasimamizi wa siasa na wananchi katika kipindi hiki cha uchaguzi mkuu, naona kama kuna hali ya kuchoshwa na amani iliyopo sasa. Vitendo vingi vinaashiria pande hizi haziko tayari kutenda haki au kuona haki inadhulumiwa. Nikiwa kama mtanzania...
  6. JamiiForums Tanzania GE2020 Profesa Lipumba: Mkinichagua kuwa Rais wa Nchi hii nitafuta umasikini katika nyanja zote

    MKINICHAGUA KUWA RAIS WA NCHI HII NITAFUTA UMASIKINI KATIKA NYANJA ZOTE "PROF.LIPUMBA" AKIWA BAGAMOYO Ukuaji wa uchumi wa Tanzania haujaambatana na kasi kubwa ya kupungua kwa watu masikini. Idadi ya watu masikini kwa kutumia kipimo cha taifa cha umasikini (mtu mzima kutumia shilingi 50,000/...
  7. JamiiForums Tanzania Ya kale ni dhahabu: SAY - Mtoto wa Mwarabu mhamiaji aliyeitikisa Nchi kwa Muziki

    Mtoto wa Mwarabu mhamiaji aliyeitikisa Nchi kwa muziki MOJA kati ya matukio ambayo wakazi wa Morogoro na Tanzania kwa ujumla hawatoyasahau ni kuondokewa na mwanamuziki bora sana kitaifa, Salum Abdallah Yazid, maarufu ‘SAY’, hata ikaacha majonzi makubwa kwa mashabiki wa dansi Afrika Mashariki...
  8. JamiiForums Tanzania Tujadili kwa maslai ya nchi: Magufuli anasema makampuni makubwa ya madini yamezalisha dhahabu ya sh. tril. 2.2 na nchi ikaambulia bil. 68

    Naonba niwe muwazi kwa nchi kama wawekezaji wanachimba dhahabu ya shs. tril. 2.2 kwa mwaka huu na nchi kupata bil. 68 pekee ni aibu. Kwa analysis hiyo naona wachimbaji wadogo wanachangia pakubwa kuliko hao wachimbaji wakubwa na tunasema Sheria ya Madini tunapata 50% kwa 50% kwanini wanatudanganya?
  9. JamiiForums Tanzania Kupitisha airport cargo yenye nguo za mtu binafsi alizokuwa anazivaa akiwa nje ya nchi

    Kupitisha airport cargo yenye nguo za mtu binafsi alizokua anazivaa akiwa huko nje ya nchi alikokua anakaa sasa anarudi nazo bongo. Lakini kama cargo je customs analipia shs ngapi pale airport? Asante.
  10. JamiiForums Tanzania Je, Katiba za nchi zinaruhusu Nchi moja kuinunua Nchi nyingine?

    Mfano labda Tanzania ikataka kuinunua Rwanda pamoja na watu wake wawe mali binafsi ya TZ, utaratibu kama huo unawezekana katika mantiki na misingi ya kibiashara baina ya pande mbili husika?
  11. C

    JamiiForums Tanzania Licha ya Rais Magufuli kujimwambafai kujenga barabara na madaraja, hivi ndiyo nchi beberu inavyowashauri raia wake wanaotaka kuitembelea Tanzania

    Mnaweza kusoma wenyewe. Nimetumia google translate kutafsiri kwa kiswahili na ku edit kidogo ili wengi tuelewe vizuri. Kiswahili Hali ya barabara nchini Tanzania "Usalama katika barabara za umma nchini Tanzania ni mbaya. Hali ya kuendesha gari nchini haitabiriki. Taa za mitaa na barabarani...
  12. JamiiForums Tanzania GE2020 Dakika 45 na Bernard Membe ITV: Baadhi ya mambo aliyoongea

    Hahaha! Membe bana. Hivi atafika hadi mwisho wa uchaguzi kweli? Sasa hivi yupo ITV. === Ikiwa kampeni zinaendelea kupamba moto, vituo mbalimbali vya utangazaji vimeanza kuwahoji baadhi ya Wagombea wa nafasi ya Urais wa Vyama mbalimbali. Wiki iliyopita mnamo September 3, ITV ilimhoji Ndugu...
  13. JamiiForums Tanzania Kama Maalim Seif akishindwa kuchukua nchi mwaka huu, ajilaumu mwenyewe kwa uamuzi wake wa kutokwenda kwa Wapinzani wenye nguvu (CHADEMA)

    Nimesikiliza kwa makini sana hotuba za Tundu Lissu akiwa Zanzibar, yaani unaona kabisa madini aliyokuwa anamwaga Tundu Lissu, laiti kama ile platform angekuwa yupo bega kwa bega ana mnadi Maalim Seif kama mgombea wa CHADEMA Zanzibar, mambo yangekuwa tofauti sana. Sio kwamba napuuza nguvu ya ACT...
  14. JamiiForums Tanzania GE2020 Je, ni Mgombea Urais gani kati ya hawa anahitajika sana kwa sasa na Wananchi wa nchi ya Malawi ya Kaskazini?

