nchi

  1. UVCCM ninyi ni watu huru, acheni uchawa. Mnatuharibia Nchi yetu

    UVCCM ni umoja uliowekwa na kulelewa katika misingi ya kuimba mapambio ya kusifu na kutukuza watawala hata pale pasipo stahili sifa. ACHENI. Anaandika Almaliki Mokiwa. Tuweke mkazo katika kuifahamisha jamii juu ya ujio wa hiki kirusi kipya kinacho itafuna nchi yetu taratibu kinachoishi chini...
  2. S

    BBC: Special forces toka Marekani, Uingereza, na nchi za NATO wanapigana vita Ukraine, lakini wameshindwa kuikomboa Ukraine

    Documents zilizoliki za Pentagon zimeonesha kuwa wanajeshi wa vikosi maalumu toka Marekani, Uingereza, na nchi nyingine za NATO wapo uwanja wa vita Ukraine wakipigana na masecurity guards wa Urusi (wargner group). Cha kusikitisha na kuhuzunisha ni kuwa kwa zaidi ya mwaka sasa vikosi hivyo...
  3. Kwa sasa Kenya ni nchi ya Kimaskini zaidi kuliko Tanzania, serikali ya Kenya yashindwa kulipa hata mishahara!

    Mficha maradhi kifo kitamuumbua, yawahi hayawi sasa yamekuwa, ukweli halisi umeanza kujionyesha huko Kenya, hali ya maisha ni mbaya mnoo, vijijini ukame unawaua, mijijini maisha yanawanyonga na sasa Serikali imeshindwa kulipa hadi mishahara watumishi wake. Kenya kumechoka na kuchakaa balaa...
  4. I

    Nchi 20 zinazoongoza kwa uzalishaji wa gesi asilia duniani

    Ifuatayo ni orodha ya nchi 20 zinazoongoza kwa uzalishaji wa gesi asilia duniani, Tanzania gesi yetu ni cha mtoto. 1. Marekani 2. Russia 3. Iran 4. China 5. Canada nk. Endelea kusoma hapa chini: https://finance.yahoo.com/news/top-20-natural-gas-producing-135029977.html
  5. Bunge lingekuwa na akina Luhaga Mpina japo 50 tu, nchi ingepiga hatua kubwa sana

    Kinachotuponza sisi watanzania wengi ni unafiki na ukigeugeu Nashukuru Mpina toka awe mbunge ana msimamo usiobadilika. Huyu bwana anatimiza wajibu wa bunge kusimamia serikali. kwelikweli Sijaanza kumsikia leo toka Enzo Za JK huyu bwana Yupo straight hamung'unyi maneno. .Pamoja na Chuki na...
  6. Timotheo Mnzava Ashiriki Maombi ya Kuombea Nchi ya Tanzania

    MHE. TIMOTHEO MNZAVA ASHIRIKI MAOMBI YA KUOMBEA NCHI NA VONGOZI WAKE & KUMUOMBEA RAIS SAMIA Mbunge Jimbo la Korogwe Vijijini Mhe. Timotheo Mnzava ameshiriki Wiki ya Sikukuu ya Pasaka kwa kushirikiana na taasisi mbalimbali za Dini, Chama na Serikali huku akiungana na viongozi mbalimbali kuombea...
  7. Ni kipi kinafanya Watanzania kutoaminika nchi za watu?

    Mo mp5 once again hope ni wazima Wana Jf. Sifa ya mtanzania ni ukarimu,ucheshi na upendo lakini imekuwa tofauti pale unapokuwa nchi za watu mtanzania ni mtu ambaye haaminiki kabisa hasa kwenye deals mbalimbali. Ukiona mtanzania yupo nje ana ishi vizuri ujue ana kipaji mchezaji...
  8. Orodha ya nchi 10 zinazoongoza kwa kuzalisha nishati ya joto ardhi duniani

    Nishati ya joto ardhi ni aina ya nishati mbadala na endelevu, inayozalishwa kwa kuchukua joto kutoka kwenye miamba yenye joto chini ya ardhi. Kutokana na Chama cha Kimataifa cha nisahati ya joto ardhi, nchi kumi zinazoongoza kwa uzalishaji wa nishati ya joto ardhi duniani ni kama ifuatavyo...
  9. Wizi, ufisadi na ubadhirifu ni maamuzi na matakwa ya nchi yetu. Watanzania msiumize vichwa vyenu

    Wakuu, Kila mwaka CAG anatoa ripoti zake na kuonyesha mambo yale yale na kilio kile kile. Naomba mtambue kwamba wizi, ufisadi na ubadhirifu ni maamuzi ya nchi yetu hayo yawepo na kushamiri na vyombo vyote vya usalama vina bariki hayo kutokea ndiyo maana hayaishi! Dola na baraza la usalama wa...
  10. Huwezi ukaongoza nchi kwa visasi ukafanikiwa. NEVER!

