Taratibu maji na mafuta vimeanza kujitenga..
Hii ni baada ya Slovakia kukubali rasmi kufanya malipo ya gesi kwa mfumo wa rubble kama Russia inavyotaka iwe.. wamesema hawawezi kumpoteza Russia ambaye ni supplier mkuba wa gesi katika nchi yao.. Slovakia inategemea gesi kutoka urusi kwa zaidi ya...
Mkuu wa nchi ambae ndio ndio custodian wa mali za taifa la watanzania kudai kuwa hawezi kufokea mtumishi wa umma ni kushangaza umma wa watanzania.
Kwamba watumishi wa umma wakiharibu atawabembeleza?
Nimekaa na wazee wengi waliofanya kazi na hayati Julius Nyerere wanasema wazi kuwa Mwalimu...
Hakika Kenya haiko na unafiki!
Raila hatakiwi na wakenya mpaka wameamua kumpiga mawe kwamba hawamtaki
Hii inaonesha dhahiri kwamba Ruto anaenda kujichukulia kiti cha urais kiulaini
nilimsikia vuvuzela Cyprian Musiba enzi za utawala wa kayafa akibwabwaja kuwa bwana Abdulhman Kinana alikuwa na uraia wa nchi mbili na tuhuma hizi hazijawahi kukanushwa na Kinana mwenyewe
Sasa kama mtu ana uraia wa nchi mbili na bado anakabidhiwa nafasi kubwa kabisa kwenye chama dola je...
Mimi ni muumini mkubwa wa demokrasia na utawala wa sheria, na ndiyo ni moja ya sababu iliyonifanya kuvutiwa na uongozi wa Samia kuliko uliopita
Lakini kuna kipindi demokrasia hutumiwa vibaya na kuigawa nchi kwa udini au ukabila, hapo ndipo nasema demokrasia inabidi iwekwe pembeni
Kumekuwa na...
Hii ni zaidi ya hatari!
Japokuwa wanaendelea kujitetea kwamba deni la taifa bado ni himilivu lakini ukweli kama Nchi tunadaiwa pesa nyingi sana na hali hiyo lazima inaipa wakati mgumu Serikali kukusanya mapato yake.
Sipati picha ongezeko hilo lingetokea wakati wa Utawala wa JPM!
kwa sasa, na kwa mwaka huu wote nchi ya Qatar imetrend na itatrend sana sababu ya fainali za kombe la dunia kufanyika huko. naomba kuelimishwa kuhusu hii nchi.
Historia yake, utamaduni, watu wake, jiografia yake, uchumi wake nk nk. natanguliza shukrani.
Ni raha sana kusafiri kwenda likizo nchi za nje na kutalii. Lakini kuna raha pia kama utaweza kwenda maeneo ambayo hujawahi kufika hapa hapa bongo.
Kwa mfano, Tanzania siku hizi imebadilika sana. Kuna sehemu nyingi sana unaweza kwenda kwa bajeti ndogo na ukafurahia sana moments ukiwa mwenyewe...
Matatizo duniani hutokea. Ni wajibu wa Serikali kuwahami watu wake kwenye nyakati za shida:
Kama si hivi serikali itakuwa na umuhimu gani?
Wenzetu kama sisi hawa hapa:
Kwetu pamoja dhahabu yetu kuendelea kupanda bei:
Mafuta kupanda bei vilio, kwanini si vicheko Dhahabu ikipanda?
Mama...
Kwa mujibu wa BBC Jiji la Lublin ,Poland lenye wakazi 350,000 lasifiwa kwa kuwahifadhi na kuwatunza kwa kila kitu vizuri wakimbizi 40,000 toka Ukraine
Wamewapa wakimbizi makazi mazito,chakula mavazi na wameamua kuwa wabaki tu kwenye jiji lao wataishi vizuri tu
Dar es salaam tuko zaidi ya...
Hassan Zhou
Tangu kuzuka kwa mzozo wa Ukraine mwishoni mwa Februari, nchi za magharibi na vyombo vya habari vimeshirikiana kushindilia pamoja msumari na kujaribu kugeuza macho ya watu wanaotaka kujua chanzo cha mzozo huo, na pia kuzipaka matope baadhi ya nchi ambazo zinataka kufikiwa kwa amani...
Moscow inaandaa hatua za kuzuia kuingia nchini Urusi kwa raia wa nchi "zisizo rafiki", Waziri wa Mambo ya Nje wa Urusi Sergei Lavrov amesema.
"Rasimu ya amri ya rais inaandaliwa kuhusu hatua za visa ili kulipiza kisasi katika kukabiliana na vitendo visivyo vya kirafiki vya mataifa kadhaa ya...
Rais wa Ukraine, Volodymyr Zelensky amezishutumu nchi za Magharibi kwa woga, wakati ambapo nchi yake inapambana kuzuia uvamizi wa Urusi.
Akilihutubia taifa jana usiku baada ya Rais wa Marekani, Joe Biden kusema hataki mabadiliko ya utawala Urusi, Zelensky amekemea kigeugeu cha nchi za Magahribi...
Fadhili Mpunji
Wakati dunia inaendelea kutafakari kuhusu changamoto zinazosababishwa na mgogoro unaoendelea kati ya Russia na Ukraine, kumekuwa na maswali mengi yanayoibuka, na kufanya watu watafakari udhati na kinachoitwa maadili ya nchi za magharibi (western values), na hata msimamo wa nchi...
Fadhili Mpunji
Hivi karibuni mabalozi wa nchi za Umoja wa Ulaya nchini Tanzania walikutana na waandishi wa habari kwenye makazi ya balozi wa Ufaransa nchini Tanzania, na kutoa mwito wa nchi za Afrika kuunga mkono msimamo wa Umoja wa Ulaya kwenye mgogoro kati ya Russia na Ukraine. Wakati huo huo...
Umekuwa ni msiba mkubwa ambao ulilikumba Taifa hili lililobarikiwa utajiri wa kupigiwa mfano na unaotamaniwa na wapenda vinono duniani kote, Sasa yapata takriban miaka 58 imezikwa na hadi Leo inasadikika kuwa bado inapumua kwa shida shimoni(Kaburini).
Hii nchi ya kipekee duniani, hakukuwa na...
Kuanzia tarehe 24 Urussi imekuwa ikashambulia ukraine kwa makombora toka kila upande (Angani, ardhin na baharini), hii imetokea baada ya vita ya ardhini kupata upinzani mkubwa toka kwa majeshi ya ukraine na washirika wake baada ya kupokea shehena ya siraha toka nchi za magharibi.
Sasa Urussi...
Mwanzoni Putin alionekana ni tishio zaidi kwa usalama wa nchi za Magharibi na Marekani, ila sasa anaonekana ni tishio pia kwa ustawi wa maisha ya watu katika mataifa haya(kiuchumi na kijamii) kupitia swala la gesi na hili halitomuacha salama.
Hili swala la gesi linaongeza sababu za mataifa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.