nchi

  1. S

    JamiiForums Tanzania Umoja wa Ulaya (EU) wagawanyika mafungu matatu juu ya vikwazo vya mafuta na gesi ya Russia

    Baada ya Russia kuivamia kijeshi Ukraine, Russia imewekewa vikwazo kadhaa na nchi mbali mbali zikiwemo US, UK na nchi kadhaa zinazounda Umoja wa Ulaya (EU). Ktk vikwazo vya hivi karibuni zaidi ni vikwazo vilivyotangazwa na US dhidi ya nchi hiyo kununua mafuta ya Russia na ikaahidi kutangaza...
  2. JamiiForums Tanzania Hivi ilikuaje Kangi Lugola akawa waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi?

    Hayati Magufuli enzi za uhai wake alipata kumteua Kangi Lugola Ninja luwa Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi. Jana nikawa mtandaoni YouTube nikasachi jina la Kangi Lugola, video zilizokuja nyingi ni kukata viuno au kuongea ujinga huku alitambulika kama Waziri. Je, vigezo gani hayati alivitumia...
  3. JamiiForums Tanzania Rais Samia, imulike Bandari ya Dar nchi inahujumiwa, kaweke Kambi pale Bandarini

    Meli za kutoka Dubai kuja DSM huchukua siku 14, Mzigo ukifika Dar Es Salaam bandarini utakaa siku hata 20-28 ukisubiri kupakuliwa. Meli ikitoka UK au China itatumia siku 28-30 kufika Dar, Mzigo ukifika hapo Bandarini unachukua siku 20-28 zingine kupakuliwa. Gharama za Usafiri imebidi...
  4. S

    JamiiForums Tanzania Hangary: Hatutoafikiana na EU kuweka vikwazo dhidi ya mafuta na gesi ya Russia, 90% ya waHungary watapata dhiki kubwa na uchumi wetu utaanguka

    Waziri Mkuu wa Hungary, Viktor Orban, ametangaza kuwa nchi yake (Hungary) ipo dhidi ya vikwazo vyovyote vitavyowekwa na umoja wa Ulaya juu ya Russia kuuza mafuta na gas ktk nchi za Umoja huo. Kufuatia mkutano uliofanyika London uliowahusisha mawaziri wakuu wa nchi kadhaa zikiwemo Hungary...
  5. L

    JamiiForums Tanzania "Waraka mkuu nambari 1" utakuwa mfano wa nchi za Afrika kukuza sehemu za vijijini

    “Waraka mkuu Nambari 1” wa China kuhusu kuhimiza kwa kina maendeleo ya sehemu za vijijini ulitolewa hivi karibuni, na kuamsha shauku kubwa kutoka kwa watunga sera wa Afrika, haswa wadau wa sekta ya kilimo na vijiji. Mnamo Desemba 2020, China ilitangaza ushindi katika kupunguza umaskini, na watu...
  6. J

    JamiiForums Tanzania Je wewe ni mtaalamu wa afya na ungependa kufanya kazi ya kimataifa nje ya nchi? 🇬🇧 🇺🇸 🇦🇺

    Habari wanajamvi Tangu miaka michache iliyopita kulitokea changamoto ya upatikanaji wa ajira kwa wataalamu wa afya, na sasa tumefika mashala ambapo mtu anapomaliza internship, anarudi nyumbani na kukaa muda mrefu, hata miaka bila kuitwa hata kwenye usaili wa kazi nyingi ambazo ameshaomba. Hiyo...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Rais Zelensky wa Ukraine anapoomba NATO waweke "No fly zone" nchini Ukraine, je anajua athari yake kwa nchi yake? achilia mbali athari kwa NATO

    Kama kuna kichaa duniani leo ambaye anaweza kuitumbukiza dunia kwenye vita kuu ya tatu ni Rais na msanii wa kuchekesha Zelensky wa Ukraine. Kila kukicha anazililia nchi wanachama wa NATO waweke zuio la ndege yoyote kuruka nchini Ukraine. Hivi anaelewa matokeo yake? Kwa mawazo yake anadhani...
  8. JamiiForums Tanzania Nchi zinazo zalisha gesi asilia zaidi duniani, 2022

    Nchi zinazo zalisha gesi asilia, zaidi duniani, 2022; 1. Russia (47,805 billion cubic meters) 2. Iran (33,721 bcm) 3. Qatar (24,072 bcm) 4. United States (15,484 bcm) 5. Saudi Arabia (9,200 bcm) 6. Turkmenistan (7,504 bcm) 7. United Arab Emirates (6,091 bcm) 8. Venezuela (5,740 bcm) 9. Nigeria...
  9. JamiiForums Tanzania Nchi zinazozalisha mafuta zaidi duniani 2022

    Nchi zinazo zalisha mafuta zaidi duniani 2022, (thousands barrels per day); 1. United States (12,108) 2. Russia (10,835) 3. Saudi Arabia (9,580) 4. Iraq (4,620) 5. Canada (4,129) 6. China (3,823) 7. United Arab Emirates (3,068) 8. Kuwait (2,652) 9. Brazil (2,604) 10. Iran (2,213)
  10. JamiiForums Tanzania Mwanamke asiyejaliwa na Mume wake ni sawa na Nchi isiyotawalika

    Assalamu Alyekum! Mwezi February ulikuwa mwezi wa wapendanao. Nikasema mwezi huo nitautumia kukutana na Mabazazi, washenzi, maharamia, wateka Manuwari na nyambizi, Pia nikakutana na wakata umeme, mabuzi, wazama uvinza, wanaapolo, wabambikaji, wanakemia na Aina zote za watu wapendao ngono...
  11. JamiiForums Tanzania Ni bendera zipi wanafunzi wanaosoma nje ya nchi, hutakiwa kuwa nazo?