    Magufuli alikuja hivihivi kwa visasi.. timuatimua wateuliwa wootee wa JK na kuweka wake. Akimnanga JK kila mahala, nchi ilipigwa..watanzania mmeibiwa saanaa..sisi sio masikini... Akaenda. Mama akaja, yaleyale. Vijembe kwa mtangulizi wake, Ametimua woote wa Magufuli na kuweka wake. Mbaya zaidi...
  11. Video: Usalama wa taifa aliyeikimbia nchi, aeleza maisha magumu ambayo Putin anaishi

    Putin anaishi maisha magumu, uwoga uwoga kila siku, kwa yeye kuhudhuria hafla yoyote hata kama ya dk 15 hulazimu mipango ifanywe kwa muda mrefu. Halafu ni nadra sana atoke, muda mwingi yuko ndani na mara nyingi misafara yake huwa inatoka bila yeye kuwemo, limsafara linakatiza mjini na mbwembwe...
  12. L

    Wachina waliopo nchi za nje wajumuika na waislamu duniani kutoa michango katika mwezi wa Ramadhani

    Katika kipindi cha mwezi mtukufu wa Ramadhani imekuwa ni ada na desturi kwa Waislamu na wasiokuwa Waislamu kuendeleza moyo wa kuchangia na kuwasaidia watu wa makundi mbalimbali. Na hii ni pamoja na kufutarisha mayatima, watu wenye maisha duni, waumini wa misikitini ama hata watu kawaida...
  13. Uzalishaji wa chuma unatakiwa kuwa kipaumbele cha kwanza nchi hii

    Duniani hakuna nchi kubwa iliyopuuza uzalishaji wa chuma na ikaendelea. Nchi karibu zote za kiafrika zipo hohehahe sababu mojawapo ni kupuuza uzalishaji wa chuma. Kwa sasa(Pamoja na kusema tupo information age) chuma ndicho engine ya uchumi wa nchi yoyote ile. Makaburu wa South Africa...
  14. K

    Bunge la sasa TZ haliendani na mahitaji ya nchi

    Nimefuatilia sana Bunge hili na kugundua lipo nyuma sana kwa mahitaji ya sasa. Serikali imejitahidi sana kubadilisha mambo mengi kuanzia mazingira ya biashara, utalii, miradi, Kilimo, siasa na mahusiano ya nchi za nje. Lkaini Bunge ni kama vile halijitambui . Kwanza Spika hajiamini na hana...
  15. S

    Mwigulu asiangushiwe zigo. Hata mwenye nchi "anawagwaya" hao wapigaji

    Neno "kugwaya" lina maana sawa kabisa na neno "kuufyata". Neno hili asili yake ni mkoa wa Kigoma. Mama alipoingia tu ikulu akapewa taarifa za upigaji wa mabilioni ya shilingi pale BoT akaunde tume ya uchunguzi ikampa ripoti. .....mama kimya. Ripoti ya CAG ya kwanza ktk utawala wa mama...
  16. Wapinzani wa Polepole wana upeo mdogo sana wa kifikra, muda si mrefu atawashangaza watu

    Ndugu Humphrey Polepole, Tarehe 28/11/2020 Ndugu Hamphrey Polepole aliteuliwa na Hayati Rais Magufuli kuwa Mbunge, hapo awali alikua ni Katibu Mwenezi wa CCM Taifa. Baada ya kifo cha Rais Magufuli mambo yakabadilika.Tarehe 14/3/2022 Rais Samia akamteua Ndugu Polepole kuwa Balozi nchini Malawi...
  17. Hii nchi wanasiasa wanatuchezea, nimemua kuishi kivyangu na lolote litokeee wala sijali

    MSHAHARA WA WABUNGE HAUENDANI NA WANACHOKIFANYA BUNGENI. Na Thadei Ole Mushi. Ukiangalia Mshahara wa Mbunge na anachokifanya Bungeni vinatia Hasira Sometimes… Twende Sawa Rais Magufuli ndiye Rais aliyevunja Rekodi ya wabunge kuweka maazimio ya kumpongeza Bungeni. Maazimio ya mwisho mwisho...
  18. M

    Hivi kuna raia au kiongozi wa Serikali mweusi(asili ya Afrika) nchi za Urusi na China..?

    Maana siamini km hakuna watu weusi katika NCHI hizo km hawajaolewa au kuoa na wenyeji wa hizi nchi.. Huwa wanaishia wapi? Pia naamini wapo watu weusi wamezaliwa hizi nchi MIAKA na MIAKA na hawahi kuishi nchi nyingine kuishi zaidi ya hizi, Hawa nao huishia wapi? Yasije tokea Yale ya...
  19. T

    Mlimtweza na kumdhihaki kisha mkadhani mtaila nchi kumbe nchi inawala

    Hamkujua kile kipo katika kitabu, hamkujua kesho yetu mkaona binadamu ndio tatizo na sasa hayupo basi tumtweze kisha tumdhihaki. Tuite makongamano, tuite watu wakutusemea dhiaka zetu wakati yote yanafanyika, Mungu aliwaangalia akajua shida yenu sio kiti shida yenu ni matumbo na dawa ya tumbo ni...
  20. UTEUZI: Rais Samia ateua Balozi mmoja na kumhamisha Humphrey Polepole kuwa Balozi nchini Cuba

    Rais Samia Suluhu amefanya mabadiliko ya vituo kwa Mabalozi wawili (02) na uteuzi wa Balozi mmoja (01) kama ifuatavyo: 1. Amempangia Balozi Humphrey Herson Polepole kuiwakilisha Tanzania nchini Cuba. Kabla ya uteuzi huu Balozi Polepole alikuwa Balozi wa Tanzania, nchini Malawi. 2. Amemteua...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…