nchi

  1. L

    JamiiForums Tanzania Dutch Disease: Ugonjwa unatokea kwenye nchi ambayo imebarikiwa na rasilimali

    DUTCH DISEASE Huu ugonjwa ni effect ya resource curse. Dutch disease ni ugonjwa ambao unatokea kwenye nchi ambayo imebarikiwa na rasilimali kama mafuta, gesi, madini nk Huu ugonjwa unatokea kama ifuatavyo Nchi ikigundua imebarikiwa na rasilimali flani, nchi ambazo hazijabarikiwa na hiko kitu...
  2. Kijakazi

    JamiiForums Tanzania Nchi masikini ya mwisho Duniani wants to save the World!

    Maajabu, Tanzania ni moja kati ya nchi masikini zaidi Duniani, inaishi kwa handouts, raisi wake anafunga safari kusafiri Mabara kutafuta mkopo wa dola milioni 100 USD, hapo hapo inafanya kila inalowezekana kuokoa Dunia isiangamie na climate change, hii ni nchi ambayo mchango wake kwenye CO2...
  3. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania IGP Sirro: Ni aibu sana kuruhusu jambazi kutawala nchi yetu

    My Take 1 Sirro anapenda sana kuita-ita neno gaidi. Naona anarahisisha sana mziki wa magaidi. My Take 2 Sirro kama hawezi kuondoka mwenyewe aondolewe kwa nguvu. Kashfa ya askari wake kufanya ujambazi haisafishiki ====== Kamanda Sirro: Ni viongozi ambao tunawategemea kwenda kuwasaidia...
  4. S

    JamiiForums Tanzania Korea Kaskazini yatamba kuwa miongoni mwa nchi chache ulimwenguni zenye uwezo wa kuitisha na kuiogofya Marekani

    Korea Kaskazini imetamba ktk jumanne ya wiki hii kuwa nchi hiyo ni moja ya nchi chache duniani zenye silaha za nyuklia na makombora yenye ubora wa hali ya juu. Ikaendelea kutamba kuwa nchi hiyo (Korea Kaskazini) ndio nchi pekee yaweza kuidindia Marekani kwa 'kuitikisa dunia' kupitia majaribio...
  5. John Haramba

    JamiiForums Tanzania Serikali yayafungulia magazeti ya MwanaHALISI, Tanzania Daima na Mseto

    Waziri wa Habari na Mawasiliano ya Teknolojia ya Habari, Nape Nnauye, leo Alhamisi amesema atatoa leseni za kuanza kuchapishwa kwa magazeti ya MwanaHALISI, Tanzania Daima, Mseto na Mawio “Kifungo kimetosha. Kikubwa kazi iendelee,” amesema Nape. "Agizo la Rais ni Sheria,leo nitatoa leseni kwa...
  6. FRANCIS DA DON

    JamiiForums Tanzania Je, baada ya kuona video hii, Rais Samiah Suluhu anaweza kudiriki kukopa tena pesa nje ya nchi?

    Mama Samiah ana lipi la kutuambia juu ya kauli yake kwamba akipata nafasi ya kukopa atakopa tena. Tumsikilize mwamba akiwafundisha wanafunzi wake, na endapo Rais wetu anaweza kuirudia ile kauli yake juu ya mikopo? ================================ Update: 15/02/2022...
  7. L

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nchi za Afrika zashiriki kwenye Michezo ya Olimpiki ya Majira ya Baridi

    Michezo ya Olimpiki ya Majira ya Baridi inayoendelea imevutia macho ya dunia. Jumla ya nchi tano za Afrika, ambazo ni Kenya, Nigeria, Madagascar, Morocco na Eritrea zimeshiriki kwenye michezo hiyo. Kwa nchi za Afrika, kushiriki katika Michezo ya Olimpiki ya Majira ya Baridi, sio tu ni ishara ya...
  8. FRANCIS DA DON

    JamiiForums Tanzania Kwanini nchi nyingi za Afrika wanatumia lugha za wakoloni kama lugha za taifa, hivi hawaoni aibu?

    Kutumia lugha ya mkoloni kwa shughuli mbali mbali hasa zisizoepukika kwa sasa, mfano masomo ya sayansi, sioni kama ni shida sana. Shida yangu ni lugha ya mkoloni kufanywa kuwa ndio lugha ya taifa na inatumika mtaani hadi na wauza nyanya, ambao wangezweza kutumia lugha yao wenyewe kwenye masuala...
  9. W

    JamiiForums Tanzania Mbona nchi nyingine za Afrika haziruhusu mimba shuleni, na hakuna lawama za mataifa ya nje?

    Nimeipata hii picha ktk mjadala wa baadhi ya nchi za Africa wakishangaa hawa wadada wanafunzi pichani. (Nimeambatanisha picha) Wachangiaji wengi walionesha kushangaa hao wadada, kusoma huku wakiwa wajawazito. Katika mjadala wengi wao walisema "It's only South Africa" Japo kuna nchi kama Kenya...
  10. love life live life

    JamiiForums Tanzania Katika nchi ya kibepari kukaa kimya maana yake ni kukubali

    Wakati Marekani inaingia kwenye vita ya dunia, kwa mara ya kwanza ndio ikawa mwanzo wa kodi kwa raia wake sababu ikiwa ni kugharamia vita kama wanainchi wazalendo dhidi ya vitisho vya wa NAZ. Ajabu ni kwamba kodi zile zimeendelea kuwepo hata baada ya vita kuisha mpaka leo miaka mia imepita toka...
  11. John Haramba