    Naomba kufahamishwa bendera wanazotakiwa kuwa nazo wanafunzi wanaosoma nje ya nchi? Je, ni zile kubwa za kuwekwa kwenye mlingoti au vile vidogo vya kushika mkononi?
  12. S

    JamiiForums Tanzania Putin hataishia Ukraine tu, ipo siku atavamia nchi nyingine ya jirani

    Kama nchi zingine za Ulaya zinaamini Putin ataishia Ukraine tu, wajue wanajidanganya, ipo siku atavamia nchi nyingine kwa kigezo cha usalama wa nchi yake hasa nchi zingine zinazopakana na Russia au zilizo jirani na Russia. NATO mpaka sasa wameshamfanya Putin ajione kidume japo kuikamata...
  13. B

    JamiiForums Tanzania Mbowe kuachiliwa, pigo kubwa kwa wasiotutakia Mema kama Nchi

    Mh. Mbowe yuko huru kama ilivyosemwa kwenye hukumu, "bila ya masharti yoyote." Iwe ni kwa uamuzi huru wa mahakama au kuna mkono wa mama ndani yake, pana watu wamechanganyikiwa wasijue kulikoni. "Kwamba, ni mwiba mchungu mno kwa wasiotutakia mema kama nchi." Wasikie sasa wale manguli wa kile...
  14. J

    JamiiForums Tanzania Wafuasi wa Magufuli muelewe, siasa zenu hazina nafasi tena nchi hii, ila wapinzani nao wana wajibu

    Pamoja na matatizo mengi Tanzania ilyokuwa nayo kabla ya mwaka 2016 lakini ilikuwa katika njia nzuri na ilikuwa inapiga hatua, Then akaingia Magufuli ambaye wengi, ikiwemo mimi nilidhani atatatua matatizo mengi ya nchi yetu kwa kipindi kile Lakini Magufuli alikuja na siasa mpya ambazo...
  15. JamiiForums Tanzania Watanzania waliokwama Ukraine kusaidiwa kuondoka na Russia kutaichafua Sana nchi kipindi ambacho Russia inatengwa na Dunia

    Sijui Diplomasia ya Tanzania ikoje. Jambazi anavamia sehemu. Alafu unaruhusu akuondoe wewe ni kuonesha taifa halijui Nini Cha kufanya wakati gani. Kipindi ambacho Tawala za Afrika zenye democracy uchwara, Ubabe na uonevu mkubwa kwa wakosoaji wa viongozi zikijizuia kulaani uvamizi. NI ishara kuwa...
  16. JamiiForums Tanzania Kunyimwa Uhuru wa Kujieleza ni kunyimwa Haki ya msingi ya ushiriki katika maendeleo ya nchi yako

    Wakati viongozi wakitazamia kusimika mabavu yao, kwa kawaida huwa wanashambulia haki zetu za uhuru wa kujieleza kwanza. Tumeona mchezo huu mara nyingi. Kwanza wanashambulia vyombo vya habari, kisha taasisi za kidemokrasia, na kisha, taratibu, wanachukua uhuru wetu. Namna ambayo serikali...
  17. JamiiForums Tanzania Eritria ni nchi ya namna gani?

    Habari za mda huu Wadau naomba kujuzwa zaidi ni nani anaefahamu vizuri nchi ya Eritria maana hii nchi inaonekana kuja na surprise za kiwendawazimu kila muda Mfano walikuwa na ugomvi wa muda mrefu na Ethiopia lakini walivyozungumza na kufunguka mipaka wakaanza kituma wanajeshi kusaidia Ethiopia...
  18. JamiiForums Tanzania Nchi za Afrika zagawanyika katika upigaji kura kuhusiana na Vita vya Russia na Ukraine, Tanzania yachagua kutofungamana na upande wowote

  19. K

    JamiiForums Tanzania Hii number ya nchi gani wakuu?

    Kwema wakubwa? Nilikua msalani nimetoka niikacheck simu yangu nikakuta hii number imenipigia, +27118818914.itakua ni number ya nchi gani hii wazee maana binafsi sina hata ndugu wala rafiki aliyeko nje ya nchi?
  20. JamiiForums Tanzania Ifahamu nchi kubwa kuliko zote duniani

    IJUE NCHI KUBWA KULIKO ZOTE. Je, unafahamu kuwa Urusi (Russia)/ USSR Ndio nchi inayo shika rekodi ya kua nchi kubwa kuliko nchi yeyote duniani? Basi fahamu Kuhusu ukubwa wake, eneo lake kwa ukubwa ni 17,075,400km² za mraba (million17.1km²), ambayo sawa na 12,577mile kwa urefu. Pia Urusi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…