nchi

  1. Breaking bad

    JamiiForums Tanzania Wavutiwa na siasa za nchi gani kana kwamba ungependa nchi yetu iwe kama wao ?

    Eti wadau tiririkeni hapa. Kwa malalamiko yetu ya kila siku dhidi ya ccm na siasa zetu, ungependa nchi yetu iwe na siasa kama za nchi gani duniani na kwa sababu zipi?
  2. M

    JamiiForums Tanzania Nchimbi: Tukijenga Utaratibu wa kuwa wakweli, Tukijenga utaratibu wa kutoa mawazo yetu kwa nia njema, tutajenga Nchi kwa kiwango kikubwa sana

    Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi ameshiriki mazishi ya Marehemu Boniface Makene, aliyewahi kuwa Mwandishi wa Habari wa Makamu wa Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Mohamed Gharib Bilal, yaliyofanyika katika Kijiji cha Mabui...
  3. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania Tanzania imara itajengwa na Vijana wenye Uzalendo na Mapenzi kwa nchi yao

    Umoja wa wanafunzi wa vyuo vikuu nchini TAHLISO wameamuakupaza sauti na kusema #NeverAgain kwa machafuko na uharibifu. Kwa pamoja Tuipende, Tuitunze na Tuilinde nchi yetu.
  4. E

    JamiiForums Tanzania ACT Wazalendo: Mjadala wa Kitaifa Kuhusu Mwelekeo na Khatima ya Nchi yetu

    Leo Mei 16, Chama cha ACT Wazalendo inafanya mjadala wa Mjadala wa kitaifa kuhusu mwelekeo na khatima ya Tanzania, uliokusanya makada na viongozi wa chama hicho, wasomi, wanadiplomasia na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam. https://www.youtube.com/live/yw9QUyBkdXE?si=_psmu3H58c7p20re...
  5. L

    JamiiForums Tanzania ACT Wazalendo: Mjadala wa Kitaifa Kuhusu Mwelekeo na Khatima ya Nchi yetu

    Leo Mei 16, Chama cha ACT Wazalendo inafanya mjadala wa Mjadala wa kitaifa kuhusu mwelekeo na khatima ya Tanzania, uliokusanya makada na viongozi wa chama hicho, wasomi, wanadiplomasia na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam. https://www.youtube.com/live/yw9QUyBkdXE?is=Wg_4_djGZTsIrnyM
  6. R

    JamiiForums Tanzania Msigwa: Tanzania siyo nchi ya kuamuliwa na Wanaharakati

    Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo ambaye pia ni Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa, wakati wa mahojiano na Bongo FM Mei 15, 2026, amesisitiza kuwa Tanzania ni nchi huru inayojiongoza kwa mujibu wa katiba, sheria na kanuni zake, na haitakubali kuendeshwa au...
  7. R

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Msigwa: Anayekwenda nje ya nchi na akaanza kukosoa wengi wao wamekuwa katika miradi au mipango ya watu wenye malengo hasi dhidi ya nchi

    Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo ambaye pia ni Msemaji wa Serikali, Gerson Msigwa akifanya mahojiano na Bongo FM leo Mei 15, 2026 Mwandishi: "Kwenye hili swala la uhuru, wakosoaji wengi wamekuwa wakikosolea nje ya nchi huku kukiwa na taarifa za watu kutekwa na mambo...
  8. Moto wa volcano

    JamiiForums Tanzania Nchi yetu ni kubwa kuliko mwekezaji yeyote yule

    Nchi ni kubwa kuliko muwekezaji yeyote yule Dangote akiamua kujenga kiwanda chake Mombasa Tanzania tususie kiwanda chake hicho na sisi tutafute muwekezaji mwengine wa kujenga kiwanda pale Tanga Halafu pia tumfanyie figisu kwenye kiwanda chake cha Mtwara , haiwezakini akadharau maamuzi ya...
  9. Jidu La Mabambasi

    JamiiForums Tanzania Nchi yangu Tanzania haina tena THINK TANKS wa muelekeo wa kiuchumi, ni bora liende!

    Rais wa Awamu ya kwanza , Mwalimu Nyerere aliwaweka watu waliobpbea kiuchumi kuwa washauri wake. Mwalimu aliweza kubishana na IMF kwa kipindi kirefu kutokana na misimamo inayotokana na ushauri wa kitaalam toka kwa washauri wake wa kiuchumi. Mwalimu alishauriwa na magwiji kama Dr Mwaluko, Prof...
  10. R

    JamiiForums Tanzania Nchi inaendeshwa kihuni. LATRA website hakuna majedwali ya nauli za sasa. Wanaficha nini?