    JamiiForums Tanzania AU walaani wimbi la mapinduzi katika nchi za Afrika

    Umoja wa Afrika (AU) umelaani wimbi la mapinduzi ya hivi karibuni ambalo limeshuhudia idadi kubwa ambayo haijawahi kushuhudiwa ya nchi wanachama zikisimamishwa kutoka umoja huo. Hayo yamesemwa leo na mkuu wa baraza la amani na usalama wa umoja huo Bankole Adeoye wakati kikao cha kila mwaka cha...
  12. VentureCapitalist

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nionavyo mimi, hakuna nchi inaongoza kwa Wanawake kutongozwa na Wanaume wengi kwa siku kama Tanzania

    Hii ni independent study yangu. Nimeweza kubaini mwanamke wa kitanzania akiwa pisi kali, sio wanaume chini ya 20 watajaribu kuchukua namba kwa siku. Vile vile akiwa sura ya kawaida sio chini ya wanaume 2. Ni mazingira ya kutokuwepo mapenzi ya dhati kama nchi zingine. Na ugumu wa maisha...
  13. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Kilichotokea Mtwara ni sampuli tu uonevu wa jeshi la polisi kwa raia, matukio mengi huwa yanafichwa. Mabadiliko makubwa yanatakiwa kwa nchi nzima

    Kisingizio kikubwa huwa ni kudhibiti uhalifu kwa kisingizio cha kupambana na wahalifu wasiotii bila shuruti. Utasikia alikuwa ni mhalifu na hata ndugu wasio na uwezo wakifuatilia matukio ya ndugu zao kupoteza maisha au kuumia wakiwa mikononi mwa polisi huwa hawapati ushirikiano wowote. Namna...
  14. M

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Godoro 5&6 nchi 10, kitanda na jaba vinauzwa

    Godoro ni Comfy Limetumika kdg sana Muuzaji yupo Tiptop Manzese Dsm Contact 0654973754 Muuzaji ana hamia mkoani kesho Bei laki 3 vyote
  15. Esokoni

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Jiunge na Dirm VFD uokoe 50% ya EFD machine, ni bora, salama kisasa zaidi

    HABARI NJEMA... katika kipindi hiki cha kufunga na kuanza mwaka mpya, na kufanyiwa makadilio ya kodi za TRA, ninayo furaha kubwa kukujuza wewe Mfanyabiashara kuwa unaweza kuokoa mpaka 50% ya garama za kununua mashine za EFD endapo utajiunga na mfumo wa Dirm VFD ambao ni mbadala wa EFD machine...
  16. NAMBA MOJA AJAYE NCHINI

    JamiiForums Tanzania Madhara ya chama kimoja kukaa madarakani muda mrefu ndio haya. Wenye nchi chukueni hatua

    Kushika hatamu kwa chama kimoja kwa muda mrefu huleta mazoea na uzembe wa kutowajibika ndio huleta kudumaa kwa maendeleo ya nchi na kukosa fikra mbadala za kisukuma gurudumu la maendeleo nchini. Vitendo kama ufisadi hutamalaki na ubwanyenye wa kubweteka hii inatokana na wenye chama kupata muda...
  17. Ugumu wangu

    JamiiForums Tanzania Siasa au Viongozi wa nchi mmeamua kudhalilisha idara hii muhimu kwa nchi yangu Tanzania?

    Habari ya jioni watanzania wenzangu, Rais wangu na mkuu wa Jwtz na Serikali yote. Jion hii Mimi mnyaturu kutokea Kintinku huko Singida nikiwa nachunga mbuzi nimekuwa na maswali magumu kwangu japo najua kwenu yanaweza kuwa rahisi kutujibu watanzania. Kuna kitu nakisikia kinaitwa kesi ya ugaidi...
  18. L

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nchi za Afrika zinaunga mkono Michezo ya Olimpiki ya Majira ya Baridi ya Beijing

    Hassan zhou Awamu ya 24 ya Michezo ya Olimpiki ya Majira ya Baridi itafunguliwa Beijing mnamo Februari 4. Kutokana na hali ya hewa ya joto kwa mwaka mzima katika maeneo mengi ya Afrika, inaeleweka kuwa ni nchi chache tu, zikiwemo Eritrea, Ghana, Madagascar, Morocco na Nigeria ndizo...
  19. beth

    JamiiForums Tanzania Umoja wa Falme za Kiarabu kuondoa marufuku iliyowekwa kwa Wasafiri wa Nchi 12 za Afrika ikiwemo Tanzania

    Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE) utaondoa marufuku iliyowekwa kutokana na Kirusi cha Corona aina ya Omicron kwa Wasafiri waliotembelea Nchi 12 za Afrika ikiwemo Tanzania muda mfupi kabla ya kusafiri. Marufuku hiyo itaondolewa kuanzia Januari 29. 2022 Mataifa mengine ni Kenya, Afrika Kusini...
  20. Bujibuji Simba Nyamaume

    JamiiForums Tanzania Mkopo alioutoa Madaraka Nyerere wamuhamisha mtu nchi

    WATANI ZANGU Mwaka 2020 nilijitokeza kuweka nia kugombea ubunge kwenye jimbo la uchaguzi la Butiama kupitia Chama cha Mapinduzi. Sikufanikiwa: niliambulia kura mbili za wajumbe wa Mkutano Mkuu wa Wilaya. Wakati wa mchakato, mtani wangu mmoja aliniomba nimkopeshe Sh.50,000. Nilimwambia...
Back
Top Bottom