nchi

  1. JamiiForums Tanzania Maono yangu tunapoelekea 2025

    wenzetu wa CCM wanasema kuisha kwa uchaguzi ni mwanzo wa chaguzi nyingine. Ila kuelekea 2025 namuona mheshimiwa Majaliwa akikitwaa kijiti cha kuiongoza nchi kutoka kwa rais Magufuli. Namuona ndugu yangu Bernard Membe akirudi nyumbani CCM. Naliona anguko la CHADEMA na kuibuka kwa ACT kama...
  2. JamiiForums Tanzania Nashauri wanaochafua nchi wafilisiwe mali zao

    Hapo vip! Hii hali ya kuichafua nchi imekuwa biashara kwa wanasiasa na wanaharakati fulani fulani. Kuichafua Nchi ni kitendo cha uhaini na watu hao wanafaa waweke Kwenye list ya maadui wa taifa letu. Kuichafua nchi inapelekea nchi kujengewa mashaka na wawekezaji ambao walikuwa na nia ya kuja...
  3. JamiiForums Tanzania Unaweza kutumia chombo gani huru kuupata ukweli wa yasemwayo na Wanasiasa katika nchi yako?

    Raisi Donald Trump aliwahi kudai kaibiwa kura akiwa madarakani. Kura zikarudiwa kuhesabiwa baadhi ya majimbo( Georgia), matokeo ya pili yakaonyesha bado ameshindwa! Akakubali matokeo. Hii ina maana, kiongozi "Mkubwa" katika nchi anapoongea jambo inafaa kama lina ukakasi,kuwepo na chombo kingine...
  4. JamiiForums Tanzania Ikiwa sharti kuu la kula kiapo ni kuilinda na kuihifadhi Katiba ya nchi, ni kwanini viongozi hao baada ya kula viapo hivyo, wanaisigina Katiba hiyo?

    Tumekuwa tukishuhudia kila kiongozi kabla ya kukabidhiwa madaraka, ni lazima kwanza aape na katika kiapo hicho, sharti kuu ni kuilinda na kuiheshimu Katiba ya nchi ambayo ndiyo sheria mama ya nchi yetu Sasa ni kwanini baadhi ya viongozi Mara tu wanapoanza kutumikia nyadhifa hizo wanaipuuza...
  5. JamiiForums Tanzania Nafasi ya Godbless Lema ya Mwenyekiti wa CHADEMA Kanda ya Kaskazini itajazwa lini?

    Nafasi ya Godbless Lema ya mwenyekiti wa CHADEMA Kanda ya Kaskazini itajazwa lini? Kama tujuavyo Lema amekimbia nchi kwa madai ya changamoto za kisiasa na kuelekea Kenya kupata hifadhi. Naomba jibu, kuuliza si ujinga.
  6. JamiiForums Tanzania Je, kampuni gani nzuri ya kuagiza magari nje ya nchi?

    Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, wadau tushirikishane kampuni nzuri na best inayomfaa mteja kuagiza magari nje ya nchi. Na pia wale ambao wamewahi kuagiza watupe uzoefu wao na waliyopitia, je gari uliyoletewa ndio yenyewe? Vifaa vya ndani je ndivyo vyenyewe? Pia wale ambao hununua magari...
  7. S

    JamiiForums Tanzania Nchi wafadhili sasa muamue kusimama na wanasiasa au wananchi

    Nadhani mpaka sasa mmeshajionea maajabu na undumilikuwili wa wanasiasa wetu, hivyo ni jukumu lenu kuamua kama demokrasia mnayoipigania ndio imewewaka wanasiasa wetu madarakani au laa, na kisha muamue kutoa fedha zenu au vinginevyo. Chagueni kusimama na wananchi au kusimama na wanasiasa. Kazi...
  8. JamiiForums Tanzania Wapinzani wa kweli wa nchi hii ni Mbowe na Lissu

    Habari ndo hiyo, hiyo miamba hapo juu ndo tafsiri haswa ya mpinzani wa nchi hii ni nani. Ambaye hataki na anabisha kwa nnachokisema, aende akameze boga, akifanikiwa kulimeza basi mimi ni muongo na nipigwe mawe. Upinzani wa kweli ni kutokuyumbishwa msimamo wako juu ya unachokiamini. Mbowe na...
  9. E

    JamiiForums Tanzania Hizi ndio Sifa ambazo viongozi wakuu wa nchi huzizingatia wakati wa kuteua viongozi

    Habarini za Leo ndugu na marafiki Leo nimekuja na sifa ambazo viongozi wakuu huzizingatia wakati wa kuteua wasaidizi wao. Mfano Rais anapochaguliwa tu, moja ya jukumu lake huwa ni kuteua viongozi watakao simama naye katika kutekeleza majukumu yaliyo mbele yake. Hivyo ndani ya akili ya Rais...
  10. JamiiForums Tanzania Je, kulikuwa na ulazima wa nchi kuingia vitani na Idd Amin?

