nchi

  1. M

    JamiiForums Tanzania Iran nchi inayoongoza kwa kuikopesha Tanzania

    Naam, siyo wengine bali ni walewale watoto wa Ayatollah ndiyo wanaoongoza kutupiga tafu kwenye mikopo Siyo China, wala Marekani wanaoongoza kutukopesha ili tufanye mambo ya maendeleo, bali ni Wairani. Wairan ni watu walionyooka sana, hawapendi kuburuzwa, ni watu wanaojiamini. Pamoja na wao...
  2. JamiiForums Tanzania Taarifa ya Upatikanaji wa Mayai Nchi Tanzania

    JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA WIZARA YA MIFUGO NA UVUVI TAARIFA FUPI KUHUSU TAARIFA ZINAZOZUNGUKA KWENYE MITANDAO YA KIJAMII (SOCIAL MEDIA) JUU YA KUSHUKA KWA BEI YA MAYAI NCHINI 15 JUNI 2021 1. UTANGULIZI Tarehe 15/06/2021 Wizara ya Mifugo na Uvuvi iliona ujumbe unazunguka kwa njia ya...
  3. S

    JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Is it true that the telecast of covid-19 horrible situation in Uganda is just a propaganda?

    ABOUT THE FOOTAGE below:- In Uganda, people of Kasese almost killed health officials following their illicit move of burying an empty coffin which they claimed to be carrying the Covid-19 dead body. This came after the long lived and widespread rumours in Uganda, that the government is...
  4. U

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Charity Ngilu: "Kazi ya william ruto ni kutangatanga tu na sio kumsaidia Kenyatta!"

    "Huyo Ruto hawezi saidia Nchi yetu, anahitaji kutuonyesha factory ata moja ambayo ametengeza. Amekuwa Deputy President miaka tisa sai lakini amefanya nini? Unaangalia mtu na Uongozi wake sio mdomo. Badala ya kumsaidia Rais Uhuru Kenyatta, kazi ni kutangatanga tu. Gavana wa Kitui - Charity Ngilu.
  5. JamiiForums Tanzania Kibonzo: Ukitaka kula mema ya nchi kuwa mbunge

    Mishahara yao haikatwi kodi, wanapata kiinua mgongo kila baada ya miaka mitano pasi kuchangia mfuko wa jamii. Tena mafao yao yanatoka kwa wakati stahiki hakuna njoo kesho.
  6. JamiiForums Tanzania Msaada mwenye connection ya ajira nchi za Kiarabu

    Nimekaa nikafikilia maisha yamenipiga, kazi niliyokuwa nayo haikidhi kabisa mahitaji yangu ya kila siku, nina mke, nina mtoto, ninao ndugu wanao nitegemea, baba, mama na wadogo zangu mbaya zaidi mimi ndie kaka mkubwa wa familia, najiona kabisa nimeanguka, najiona napoteza uelekeo kila kukicha...
  7. JamiiForums Tanzania Mnaosema Hayati Dkt. Magufuli ndiye aliwaambia Wamachinga wajenge mabanda kila mahali, sikilizeni maagizo yake

    Wamachinga ni wananchi kama wengine na wana haki ya kuishi mijini kama watanzania wengine. Mkitaka kuwahamisha hakikisheni mmeandaa mazingira ambayo hayataathiri biashara zao, maana hii ndio kazi inayowafanya wazilee familia zao na kusomesha watoto. Hawa watu hawakupenda kuwa wamachinga kwahiyo...
  8. JamiiForums Tanzania Tanzania: Serikali yaagiza uvaaji barakoa kwenye mikusanyiko

    Serikali ya Tanzania imeagiza wananchi kuchukua tahadhari ya ugonjwa wa corona kwa kuvaa barakoa sehemu zenye mikusanyiko, ili kujikinga na wimbi la tatu lililoibuka katika mataifa mbalimbali. Wakuu wa mikoa na wilaya wameagizwa kuhakikisha wanatimiza agizo hilo kwa kuzishirikisha kamati za...
  9. JamiiForums Tanzania Hivi UN inashindwa nini kuitambua Palestina kama nchi huru?

    Nimekaa nikawaza sana ila sijapata jibu mpka sasa. Israel inatambulika kimataifa,kwanini Palestina haitambuliki kimataifa? Mpaka sasa bado sijaona faida ya UN mpaka sasa,hakuna mgogoro UN imeweza kuuthibiti kama mlezi wa dunia, kwanini isitambue Palestina kama nchi huru, iwe na jeshi lake...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Tuwakumbuke Marais waliopita katika nchi mbalimbali za Afrika waliokuwa na misimamo thabiti isiyoyumbishwa!

