nchi

  1. N

    Nashauri wasomi waache kuongoza, nchi wapewe watu kama Musukuma au Lusinde tusonge mbele

    Hawa wa kukariri vitabu wanatuchelewesha tu, kikubwa wanachokifanya ni kutuonyesha umaridadi wao wa kukariri vitabu tu basi. Leo anakuja na maneno yake aliyoyatoa kwa Marx, kesho anakuja nayo ya Mao, kesho kutwa ya Nyerere, mtondogoo ya Trump, maisha yanaenda hivyo tu bila utendaji, hakuna cha...
  2. Kipenzi Changu

    CCM 2013: Umeme kuuzwa nchi za nje mwakani

    Hawa watu uongo upo kwenye damu na mifupa. Wakitema wanatema uongo wakimeza wanameza uongo.
  3. Pascal Mayalla

    Mama, I'm here to support you, to serve our country. I'm here sio tu kuonesha ujuzi wangu kwa nchi yangu, bali pia kuutumia. But...

    Wanabodi, Kabla sijaanza bandiko hili, naomba kutoa angalizo hili Pongezi Zangu ni Bonafide-Genuine! Sisaki Teuzi, Sitaki Teuzi, Niko Naye Mbeya, Nitamweza! Leo kuna maneno mazito sana rais wetu Mama Samia, kayaongea, kwa hisani ya Mkuu Chachu Ombara, msikilize kwa makini mama. Kwa sisi...
  4. sanalii

    Kuna nchi ya Kikristo Duniani inayoongozwa kwa sheria za Kikrito?

    Naomba kujuzwa nchi inayoongozwa/inayoendeshwa kwa sheria za Kikristo na kuzingatiwa ipasavyo, ikiwezakana naweza omba 'assylum' huko. Ila zisiwe sheria za kanisa Katoliki.
  5. Heavy User

    Nasema kwa hasira, kila chama cha siasa kina maslahi yake binafsi. Nchi imejawa na uchama na usiasa

    Roho inaniuma sana ninapoona TZ ina wasomi wengi wenye maneno mengi wanaojua kila kitu lakini nchi yetu bado masikini inategemea kuombaomba. Rais kazungukwa na wasomi na washauri wazuri lakini shida zilizotakiwa kutatuliwa miaka mingi iliyopita bado zipo na hazionekani kuisha leo wala kesho...
  6. Logikos

    Na hivi ndivyo Unavyotangaza Nchi Yako.....

    Kama vile wa-Korea kipindi kilichopita Mashabiki wa Japan walibaki Uwanjani kusafisha Uwanja. Hizi ndio Sifa zinazotakiwa, Sio Uchumi wa Kati wala Sijui tuna Nuclear Ngapi.
  7. The Palm Beach

    Tatizo la mgawo/kukatika toka hivyo kwa umeme ni aibu sana kwa Serikali ya Tanzania chini ya Chama Cha Mapinduzi!

    Kama kuna eneo ambalo serikali ya JMT inayoongozwa na TANU/ASP kisha CCM tangu uhuru 1961 imefeli spectacularly kisera na kimipango ni la upatikanaji wa huduma bora na ya kuaminika ya nishati ya umeme. Ni aibu sana kuwa na umeme usioeleweka na unaokatikakatika hata mara 50 kwa siku. Sababu...
  8. Upekuzi101

    Nchi iko kwenye auto-pilot

    Ni wazi kuwa nchi sasahivi inajiongoza tu automatic, kila mtumishi wa serikali analamba asali kama walivyolekezwa na kiongozi wa Chama Chao tawala, wakurugenzi wanapiga, wakuu wa wilaya na mikoa wanapiga, wakandarasi na mafundi kwenye miradi wanajipigia tu, tunachosubiri ni kuona tunapoenda...
  9. E

    Qatar ni taifa la kuigwa kwa kusimamia maadili na misingi ya nchi yao. Kwanini tusiwaige?

    Pamoja na mgao wa umeme, nafuatilia kombe la dunia, na moja kati ya vitu nilivyofurahishwa navyo, ni namna hawa wenyeji Quatar walivyosimama kidete kutetea utamaduni na mila za nchi yake. Hili ni jambo zuri na huenda katika vitu vilivyosababisha nchi hiyo kuwa juu sana kimaendeleo ni misingi...
  10. L

    Kampuni ya China katika usafirishaji na ushauri wake kwa nchi za Afrika

    Na Gianna Amani Kampuni ya utengenezaji wa magari ya King Long iliyopo katika Mkoa wa Fujian imeeleza namna ilivyopenya katika soko la dunia na kuziambia nchi za Afrika juu ya magari wanayopaswa kuchagua hivi sasa. Kampuni hiyo ambayo ilianzishwa mwaka 1988, mbali na kutengeneza magari tofauti...
  11. peno hasegawa

    Ushauri wa bure: Utaratibu wa mwenyekiti wa chama cha siasa kuwa Rais wa nchi ufutwe

    Kwa utaratibu wa siasa za Kiafrika ninashauri haraka iwezekavyo katiba ya nchi ibadilishwe na kiongozi yeyote wa chama asiwe au asichaguliwe kuwa Rais wa nchi. Utaratibu uliopo ni ndoto nchi kupata maendeleo na ni ngumu kuondoa rushwa kwenye jamii. Kiongozi wa chama awe kiongozi wa chama ila...
  12. S

    Mgao wa umeme: Wa kulaumiwa ni CCM au mabadiliko ya tabia ya nchi?

