nchi

  1. lee Vladimir cleef

    JamiiForums Tanzania Ukweli ni kuwa Urusi haichukiwi na nchi nyingi katika mgogoro huu

    Mgogoro huu kati ya Ukraine na Urusi unaongoza kwa propaganda kuliko mgogoro wowote ule toka vita kuu ya pili ya Dunia. Ukisikiliza propaganda za nchi za west unaweza kudhani Urusi imechukiwa na Dunia nzima. Lakini ukweli sio hivyo. Hali halisi Iko hivi. Nchi zinazoichukia ama kuonesha...
  2. N

    JamiiForums Tanzania Kwa heshima na taadhima, nawaomba CCM 2025 mtuletee Mgombea bora mwenye uchungu na nchi hii

    Baada ya kuona kabisa kwamba tuko kwenye uelekeo ambao hauna dira, napemda kutoa Rai kwa Chama cha Mapinduzi 2025 mtuletee mgombea Urais mwenye dira maono na mwenye uchungu na Rasilimali za nchi hii. Hatuhitaji mtuletee mtu ambaye kutwa kucha anawaza uchaguzi na jinsi ya kuendelea kuwa Rais...
  3. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Kwa kauli hii ya Waziri, kuna moto unafukuta Diamond Vs Serikali (Hakuna Msanii Mkubwa Kuliko Nchi)

    Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mohamed Mchengerwa amewataka viongozi wa BASATA na COSOTA kuhakikisha wasanii wote wanasajiliwa hususani wale wakubwa ambao mpaka sasa hawajasajiliwa kwani hakuna msanii mkubwa kuliko Nchi. "Nitoe maelekezo kwa COSOTA na BASATA hatutegemei kusikia wasanii...
  4. L

    JamiiForums Tanzania Uchumi wa nchi nyingi za Afrika utaendelea kukua kutokana na kuimarika kwa biashara kati ya China na Afrika

    Fadhili Mpunji Kila mkutano wa bunge la umma la China unapomalizika, utekelezaji wa mipango mipya ya serikali ya China huwa unaanza. Pamoja na kuwa mambo mengi yanayojadiliwa ni mambo ya ndani, mambo hayo pia huwa yanahusiana moja kwa moja na nchi za nje na yanahusu sera ya kidiplomasia ya...
  5. STUKA M1

    JamiiForums Tanzania Hii nchi ngumu kweli, eti mtu kashaliwa kichwa

    Hii nchi ni ngumu sana wadau, eti hapo mtu kashaliwa kichwa Hali ya kuwa alishawahi kuitwa Interview 2 na akafanya. Alafu hawataki hata kupitia tena majina maana wengine walipeleka kwa Hakimu Ila bado wameandikiwa vivyohivyo. Hii nchi ngumu sana inafikia kipindi mtu unawaza Why umezaliwa nchi...
  6. Nafaka

    JamiiForums Tanzania Hii nchi kila siku upigaji unaibuka mpya

    Naona siku hizi utapeli umehamia kwenye kuagiza mizigo na upatu. Hapa utakuta mtu na akili zake anatoa ela halafu baadae anadai kapigwa. Wonders shall never end.
  7. The Boss

    JamiiForums Tanzania Dubai na Tanzania zilikuwa chini ya mtawala mmoja? Ilikuwa nchi moja?

    History ya nchi zetu inashangaza sana. Cha ajabu Sisi wenyewe hatuchimbi history vizuri. Around mwaka 1830 wakati Sultan wa Oman anaamua kuwa Zanzibar itakuwa second capital baada ya Muscat. Na akaweka gavana Mombasa na Dar es Salaam. Huu utawala wa huyu Sultan huku East Africa ulianzia...
  8. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Serikali kuwaruhusu CHADEMA kuwa na vikundi vya ulinzi ni kuhatarisha usalama wa nchi yetu na kinyume cha sheria.

    Sheria ya vyama vya siasa hapa nchini ipo wazi kabisa kuwa hakuna chama cha siasa kinachopaswa kuwa na makundi yanayojihusisha na masuala ya usalama. Kifungu cha 8E cha sheria ya vyama vya siasa kimeweka wazi kabisa juu ya hili suala ili kulinda maslahi mapana ya usalama wa taifa letu...
  9. Superbug

    JamiiForums Tanzania Morogoro: Watu 22 Wamefariki dunia kwenye ajali ya Basi la Ahmed linalofanya safari kati ya Tanga-Mbeya. Limegongana na Lori

    Ajali mbaya maeneo ya Mzumbe maiti ni nyingi. Walioko Mzumbe tujuzeni basi la Mbeya. UPDATE: 1). Basi la kampuni ya Ahmed Coach linalofanya safari Kati ya Tanga kuelekea Mbeya, limepata ajali maeneo ya Sangasanga Mkoani Morogoro muda si Mrefu, chanzo na Habari zingine tutatoa baada ya...
  10. Comred Mbwana Allyamtu

    JamiiForums Tanzania Ifahamu USSR (Urusi) iliyokuwa dola-himaya na miliki kuu ya saba ya dunia

    USSR(URUSI) ILIYOKUWA DOLA-HIMAYA NA MILIKI KUU YA SABA YA DUNIA (THE 7th WORLD SUPER-SUPREMACY EMPIRE) KATIKA ULIMWENGU WA KISOSHOLIST (WORLD OF SOCIALISM). Na, Comred Mbwana Allyamtu. URUSI ni moja kati ya nchi zenye historia kubwa saana ya kufurahisha.Kwanza urusi zamani iliitwa Russian...
  11. krava

    JamiiForums Tanzania Hospitali ya Mzena inamilikiwa na nani? Kwanini iitwe Mzena?

    Hii hospitali inayoitwa Dr. Mzena iko wapi na inamilikiwa na nani, na huyo Dr Mzena ni nani hasa? Yupo au alikuwa hospitali gani? ========= Kwanini hospitali ya Usalama wa Taifa inaitwa Mzena? Emilio Mzena, alikuwa Mkurugenzi wa kwanza wa Idara ya Usalama wa Taifa, na aliongoza idara hii...
  12. dubu

    JamiiForums Tanzania Kabla ya tume huru ya Uchaguzi, Tanzania twende kujifunza Demokrasia Nchi ya Mauritius

    Salaam, Mauritius ndo nchi ya kidemokrasia na mfano wa kuigwa katika bara la Afrika Kusini mwa Jangwa la Sahara. Hadi kufikia 2020, demokrasia ya Mauritania ilipewa pointi 8.14, ikiorodheshwa kama nchi pekee barani Afrika yenye demokrasia kamili. Kulingana mchakato wa uchaguzi, kazi za...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Mgogoro wa Urusi na Ukraine: Nchi za magharibi zaumbuka. Zilitaka kupeleka silaha Ukraine zikidai ni misaada ya kibinadamu

    Wafanyakazi wa viwanja vya ndege wamegoma kupakia shehena ya silaha Toka Nchi za magharibi, huku zikiwa zimeandikwa kuwa ni shehena ya madawa na vyakula Kama misaada ya kibinadamu! Nchi za magharibi ni washenzi! Wanashangilia vita kwa kuwa kwao ni soko la silaha na fursa ya kufanya majaribio ya...
  14. Q

    JamiiForums Tanzania Prof. Kitila Mkumbo: Tangu 2014 tulishakubaliana kuwa na Katiba Mpya, kilichobaki ni utekelezaji

    "Tulishakubaliana kama nchi kuwa tunataka Katiba Mpya tangu mwaka 2014 ndiyo maana tukaanzisha mchakato wa Katiba na kupata Katiba inayopendekezwa, tunachopaswa kuzungumza kwa sasa ni nili tunaendelea na mchakato na siyo kurudisha mambo nyuma" Mbunge wa Ubungo Prof. @kitilam.
  15. N

    JamiiForums Tanzania Hivi kwanini nchi za Afrika haziruhusiwi kujiunga na NATO, sasa vita ya WW3 itakuwaje au kuna African Union army?

    Ukraine waliambiwa msiwe na nuclear mkiingiliwa Kivita tutawasaidia. Matokeo yake tumeyaona. Sasa inavyoonekana kichaa Putin ataanzisha WW3 maana haambiliki Sasa Hivi. Sasa Sisi nchi za Afrikca tutatetewa na NATO au ndio basi.
  16. R

    JamiiForums Tanzania Kibarua kimeota Nyasi: Waliozoea siasa za vita Mbowe, Lissu, Rais Samia waungana kujenga nchi. Funzo kwa...!

    Sasa ni rasmi tunaelekea siasa za Ulaya na Marekani. Siasa za maendeleo. Siasa za kistaarabu. Zile siasa za kutafutana kuuana, kutekana, kufungana na kufilisiana mali Mh Rais Samia ameona hazina tija kwa taifa. Akiongea na Wasikilizaaji ktk Mtandao wa maongezi wa Club House Mh Makamu...
  17. Natty Bongoman

    JamiiForums Tanzania Nchi zenye vinu vya nyuklia na silaha za nyuklia humu duniani

    NCHI ZENYE VINU VYA NYUKLIA (angalia Ukraine) NCHI ZENYE VINU VYA NYUKLIA NCHI ZENYE SILAHA ZA NYUKLIA Yaani nahisi ajali ya nyuklia ni tishio zaidi ya vita vya nyuklia
  18. S

    JamiiForums Tanzania Umoja wa Ulaya (EU) wagawanyika mafungu matatu juu ya vikwazo vya mafuta na gesi ya Russia

    Baada ya Russia kuivamia kijeshi Ukraine, Russia imewekewa vikwazo kadhaa na nchi mbali mbali zikiwemo US, UK na nchi kadhaa zinazounda Umoja wa Ulaya (EU). Ktk vikwazo vya hivi karibuni zaidi ni vikwazo vilivyotangazwa na US dhidi ya nchi hiyo kununua mafuta ya Russia na ikaahidi kutangaza...
  19. Meja Jenerali Isamuhyo

    JamiiForums Tanzania Hivi ilikuaje Kangi Lugola akawa waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi?

    Hayati Magufuli enzi za uhai wake alipata kumteua Kangi Lugola Ninja luwa Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi. Jana nikawa mtandaoni YouTube nikasachi jina la Kangi Lugola, video zilizokuja nyingi ni kukata viuno au kuongea ujinga huku alitambulika kama Waziri. Je, vigezo gani hayati alivitumia...
  20. COARTEM

    JamiiForums Tanzania Rais Samia, imulike Bandari ya Dar nchi inahujumiwa, kaweke Kambi pale Bandarini

    Meli za kutoka Dubai kuja DSM huchukua siku 14, Mzigo ukifika Dar Es Salaam bandarini utakaa siku hata 20-28 ukisubiri kupakuliwa. Meli ikitoka UK au China itatumia siku 28-30 kufika Dar, Mzigo ukifika hapo Bandarini unachukua siku 20-28 zingine kupakuliwa. Gharama za Usafiri imebidi...
Back
Top Bottom