    Nawauliza wazee wangu mliokuwa na ufahamu wakati nchi inaingia kwenye vita vya Kagera. Je, kulikuwepo na ulazima wa kuingiza nchi kwenye vita ya Uganda ambayo tangu wakati huo mpaka sasa madhara yake bado yapo dhahiri? Je, hatukuwa na diplomacy iliyokuwa matured kuepusha hasara ile? Je...
  11. JamiiForums Tanzania Ndugai avuliwe U-spika wa Bunge, kutokana na kuikanyaga Katiba ya nchi kwa kung'ang'ania kuwakumbatia wabunge wa viti maalum wa Chadema

    Tunajua kuwa sheria mama ya nchi hii ni Katiba ya Jamhuri wa Muungano, 1977, ambapo kila mwananchi anapaswa kuiheshimu na kuitii. Viongozi wakuu wa serikali wanaapishwa kwa kuilinda Katiba hiyo kabla hatujawakabidhi madaraka hayo. Katika kile tunachokiona watanzania kwa sasa kuona viongozi...
  12. JamiiForums Tanzania Nchi maskin haziwez endelea kwa kutegemea Kodi, Bali kwa kutumia rasilimali vizuri

    Ukiangalia nchi nyingi zilizo endelea zilitegemea rasilimali, yaan zilitumia rasilimali vizuri ndo zikaendelea hazikutisha wanaanchi wake mzigo wa makodi Kama zifanyazo nchi za Afrika Nchi za Afrika zina-rasilimali nyingi lakin ni maskin sababu moja wapo ni usimamiz mbovu wa rasilimali na...
  13. JamiiForums Tanzania Majaliwa: Watanzania tuachane na fikra potofu kuwa bidhaa zinazotoka nje ya nchi ndizo zenye ubora

    Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa ameziagiza mamlaka zote za udhibiti zihakikishe kuwa bidhaa zinazoingizwa nchini kwa ajili maonesho mbalimbali zinakuwa na viwango vya kimataifa na pia bidhaa zisizo na viwango na bidhaa bandia hazipati nafasi ya kuingia kwenye soko la Tanzania. Aidha, amewataka...
  14. JamiiForums Tanzania Ya Kikwete, SUK Zanzibar na Tido Mhando ni Uthibitisho kwamba nchi hii,mabadiliko ni magumu mnoooo!

    Hebu Jiulize! 1. Rais Mstaafu Kikwete kwa utashi wake binafsi aliamua watanzania wapate katiba mpya ( suala ambalo halikuwa hata kwenye ilani ya CCM ). Akatumia mamlaka yake kuunda tume ya Warioba na wakafanya vizuri sana. Likatokea genge likaona linapokonywa keki ya taifa, likapora mchakato...
  15. JamiiForums Tanzania Ndugu zetu CHADEMA kukosa Ubunge sio sababu ya kuichukia nchi yenu

    Mnaipaka matope nchi yenu mnasema eti ni nchi isiyothamini wawekezaji je hii ni kweli? Mmechukia kutopata Ubunge je kwani Ubunge ni ajira? Hapana. Kwa muktadha huu ni kuwa watanzania wameridhika na CCM. Sasa mnataka nini? Mnaeneza uongo hapa Jf kuwa wawekezaji wanadhulumiwa bil of Tsh, jambo...
  16. D

    JamiiForums Tanzania Tuliporuhusu sera ya 50 kwa 50 dhidi ya wanawake tulikosea

    Katika Sera mbovu Viongozi walizokosea, ni hii Sera ya 50 kwa 50! Mtakumbuka mwanzoni mwa miaka ya tisini na mapema miaka ya 2000; Sera ya elimu ilianza kuwabeba wanawake kwenye ufaulu! Wanawake waliopata madaraja ya chini ya ufaulu (lower division), walipewa kipaumbele cha kuchaguliwa...
  17. E

    JamiiForums Tanzania Utumiaji wa Rasilimali za Asili kwa ufanisi ndio mbinu inayoleta utajiri ndani ya nchi

    Habari za Leo wa ungwana. Natamani sana taifa langu liwe tajiri. Kuna msemo unasema kwamba utajiri unapatikana ardhini. Huu msemo ni wa kweli kabisa. Kwasababu ndani ya ardhi ndio kuna mali, kuna madini, kuna maji, kuna mafuta, kuna gesi, kuna makaa ya mawe kuna misitu, kuna miti, kuna...
  18. M

    JamiiForums Tanzania Ushauri kwa Rais: Ili kukuza uchumi wa nchi na kupata fedha za ujenzi wa miundombinu, Mishahara ya watumishi wa umma na viongozi wa kisiasa ipunguzwe

    Wapo watumishi wa Serikali pamoja na viongozi wa kisiasa wanalipwa mishahara mikubwa Sana. Wapo wanaolipwa mpaka Laki nane, Tisa, milioni 2, 3, 4, 5, 10, 20 n.k kwa mwezi kiasi kwamba Hata ikikatwa na kuwa nusu yake bado kitakuwa Ni kiwango stahiki kitakachokidhi mahitaji Yao ya msingi na...
  19. JamiiForums Tanzania Mtu akipewa ujuzi huu anaweza kujiajiri Tanzania na hata nje ya nchi kwa ufanisi sana

    Wakuu ajira imekuwa shida sana na inauma kuona mtu akiteseka sababu ya kukosa ajira. Mi nilikuwa na wazo kuwa zianzishwe centre za kufundishana huu ujuzi wa kitaani tulio nao ili mtu akiienda sehemu akaufanye vizuri/ kujiajiri vizuri. Hizi kozi ziwe fupi tu, mwezi mmoja hadi miezi mitatu. Ni...
  20. T

    JamiiForums Tanzania Kwani Tanzania ipo vitani? Au kuna hali ya hatari?

    Wanazuwoni na magwiji wa Sheria Mimi naomba kuuliza kwani nchi ipo ktk hali ya hatari? Au kuna tamko la nchi Kuwa ktk hali ya hatari? Je Rais anaweza kuiweka nchi ktk hali ya hatari bila kutangaza ktk umma? Why I'm asking? Kuzima mitandao ya SIM na Uhuru wa kuwasiliana ni moja ya mambo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…