    Watanzania tunaotumia mtandao huu wa Jamiiforums, tutoe maoni yetu ni nani anapaswa kulaumiwa kati ya CCM iliyokaa madarakani kwa miaka 62 sasa au ni mabadiliko ya tabia ya nchi. Karibuni kwa maoni mlioa tayari kushiriki.
  13. Tunzo

    Tunawahitaji akina Bashiru wengi katika nchi hii ili tuweze kuendelea

    Si kila kitu cha kusifia, kwani kuupiga mwingi ndio matokeo mazuri, au ndio kupata ushindi? Hata kwenye Football, unaweza uupigwe mwingi alafu ufungwe tu, yani unaupigwa mwingi alafu hupati matokeo! Wanaopiga kauli yake ni wasaka tonge tu, Kama ni mbunge wakonanakosoa bila maelezo sahihi ya Dr...
  14. M

    Maandamano yaitishwe nchi nzima kupinga upigaji madili kupitia mgao wa wa Umeme. Waziri Makamba alituambia tuna ziada ya MW 1400. Huu mgao wa nini?

    Hapa tunaibiwa kiwaziwazi kabisa. Yaani mkuu wa wizara anayehusika na umeme anatamka wazi kuwa tuna ziada ya Mw 1400. Halafu ghafla naibu wake anadai kuna upungufu! Halafu mgao unatamalamaki nchi nzima. Tuandamane kupinga huu wizi. Tuandamane watanzania.
  15. MTV MBONGO

    Zijue kampuni kubwa duniani zinazotengeneza ndege na nchi zinazozimiliki

    Wadau mjue haya: 1. BOEING-MAREKANI 2. AIRBUS-(ULAYA-Ufaransa, Ujerumani, Hispania) 3. BOMBARDIER-CANADA 4. COMAC-CHINA 5. MITSUBISHI-JAPAN 6. UAC-RUSSIA 7. EMBRAER-BRAZIL Nawakilisha
  16. Nigrastratatract nerve

    Ile nchi ya kusadikika itakuwa imeuza vya kutosha majenereta kutokana na zoezi linavyoendeshwa, wameamua kutoa kadogo kama asante

    Nchi ya kusadikika imesikika ikitoa msaada kwa nchi fulani hivi ya kwenye uso wa Dunia ukizingatia hakuna cha bure lakini yote kwa yote watakuwa wanenufaika na yanayoendelea katika nchi ya kisiwa cha wami ambayo iko pande hivi za Dunia Wagawiaji wamenufaika na mikakati yao ya kuiweka Ile nchi...
  17. MANKA MUSA

    Kwa hapa tulipofika, Rais Samia anatufikisha nchi ya Ahadi

    Hakuna tena more death threats kama ilivyokuwa kipindi kilichopita tulishuhudia vitisho vingi kuliko wakati wote ule wa vyama vingi vya siasa katika our political history. Rais Samia ni Kiongozi bora anafahamu umuhimu wa vyama siasa na vile vya Wafanyakazi hawezi kusema wapinzani wake...
  18. Robert Heriel Mtibeli

    Ujumbe Kwa TISS; Top 20 ya matajiri ndani ya nchi sharti itawaliwe na Wazawa; huko ndiko kujitawala

    UJUMBE KWA TISS; TOP 20 YA MATAJIRI NDANI YA NCHI SHARTI ITAWALIWE NA WAZAWA; HUKO NDIKO KUJITAWALA. Anaandika, Robert Heriel Utawala ni nguvu ya kiuchumi. Hata kwenye ngazi ya familia. Mwenye uchumi mkubwa ndiye mwenye utawala na ndiye mwenye maamuzi. Hilo wala halihitaji akili kubwa...
  19. GENTAMYCINE

    Kama tu French Revolution ya 1789 ilitokana na Bei ya Mkate kupanda hata Kwingineko Tozo, Mgawo wa Maji na Umeme unaweza Kuivuruga nchi

    Endeleeni tu kufanya Masihara na mkiwa na muda naombeni jikumbusheni na History nzuri na tamu (ambayo GENTAMYCINE hupenda Kuisoma kila wakati) ya '1789 French Revolution' ya ili muone Bomu ambalo mnalitega kutokana na Ujuha wenu na ambalo haliko mbali Kulipuka.
  20. Kazi iendeleeeee

    Nchi ya ovyo sana hii umeme hakuna, maji yanatoka kwa mashaka

    Nashindwa kuelewa kabisa Yani kwamba kuna mgao wa umeme au laaa. Tangu asubuhi huku Msasani hakuna umeme na hakuna taarifa zozote, hiyo haitoshi Jana maji hakuna leo yapo, umeme hakuna. Sasa haya Maji Sijui yanapandaje Kwenye tenki . Sometimes unashikwa na hasira hakuna shughuli yoyote Maana...
Back
Top Bottom