    Wa kwanza ni Nkwame Nkrumah wa Ghana!! Mabeberu hawana hamu naye! Alipigania uhuru wa Afrika na kukataa kuburuzwa na mabeberu!! Ni alama ya kwanza kwa mashujaa wa Afrika. Karibuni tuendeleze orodha! Nkrumah defined his belief system as "the ideology of a New Africa, independent and absolutely...
  11. Z

    JamiiForums Tanzania Wanasiasa wanaposhindana kuijua Biblia na Koran badala ya Katiba na Sera za Nchi

    Tangu awamu ya 4, 5 na sasa awamu ya 6 hali imekuwa kutoa mifano ya Biblia na Koran, Bungeni na majukwaani. Wanasiasa wanaotoa hotuba zinazostahili kuwa msikitini na kanisani. Leo hii mkuu wa mkoa wa Mwanza anamwita rais Samia ni mtumishi aliyeletwa na Mungu. Sijui anatutisha au anajisemea...
  12. JamiiForums Tanzania Cadet za ubora wa juu zinazouzwa Tanzania zinatokea nchi gani?

    Habari za leo wakuu, Natumai mnaendelea vizuri ndugu zangu. Nahitaji kujua cadet (kadet) za ubora wa juu (high quality) zinazouzwa Tanzania zinatokea nchi gani? Pia nahitaji kujua aina za cadet (kadet) zinauzwa Tanzania kwa sana. Kadet za kuvutika (elastic) na zile ambazo sio za kuvutika...
  13. JamiiForums Tanzania Wabunge ndio maadui Wakwanza wa Maendeleo yetu na wanatunyonya

    Watanzania. Naomba kwa heshima na Taadhima. Leo hii tufahamu wanaotukwamisha katika maendeleo ni akina nani. Hatuwezi shinda vita vya Umaskini ikiwa Hatujafahamu Maadui zetu ni akina nani. Tunapaswa pia tufahamu wanaopigana wakiwa upande wetu bega kwa bega ni akina nani. Wanaweza kuwepo watu wa...
  14. S

    JamiiForums Tanzania Nchi inahitaji utekelezaji, ziara tulishazichoka au ni kupoteza muda

    Serikali ya CCM imekuja na style mpya ya wakuu waliomo serikalini au tuseme serikali iliyoundwa na CCM inastyle ya kupanga ziara ,mkae mkielewa hakuna cha ziara wala matembezi ni namna ya kula hela kwa njia ya kulipana posho. Wananchi wanahitaji maendeleo mambo ya ziara yamepitwa na wakati...
  15. JamiiForums Tanzania Nchi ya Israel ina sera gani kuhusu mtu mweusi kiujumla?

    Ningependa kufahamu taifa la Israel lina sera gani kuhusu mtu mweusi? Je, mliowahi kufika huko, level ya ubaguzi wa rangi ikoje? Je, unapatikanaji wa huduma katika public areas ukoje kwa mtu mweusi? Nawasilisha
  16. B

    JamiiForums Tanzania Kitendo Cha Inteligensia ya Polisi kutoana viashiria vya ualifu kwenye Mikutano ya Chadema kinanifanya niamini nchi ipo salama

    Kwa miaka zaidi ya sita Intelligence ya Polisi ilikuwa ikipokea taarifa za kiusalama zilizoonyesha viashiria vya uvunjifu wa amani kwenye Mikutano ya Chadema na vyama vingine vya siasa na hivyo kupelekea ma OCD kusitisha kufanyika kwa mikutano hiyo. Toka tarehe 17/03/2021 hali ya Usalama...
  17. JamiiForums Tanzania Bajeti ya Serikali 2021/2022 ni Trilioni 36.33, Bodaboda na Madiwani Waneemeka, Barabara hadi Vijijini, Miradi kuendelea, Watanzania Kufunga Mkanda

    Waziri wa Fedha na Mipango Mhe. Dkt. Nchemba leo Juni 10, 2021 katika Bunge la Tanzania jijini Dodoma saa 10:00 jioni anawasilisha Bajeti Kuu ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa mwaka wa fedha 2021/2022. Hii inakuwa bajeti ya kwanza kwa serikali ya awamu ya Sita na Waziri...
  18. JamiiForums Tanzania Mwigulu: Mama Samia kajifunza kuendesha nchi kutoka kwa Kikwete

    .
  19. JamiiForums Tanzania CHADEMA yaiteua siku ya Jumamosi kuwa siku ya wananchi kuvaa sare za chama hicho nchi nzima

    Hili ndilo Tamko jipya la Chama hicho lililotolewa na Mwenyekiti wake Mwamba Freeman Mbowe akiwa kwenye mpango wa OPERESHENI HAKI inayoendelea mkoani Morogoro, lengo la Mkakati huu ni kuongeza uzalendo na kuihifadhi Chadema ndani ya vichwa vya wananchi ili kuhamasisha ukombozi Kama ni Gwanda...
  20. JamiiForums Tanzania Tunaosimama na Sabaya hatuipingi Serikali, tunapambana dhidi ya dhuluma na uonevu kwa waliojitolea kupambania Taifa

    SABAYA FOR CHANGE (S4C) Another day, better than Yesterday. Katika simu na jumbe nyingi nilizopokea swali lililojirudia mara nyingi ni "Iwapo Sabaya anashtakiwa na Serikali, je nyinyi mliosimama kwa upande wa sabaya mmeamua kupambana na Serikali?" UFAFANUZI WA KWANZA: Well, Hatupambani na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…