Rais Zelensky wa Ukraine anapoomba NATO waweke "No fly zone" nchini Ukraine, je anajua athari yake kwa nchi yake? achilia mbali athari kwa NATO

mbingunikwetu

JF-Expert Member
Feb 17, 2015
13,663
18,036
Kama kuna kichaa duniani leo ambaye anaweza kuitumbukiza dunia kwenye vita kuu ya tatu ni Rais na msanii wa kuchekesha Zelensky wa Ukraine.

Kila kukicha anazililia nchi wanachama wa NATO waweke zuio la ndege yoyote kuruka nchini Ukraine.

Hivi anaelewa matokeo yake? Kwa mawazo yake anadhani zuio hilo likiwekwa basi nchi yake itakuwa salama maana Urusi haitatumia tena ndege zake kuishambulia.

Hivyo ndivyo anavyodhani!! Lakini ukweli ni kuwa haitakuwa hivyo, Urusi haiwezi kuacha kurusha ndege zake, na itawalazimu NATO kuzishambulia!! Hapo ndipo Zelensky atakapojua nini maana ya nchi kuwa ni SUPER POWER

Kitakachotokea ni kwamba mashambulizi yataendelea kwa kutumia silaha kali zaidi na za maangamizi zaidi nchini kwake.

Watu watakufa zaidi, lakini pia huyo atakayethubutu kushambulia ndege za Urusi atajikuta anashambuliwa kwa silaha zinazofanana na ukorofi wake

Hapo Urusi haitakwepa kutumia silaha za nyuklia kwa nchi zote za NATO ikiwemo Marekani. Nato pia watalazimika kujibu m,apigo kwa silaha za nyuklia

Sijui ikifikia hapo huyu Zelensky wa Ukraine ataiambiaje dunia? Ndiyo maana piga ua, hakuna kichaa atakayethubutu kukubaliana na ombi la kichaa Zelensky

Hajui madhara ya anachokiomba kwa nchi yake na kwa dunia kwa ujumla.
 
Kama kuna kichaa duniani leo ambaye anaweza kuitumbukiza dunia kwenye vita kuu ya tatu ni Rais na msanii wa kuchekesha Zelensky wa Ukraine. Kila kukicha anazililia nchi wanachama wa NATO waweke zuio la ndege yoyote kuruka nchini Ukraine.Hivi anaelewa matokeo yake? Kwa mawazo yake anadhani zuio hilo likiwekwa basi nchi yake itakuwa salama maana Urusi haitatumia tena ndege zake kuishambulia!! Hivyo ndivyo anavyodhani!! Lakini ukweli ni kuwa haitakuwa hivyo, Urusi haiwezi kuacha kurusha ndege zake, na itawalazimu NATO kuzishambulia!! Hapo ndipo Zelensky atakapojua nini maana ya nchi kuwa ni SUPER POWER!! Kitakachotokea ni kwamba mashambulizi yataendelea kwa kutumia silaha kali zaidi na za maangamizi zaidi nchini kwake. Watu watakufa zaidi, lakini pia huyo atakayethubutu kushambulia ndege za Urusi atajikuta anashambuliwa kwa silaha zinazofanana na ukorofi wake!!! Hapo Urusi haitakwepa kutumia silaha za nyuklia kwa nchi zote za NATO ikiwemo Marekani. Nato pia watalazimika kujibu m,apigo kwa silaha za nyuklia!!
Sijui ikifikia hapo huyu Zelensky wa Ukraine ataiambiaje dunia? Ndiyo maana piga ua, hakuna kichaa atakayethubutu kukubaliana na ombi la kichaa Zelensky!!! Hajui madhara ya anachokiomba kwa nchi yake na kwa dunia kwa ujumla!!
Madhara ya kuchangua raisi ze comedy......jamaa ni mpumbavu hajui politics za super power countries, US na Russia, US inahitaji Russia kwa usalama wake kuliko inavo mhitaji Ukuraini na at the end of day US itamlazimisha ajisalimishe kwa Urusi, na Russia matakua yake matano yote atayapata ndo asitishe vita hapo Ukuraini, hayo mazungmzo ya sasa hivi wana poteza mda paka pale US atakapo amua kukaa na Russia wa ya tatue, Russia analijua hilo ndo maana ana buy mda kwa kuingia Kiev.
 
Acha kujitoa ufahamu urusi hawezi kupigana na nchi Zote za NATO Na akabaki salama ni vile tu bado zina maslahi yao nchini urusi
 
Acha kuchukulia mambo kirahisi hata kama urusi ni moja na NATO ni wengi hilo halisaidii na wala haiwezi kuhalalisha hao unaowasema kushinda vita. mabomu ya nuclear sio bunduki za mikononi kwamba mtu anaweza kukwepa risasi ikipigwa! nuclear ikitua sehemu hadi mawe yanasagika.. na isitoshe nuclear huchukua eneo kubwa sana kupiga na kuua kwa wakati mmoja..Rusia anaweza kuwa peke yake dhidi ya NATO lkn hebu fuatilia siraha zake alizonazo.. ana Tsar bomb ambayo Ikitua moja tu inamaliza nchi yote ya England ikiwezekana na majirani zake Je akituma Tsar 5 hapo ulaya yote kwisha ndani ya dk 20 tu.. ko ndugu vita vya hawa wababe havina uwingi wala ukubwa wa jeshi bali itategemea timing ya kurusha nukes zake tu..
 
