Tundu Lissu asipokuwa Rais nitahama nchi

Prof Koboko

JF-Expert Member
Aug 15, 2020
350
2,549
Kukutane baada ya tarehe 28)10/2020 tutapata majibu hapa hapa kwa sababu naamini Tundu Lissu atakua Rais wa nchi hii ingawa atatangazwa kwa taabu sana.
Ushindi wake umedhihiri kila ninapopita mtaani wanasema ni aheri Lissu anaweza kuleta amani kwenye nyoyo zao, wanasema aheri Lisu atawaletea maisha bora.

Wawatu wanafarijika sana sana kila wanapomuona mwana wa damu huyu aliyepitia majanga mazito ambayo alisema yanatokana na siasa zake.
Tundu Lissu anasema hivi;
1.Yeye siyo Lowassa
2.Akishinda atatangazwa
3.Yeye siyo Dr Slaa
4.Ameshinda umauti
5.Mungu sio Athumani
 
Jiandae kabisa. ikibidi tarehe 30/10 uwe ushasepa
 
😂😁😀😄😄😄
Acheni Mzee Apumzike Mtamuua Kwa Pressure
 
Kukutane baada ya tarehe 28)10/2020 tutapata majibu hapa hapa kwa sababu naamini Tundu Lissu atakua Rais wa nchi hii ingawa atatangazwa kwa taabu sana.
Ushindi wake umedhihiri kila ninapopita mtaani wanasema ni aheri Lissu anaweza kuleta amani kwenye nyoyo zao, wanasema aheri Lisu atawaletea maisha bora.

Wawatu wanafarijika sana sana kila wanapomuona mwana wa damu huyu aliyepitia majanga mazito ambayo alisema yanatokana na siasa zake.
Tundu Lissu anasema hivi;
1.Yeye siyo Lowassa
2.Akishinda atatangazwa
3.Yeye siyo Dr Slaa
4.Ameshinda umauti
5.Mungu sio Athumani

Urudi kwenu tu hakuna namna😀😀😀
 
Jiwe hatatoka ikulu

Jiwe alikuwa na kikao na Wakurugenzi wote nchi Nzima, ndio maana hakwenda Iringa Kama ratiba inavyosema..

Wakurugenzi wa Wilaya ndio wasimamizi wa uchaguzi...

Mipango ya kuiba Kura na kuhujumu uchaguzi
 
Kukutane baada ya tarehe 28)10/2020 tutapata majibu hapa hapa kwa sababu naamini Tundu Lissu atakua Rais wa nchi hii ingawa atatangazwa kwa taabu sana.
Ushindi wake umedhihiri kila ninapopita mtaani wanasema ni aheri Lissu anaweza kuleta amani kwenye nyoyo zao, wanasema aheri Lisu atawaletea maisha bora.

Wawatu wanafarijika sana sana kila wanapomuona mwana wa damu huyu aliyepitia majanga mazito ambayo alisema yanatokana na siasa zake.
Tundu Lissu anasema hivi;
1.Yeye siyo Lowassa
2.Akishinda atatangazwa
3.Yeye siyo Dr Slaa
4.Ameshinda umauti
5.Mungu sio Athumani
hii ni mental disorder
 
Kwa NEC ipi? Alishinda Lowasa ila kura za Lowasa akapewa mtu na Yule mtu kura zake akapewa Lowasa hi nchii acha tuu
 
Kukutane baada ya tarehe 28)10/2020 tutapata majibu hapa hapa kwa sababu naamini Tundu Lissu atakua Rais wa nchi hii ingawa atatangazwa kwa taabu sana.
Ushindi wake umedhihiri kila ninapopita mtaani wanasema ni aheri Lissu anaweza kuleta amani kwenye nyoyo zao, wanasema aheri Lisu atawaletea maisha bora.

Wawatu wanafarijika sana sana kila wanapomuona mwana wa damu huyu aliyepitia majanga mazito ambayo alisema yanatokana na siasa zake.
Tundu Lissu anasema hivi;
1.Yeye siyo Lowassa
2.Akishinda atatangazwa
3.Yeye siyo Dr Slaa
4.Ameshinda umauti
5.Mungu sio Athumani
Aomdoke mapema kwa maana tayari ameshindwa.
 
Jiandae kuhama haraka
 
5 Reactions
Reply
Back
Top Bottom