    Je,.... 1. Mgombea ambaye Sera zake ni Miundombinu, Usafirishaji, Utalii na Madini huku Vitisho / Mikwara vikitawala Ubongo wake 24/7? 2. Mgombea ambaye Sera zake ni Kuanza Kwanza kupambania Maisha Magumu ya wana Malawi ya Kaskazini na Haki zao Kiujumla? 3. Mgombea ambaye Sera zake ni...
  15. JamiiForums Tanzania GE2020 CCM ya Magufuli wanaweweseka kitu gani ilhali miaka yote 5 nchi ilikuwa yao?

    Kampeni za uchaguzi wa octoba 2020 zinachangamsha sana. Pamoja na CCM na serikali ya Magufuli kuzuia na kupiga marufuku mikutano ya upinzani tangia 2016 ili kufifisha nguvu ya upinzani mambo ni kinyume kabisa. CCM na jiwe kwa akili za kitoto walifikiri wakifanya hivo uchaguzi wa 2020 watarudi...
  16. J

    JamiiForums Tanzania Mahusiano ya Kimataifa: Rais Magufuli amefungua balozi mpya katika nchi 8 ikiwemo Israel, Mungu ambariki sana!

    Kwa ufupi kabisa kwa wale CHADEMA pamoja na Tundu Lisu mnaodai Rais Magufuli amefifisha mahusiano na dunia nataka niwakumbushe tu Rais Magufuli amefungua balozi katika nchi nane duniani ikiwemo Israel. Tunapokosoa jambo tuwe tunaweka na uhalisia wa ukosoaji siyo kukurupuka. Hata Ethiopia...
  17. JamiiForums Tanzania Tusijidanganye, kwa aina ya uongozi na mifumo ya nchi hii, kamwe hatuwezi kuwa hata karibu na Ulaya

    Hilo lipo wazi, ukiangalia ulaya ulivyo unaweza ukastaajabu na kujiuliza tunakosea wapi. Designers wetu wa miundombinu na mipango miji sielewi huwa wanatoa wapi mifano ya kazi zao. Hapa chini ni highway za uholanzi,unaweza kuota kuna gap kubwa saana kati ya commuters wanaoenda na wanaorudi...
  18. JamiiForums Tanzania Wazanzibar hatuko tayari nchi yetu kufanywa Wilaya kwa kuletewa dalali

    Ccm wasijidanganye kuwa wazanzibar watakua kimya na mambo kwenda salama (muruwa) kwa kuwawaa nchi yao ili ifanywe wilaya 2 ya Unguja/Pemba na mkuu wa mkoa 1. Hii plan ni ya kipindi kirefu tunajua na Huyu Mwinyi ni matayarisho ya kukukamilisha agenda hio kwa maguvu ya Magufuli. Sisi...
  19. JamiiForums Tanzania Sayansi yashindwa kwanini Afrika haijaathirika na Corona, sawa na nchi nyengine

    Wataalamu wa magonjwa ya kuambikiza Duniani kwa umoja wao wakiri kutofahamu kwa nini nchi za Kiafrika hazijaathirika kwa kiwango sawa na nchi nyengine Duniani. Wataalamu hao wamesema , “ Hali ya ugonjwa wa Corona katika nchi za Afrika hata wao zinawashangaza”. Wengi wamekiri kuwa wakati ugonjwa...
  20. JamiiForums Tanzania Ancestral Curse: Ujerumani iliwaua Wayahudi zaidi ya Milioni 6, lakini ndio nchi yenye nguvu zaidi Ulaya. Je, hii dhana ya laana ya asili ipo sahihi?

    Shikamooni wakubwa zangu wote wa hapa jamiiforums. Mimi mdogo wenu (Last Born) Infantry Soldier nipo mzima kabisa wa afya. Thanks to God the Almighty. Ndugu zangu watanzania; Ujerumani iliwahi kuwaua binadamu zaidi ya Milioni 6, lakini ndio nchi yenye uchumi mkubwa zaidi barani Ulaya (European...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…