Wale mnapenda kulinganisha TZ na nchi nyingine hili nalo mkakitazame

Fursakibao

JF-Expert Member
Dec 12, 2017
6,681
11,122
Hawamu hii watanzania tumebezwa sana na kauli za kejeli za baadhi ya viongozi pale tunapolalamika jinsi Hali ya maisha inavyokuwa ngumu.

YaanI unakuta mtu mzima kabisa na akili zake timamu badala ya kujibu hoja au kutafuta suluhisho la changamoto zinazoikabili nchi yeye anatuambia tuhamie huko tunako ONA Kuna unafuu.

Tania nyingine ni Ile ya kuuilinganisha Tanzania na nchi zingine ambazo zinatuzidi uchumi; hizi ni akili au matope

Sasa Jirani zetu Wananchi wana jambo lao tarehe 20; wameamua kupinga upandaji was gharama za maisha ukizingatia bei ya unga kwao iko chini kuliko ya hapa nchini wakati huohuo sisi ndio tunawauzia mahindi.
Jilinganisheni na Hilo basi tuone

Rai yangu kwa watanzania tuige mfano wa jirani zetu

Chawa karibuni
 
Tokea nitenguliwe bega na FFU mpaka Sasa sihitaji kuandamana Wala kuhudhuria mikutano uchwara
 
Wajaluo watu wa ajabu sana,waroho mno wa madaraka,
Ruto awapokee kwa ukarimu na unyenyekevu, awasikilize hoja zao,awape majibu na hatima ya matatizo that's all.
 
Umemalizi
Wajaluo watu wa ajabu sana,waroho mno wa madaraka,
Ruto awapokee kwa ukarimu na unyenyekevu, awasikilize hoja zao,awape majibu na hatima ya matatizo that's all.
umemalizia vizuri sana japo umeanza vibaya. Dawa no kuwasikiliza na kuwapa hatima ya matatizo Yao na Wala SI kuwapa majobu ya shombo kama tunayopewa hapa
 
Back
Top Bottom