Eritria ni nchi ya namna gani?

mugah di matheo

JF-Expert Member
Jul 28, 2018
6,270
12,310
Habari za mda huu
Wadau naomba kujuzwa zaidi ni nani anaefahamu vizuri nchi ya Eritria maana hii nchi inaonekana kuja na surprise za kiwendawazimu kila muda

Mfano walikuwa na ugomvi wa muda mrefu na Ethiopia lakini walivyozungumza na kufunguka mipaka wakaanza kituma wanajeshi kusaidia Ethiopia

Pili ni nchi pekee inayoiunga mkono Alshabab ya Somalia

Tatu wanamichezo wake wakienda kushiriki michezo nje ya nchi hua anarudi kocha tu wengine wanazamia

Naomba kujuzwa zaidi je Eritrea ni Nchi ya namna gani?

Je, msukumo wa kura yao kuelekea Urusi unatokana na nini?
 
Ile nchi nachojua inaendeshwa na chama kimoja bila uchaguzi.
Wengine huwa wanasema ni north korea ya africa
 
Habari za mda huu
Wadau naomba kujuzwa zaidi ni nani anaefahamu vizuri nchi ya Eritria maana hii nchi inaonekana kuja na surprise za kiwendawazimu kila muda

Mfano walikuwa na ugomvi wa muda mrefu na Ethiopia lakini walivyozungumza na kufunguka mipaka wakaanza kituma wanajeshi kusaidia Ethiopia

Pili ni nchi pekee inayoiunga mkono Alshabab ya Somalia

Tatu wanamichezo wake wakienda kushiriki michezo nje ya nchi hua anarudi kocha tu wengine wanazamia

Naomba kujuzwa zaidi je Eritrea ni Nchi ya namna gani?
Je msukumo wa kura yao kuelekea Urusi unatokana na nini???
It's a dictatorship.. kama ccm tu!
 
Wana chama kimoja, Rais Mmoja, Tv moja, redio moja,gazeti moja, Mtandao wa simu mmoja

Na vyote viko chini ya serikali.
 
Wahabeshi ukoo wa Yesu bin Sulemain bint mfalme wa Sheba kwao Bob karibu na kokobeach Manzese darajani.

Tafadhali chukua unalolitaka

Usilolijua halikuhusu achana nalo.

Sent from my SM-A022F using JamiiForums mobile app
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom