nchi

  1. system hacker

    JamiiForums Tanzania Hatimaye nimekuja kubaini Tanzania ni nchi ngumu sana ya kiume. Ukiwa legelege hauli

    Ndio. Finally, nimekuja kubaini hili. Ukiwanyoosha wanaume wenzio unakula shavu. Haijalishi upo chama gani. Kama upo CCM halafu ukawanyoosha CCM unakula shavu. Kama upo CHADEMA na ukawanyoosha CHADEMA unakula shavu. Kama upo CHADEMA na ukawanyoosha CCM unakula shavu. Kama upo CCM na...
  2. D

    JamiiForums Tanzania Tutofautishe bei ya mazao, wingi wa mavuno na kuuza mazao nje ya nchi

    Nnaona kuna upotoshwaji wa hali ya juu wa hali ya chakula nchini. Si kawaida yangu kuanzisha thread, ila hili imebidi nianzishie thread. Kwanza kabisa ni declare interest, mimi ni mdau wa kilimo kwa miaka mingi, hivyo nnachoandika hapa ni kutokana na uzoefu wangu kwenye kilimo. HOJA KUU Watu...
  3. K

    JamiiForums Tanzania Kama mwananchi wa kawaida naiomba Serikali inieleze kiasi cha madeni nchi inayodaiwa

    Kama mwananchi wa kawaida ninatakiwa kujua madeni yote tunayodaiwa kama nchi. Tangu awamu ya Sita iingie madarakani haipiti hata mwezi mmoja utasikia nchi ya Tanzania imekopa matrillioni kadhaa Hii tabia hatukuiona Awamu ya Tano na miradi ilikuwa inajengwa kama kawaida. Leo sikuamini macho...
  4. M

    JamiiForums Tanzania SI KWELI Mayai ya Kuku kutoka nje ya Tanzania, yalisababisha kushuka kwa bei ya Mayai

    Juni 14, 2021 mitandao mbali mbali ya kijamii ilirindima kwa uvumi kuwa kuna mayai ya kuku kutoka nje ya Tanzania ambayo yamefanya mayai nchini yauzwe kwa Tsh. 4000 kwa trei la mayai 30, hali iliyoleta taharuki kwa wafugaji wa kuku nchini.
  5. L

    JamiiForums Tanzania China yaziongoza nchi zenye nguvu duniani kufuatilia maendeleo ya amani ya Pembe ya Afrika

    Hivi karibuni mkutano wa kwanza wa amani wa China na Pembe ya Afrika ulifanyika Addis Ababa, Ethiopia, na kufuatiliwa na vyombo vya habari mbalimbali kote duniani, ikiwa ni pamoja na Reuters na VOA. Wakati China inaanza kutekeleza kivitendo "Dhana ya Maendeleo ya Amani katika Pembe ya Afrika"...
  6. intelligent scholar

    JamiiForums Tanzania SoC02 Teknolojia katika upambanaji wa athari za mabadiliko ya tabia ya nchi

    Mjadala wa kisayansi juu ya uendelevu wa teknolojia ya ndani Mbadala wa kilimo kidogo mageuzi ya kukabiliana na athari za mabadilko ya hali ya hewa kwenye mazao ya bustani🍃🎋 Akinukuu ripoti ya mkutano wa kilele wa hali ya hewa duniani wa 2021 joto la dunia limeongezeka kwa nyuzi joto 1.18...
  7. ward41

    JamiiForums Tanzania Libya bado ni nchi tajiri, tuache propaganda ( hizo hapo ni latest statistics)

  8. wanzagitalewa

    JamiiForums Tanzania Idadi ya wawekezaji nchini Tanzania yazidi kupaa

    Ziara za Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan kwenye mataifa mbalimbali duniani zimezaa matunda kwa kufanya idadi ya wawekezaji nchini kuongozeka. Rais Samia amekua akiwahakikishia wawekezaji kutoka nje kuja nchini kwani kuna mazingira mazuri ya uwekezaji na pia...
  9. chiembe

    JamiiForums Tanzania Jaji Mkuu, kulikoni mpaka Sasa una majaji wamestaafu wanafanya kazi kwa mkataba? Nchi haina wajuzi wa sheria?

    Namuuliza tu Jaji Mkuu, kulikoni mpaka Leo ana majaji wamestaafu wanapewa mkataba waendelee kuhudumu? Hawa si ndio watakuwa na utii kwa mtu anayewaongezea mkataba? Waende kupumzika SSH ateue watu, wako wengi, na mama anajua kuchagua
  10. F

    JamiiForums Tanzania Tunahitaji akina Antony Mtaka wengi zaidi katika nchi yetu

    Taifa letu linahitaji watu wenye Kariba ya ANTONY MTAKA yule mkuu wa Dodoma wengi zaidi kama 1000 hivi ili washike nyazifa na vitengo mbalimbali serikalini. Kwanza nikili sijawahi kumuona na Wala simfahamu na ikitokea tumekutana sehemu ambapo hakuna shughuli kubwa ya kiserikali naweza...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Hungary inanuniwa huko ulaya: Kisa inauza mafuta na gesi kwa raia wake kwa bei ndogo, akija raia wa nchi nyingine anauziwa kwa bei kubwa!

    Hungary ni nchi ya ulaya ambayo ilikubali mapema kabisa kulipia gesi ya urusi kwa ruble, na ni nchi pekee kwenye umoja wa ulaya iliyokataa kuiwekea vikwazo binafsi urusi na pia ilikataa kuisaidia ukraine silaha. Halafu hungary pia hairuhusu nchi nyingine kupitishia silaha nchini mwake...
  12. N

    JamiiForums Tanzania Kuna usajili mzito unaendelea Salamander, nchi kutikisika

    Naam hali ni tete sana kwa simba kwani usajili unaoenda kutangazwa muda wowote huko jangwani si wa mchezo mchezo nchi itatikisika na utaacha vilio vikubwa sana hapo Simba. Tajiri mwenyewe Ghalib anahusika hapa kwani amekuwa akimpigia simu muhusika na kukutana naye mara kwa mara hotelini...
  13. L

    JamiiForums Tanzania Nchi za Magharibi zatiwa wasiwasi na hasira na kuongezeka kwa ushawishi wa China barani Afrika

    Likiita Afrika "bara lisilo na matumaini" na kushangilia uvamizi wa Marekani nchini Iraq, jarida la The Economist la nchini Uingereza limekuwa halifichi mantiki yake ya "Eurocentrism" na "ukuu wa wazungu". Hivi karibuni, mfululizo wa ripoti zilizotolewa na jarida hilo "China barani Afrika" kwa...
  14. L

    JamiiForums Tanzania Nchi nyingine kuomba uanachama wa kundi la BRICS kunaonesha mvuto wa kundi hilo duniani

    Fadhili Mpunji Katika siku za hivi karibuni Argentina na Iran zimetangaza kuomba uanachama wa kundi la BRICS ambalo kwa sasa linajumuisha Brazil, Russia, India, China na Afrika Kusini. Tangu mwaka 2009 kundi hilo lilipoanzishwa limetoa mchango mkubwa kwa nchi wanachama katika kuhimiza...
  15. L

    JamiiForums Tanzania Kigezo cha mendeleo ya nchi ni maisha bora ya mwananchi wa kawaida

    Pili Mwinyi Hivi majuzi katika pekuapekua zangu kwenye mitandao ya kijamii nilikutana na msemo mmoja ambao ulinifanya nitulie kwanza na kuutafakari kwa kina. Msemo huu umeshiba busara na hekima kubwa kama utauangalia kwa jicho linaloona, na hata kwa wale ambao msemo huu unawagusa moja kwa moja...
  16. Sheffer95

    JamiiForums Tanzania Anguko la Euro; Je, ni fursa au hasara kwa nchi za kiafrika?

    Habari wakuu nawasalimu, Siku za hivi karibuni kumeshuhudiwa pesa ya ulaya ikipoteza thamani na kuwa sawa na dola ya kimarekani. Huku Urusi wakiendelea kupokea malipo yote kwa pesa yao, na India wakitaka kuanza kufanya miamala yote kwa pesa yao(rupee). Je, hili linatafsiri gani kwa nchi za...
  17. Rashda Zunde

    JamiiForums Tanzania Rais Samia aridhia kusamehewa riba ya kodi ya pango la ardhi kwa wadaiwa sugu

    Rais Samia Suluhu Hassan ameridhia kusamehewa riba ya kodi ya pango la ardhi kwa wadaiwa sugu kwa masharti kwamba wadaiwa hao wawe wamelipa madeni ya msingi ndani ya miezi sita kuanzia mwezi Julai hadi Desemba 2022. Mama Samia ameridhia kupitia waziri wa fedha kwa kushirikiana na waziri wa...
  18. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Hatimaye Rais wa Sri Lanka akimbia Nchi kufuatia shinikizo la waandamanaji

    Rais wa Sri Lanka Gotabaya Rajapaksa ameondoka nchini mapema Jumatano kuelekea kisiwa jirani cha Maldives, maafisa wamesema. Kiongozi huyo mwenye umri wa miaka 73, mke wake na mlinzi wake ni miongoni mwa abiria wanne waliokuwa ndani ya ndege ya kijeshi ya Sri Lanka aina ya Antonov 32 ambayo...
  19. luangalila

    JamiiForums Tanzania Kupitia NBC Premier League nchi inatangazika

    Kwa miaka ya ivi karibuni league kuu ya soka ya Tanzania imeongeza hamasa ya kutazamwa na baadhi ya wana habari wa michezo wa kubwa toka nje ya Tanzania. Kwa kipekee kabisa mchango unaofanywa na hawa wafanyabiashara wakubwa kuingia ktk soka na kuweka pesa ktk vilabu ambavyo vina umri mkubwa...
  20. Lycaon pictus

    JamiiForums Tanzania Nchi za kidemokrasia zinakopa sana

    Zamani wakati wa ufalme, nchi ilikuwa mali ya mfalme. Mapato yote ya nchi ni yake mwenyewe. Akikopa akashindwa kulipa anafilisika mwenyewe. Wafalme walikuwa makini sana kwenye kukopa. Maana walijua wasipolipa watafilisiwa. Mfalme wa Misri, Mohammed Ali alikopa sana. Deni liliposhindwa kilipwa...
Back
Top Bottom