William Mshumbusi
JF-Expert Member
- Mar 27, 2012
- 1,792
- 2,421
Ukweli NI kuwa kashfa na taharuki iliyowekwa kwa wagombea wa upinzani NI kubwa Sana na inapenya vilivyo kwa watu kuliko ata maneno anayosema Tundu zidi ya serikali.
1. Huitwa vibaraka wa mabeberu na wametumwa na mabeberu.
2. Huko singida nilisikia NI watu wenye mpango wa kuuza nchi.
3. NI watu wasioaminika.
Ukiangalia uchaguzi huu vijembe vimekuwa vingi lakini havizidi alivyopigwa Lowassa 2015, kejeli na kebehi umekuwa sehemu ya kampeni na sioni yeyote anayekemea hilo.
Na kudhihilisha tuhuma zidi ya Tundu ni kweli ni ukimya wa tume juu ya tuhuma hizo. Wakati zile za lisu kwenda kwa wenzake zikidhiilika kuwa NI uongo wa kutupwa na anatakiwa azitolee maelezo.
Nashauri time ijitahidi sio tu kutenda haki Bali kuondoa Shaka yoyote kwa upinzani juu ya uchaguzi huu.
Pili Mazuri aliyoyafanya Magufuli kwa miaka mitano yanajieleza na anauhakika wa kupita kwa ungwe inayofata hivyo tume ijitahidi kutofanya lolote la ajabu huko mbele ili kudhihilisha ubora wa UCHAGUZI.
Na vizuri tume kukutana na wagombea wote kwa pamoja ili kuwekana sawa, kujadili malalamiko ya kila chama na kukubaliana kwa pamoja namna Bora ya kumalizika UCHAGUZI salama.