Kama kuna kichaa duniani leo ambaye anaweza kuitumbukiza dunia kwenye vita kuu ya tatu ni Rais na msanii wa kuchekesha Zelensky wa Ukraine.

Kila kukicha anazililia nchi wanachama wa NATO waweke zuio la ndege yoyote kuruka nchini Ukraine.

Hivi anaelewa matokeo yake? Kwa mawazo yake anadhani zuio hilo likiwekwa basi nchi yake itakuwa salama maana Urusi haitatumia tena ndege zake kuishambulia.

Hivyo ndivyo anavyodhani!! Lakini ukweli ni kuwa haitakuwa hivyo, Urusi haiwezi kuacha kurusha ndege zake, na itawalazimu NATO kuzishambulia!! Hapo ndipo Zelensky atakapojua nini maana ya nchi kuwa ni SUPER POWER

Kitakachotokea ni kwamba mashambulizi yataendelea kwa kutumia silaha kali zaidi na za maangamizi zaidi nchini kwake.

Watu watakufa zaidi, lakini pia huyo atakayethubutu kushambulia ndege za Urusi atajikuta anashambuliwa kwa silaha zinazofanana na ukorofi wake

Hapo Urusi haitakwepa kutumia silaha za nyuklia kwa nchi zote za NATO ikiwemo Marekani. Nato pia watalazimika kujibu m,apigo kwa silaha za nyuklia

Sijui ikifikia hapo huyu Zelensky wa Ukraine ataiambiaje dunia? Ndiyo maana piga ua, hakuna kichaa atakayethubutu kukubaliana na ombi la kichaa Zelensky

Hajui madhara ya anachokiomba kwa nchi yake na kwa dunia kwa ujumla.
Wewe una cheo gani kwenye jeshi la Russia.
 
Madhara ya kuchangua raisi ze comedy......jamaa ni mpumbavu hajui politics za super power countries, US na Russia, US inahitaji Russia kwa usalama wake kuliko inavo mhitaji Ukuraini na at the end of day US itamlazimisha ajisalimishe kwa Urusi, na Russia matakua yake matano yote atayapata ndo asitishe vita hapo Ukuraini, hayo mazungmzo ya sasa hivi wana poteza mda paka pale US atakapo amua kukaa na Russia wa ya tatue, Russia analijua hilo ndo maana ana buy mda kwa kuingia Kiev.
Siamini kwamba wewe uko kwenye Foreign Affairs Committee of the US Senate ndio ufahamu mambo mazito kama hayo ila naamini kwamba wewe ni mpiga porojo tu wa pale Sinza Kijiweni unaeshindia chai ya rangi na kitumbua kimoja na siku inakatika.
 
Waziri mkuu wa uingereza aliulizwa Hilo swali kwann wasiweke no fly zone,jibu alilotoa Ni kwamba kwa nchi kama urusi Ni ngumu kuiwekea hiyo kitu kwakua anavifaa ambavyo anaweza kutumia hata kuzijam ndege pia anasiraha ambazo haitaji arushe ndege hivyo Ni ngumu kuiwekea hiyo kitu kwa urusi,
 
Mtoa UZI ww ni karani wa Putin au ni graduate wa KGB ?

Yaan kwa iyo degree yako una mdharau huyo rais wa Ukrain as if unamjua sanaa, tambua rais ni taasisi nyuma ya rais kuna watendaji na washauri wake wa kila sekta

Na ukumbuke siasa za ulaya sio siasa za ccm.na chadema ... Wenzetu wapo mbali zaidi

Usinene ukamaraaa
 
  • Thanks
Reactions: cmp

huyu rais mpumbavu kwani uongo nandio maana upumbavu alouomba umekataliwa kueka no fly zone dhidi ya RUSSIA nikutangaza vita nae
 
Madhara ya kuchangua raisi ze comedy......jamaa ni mpumbavu hajui politics za super power countries, US na Russia, US inahitaji Russia kwa usalama wake kuliko inavo mhitaji Ukuraini na at the end of day US itamlazimisha ajisalimishe kwa Urusi, na Russia matakua yake matano yote atayapata ndo asitishe vita hapo Ukuraini, hayo mazungmzo ya sasa hivi wana poteza mda paka pale US atakapo amua kukaa na Russia wa ya tatue, Russia analijua hilo ndo maana ana buy mda kwa kuingia Kiev.
Samahani mkuu nielimishe kidogo. Ukuraini ni nini?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
huyu rais mpumbavu kwani uongo nandio maana upumbavu alouomba umekataliwa kueka no fly zone dhidi ya RUSSIA nikutangaza vita nae
Russia mwwnyewe ana wababe wake

Russia alishawah kuchapwa na turkey walipigania Syria ..Russia alipigwa pigo akasanda
 
Back
Top Bottom