    Nchi ya wahuni, kila mtawala ni muhuni. Can you imagine website yao haina tables za nauli za sasa. Wanaficha nini? Wanalenga nini kutoweka nauli kwenye website yao. Kuna tables za 2024!
  11. Q

    JamiiForums Tanzania Nchi ya ajabu inakemea matusi inaacha kukemea ufisadi

    Hatuna viongozi wenye vision nchi imebaki kuendeshwa na matukio yasiyo na msingi. Ni aibu kwa kiongozi mkubwa kama Jaji tena mkuu kutoka hadharani kukemea matusi anaacha kujadili sababu zilizopelekea kunyanganywa mradi wa Tanga oil refinery. Jaji mwingine kapewa pesa kuliponya taifa yeye...
  12. Stuxnet

    JamiiForums Tanzania Nchi tatu za Ulaya zinaongozwa na marais mashoga; hatuna cha kushauriwa nao

    Hawa hawana lolote la kutufundisha au kutuamuru. Nchi tatu za Ulaya zina wakuu wa nchi ambao ni mashoga:- Netherlands, Latvia na Andorra. Wana matatizo makubwa na nchi zao msiwape huo umaarufu wa kuingilia mambo yetu. Hata hiyo misaada wanayotaka kukata, wasitishe tu ili tujifunze kujitegemea...
  13. Yoda

    JamiiForums Tanzania Kufanya maonyesho ya silaha ambazo nchi haizalishi ni ujuha na ujinga mwingine wa KiAfrica

    Sijawahi kuelewea maonyesho ya silaha za kijeshi yanayofanywa na majeshi katika nchi za Africa. Unafanyaje maonyesho ya silaha ambazo huzizalishi hazitengenezwi nchini kwako! Wanaotengeneza hizo silaha wenyewe huko Magharibi wala huwa hawazifanyii maonyesho ya kisiasa bali ya kibiashara...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Kagame :" Rais wa Congo hakushinda uchaguzi huru" Kwa hii milio PK kashikwa pabaya na Félix Tshisekedi ?

    https://www.youtube.com/watch?v=oRSdtN4PaWI “Mnajua jinsi rais wa sasa alivyoingia madarakani? Aliitwa tu ofisini, na huyu mtu akadhani anafanya makubaliano mazuri, akaikabidhi mamlaka. Pia mnajua kwamba kulikuwa na mashahidi, marais wa nchi mbalimbali? Mnajua hilo? Mmoja wao akiwa rais wa...
  15. Financial Analyst

    JamiiForums Tanzania Kwa nini nchi za africa na uarabuni ndizo nguli wa dini duniani ila ndizo zinazoongoza kwa umasikini na vita?

    Tulidhania nyie mlio loyal wa dini na mafundisho yake mtakuwa na unyenyekevu na kusaidiana ila ndio mnaongoza kuuana na kunyang'anyana.
  16. R

    JamiiForums Tanzania Nchi hii imefitinika. Huyu na wahuni wenzake alimkaba Warioba na leo ni Waziri!

    Habari picha Pia soma: CCM waleta vurugu kwenye Kongamano la taasisi ya Mwl/Nyerere, Makonda ahusishwa kumpiga Warioba
  17. M

    JamiiForums Tanzania Pesa zinazokusanywa ni kwajili ya kuendeleza Dar, Dodoma na Zanzibar ? mikoa mingi imekuwa vyanzo vya mapato bila kupewa umuhimu kwenye maendeleo

    Kuna mikoa huchangia mamia ya mabilioni ya kodi kila mwaka kupitia biashara, kilimo, madini na shughuli nyingine za kiuchumi. Lakini ukifika hata makao makuu na majiji ya mikoa hiyo, maendeleo hayaendani kabisa na mchango wao, Inasikitisha kuona kuwa sehemu kubwa ya mapato hayo yanaelekezwa...
  18. baz kaiza

    JamiiForums Tanzania Uzuri ni kwamba namba wote tunaisoma. Wakosoaji wa serikali waimba mapambio na kusifu na kuabudu serikali wote tuko kapu moja.

    Uzuri ni kwamba sukari ikipanda bei haichagui wewe ni mwimbaji mzuri wa mapambio au ni mkosoaji wa serikali namba inasomeka maumivu yako palepale. Ukienda kituo cha mafuta kuweka mafuta kwenye gari. wote tunaugulia maumivu kwenye bei ya mafuta haichagui wewe unasifia serikali au ni mkosoaji wa...
  19. Tochuku

    JamiiForums Tanzania Faida ambazo ingepata nchi ya Tanzania na mkoa wa Tanga kama bilionea Dangote angejenga kiwanda Cha Mafuta

    Ikiwa mradi wa refinery ya mafuta ya Aliko Dangote (au mradi wowote wa ukubwa huo) ungejengwa Tanga, Tanzania ingenufaika kwa kiwango kikubwa sana kiuchumi, kijamii na kimkakati. Tanga ina sifa ya kipekee kutokana na kuwa mwisho wa bomba la mafuta kutoka Uganda (EACOP), hivyo kuwa kitovu cha...
  20. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania Ni hatari sana kiusalama kwa watekaji na genge lao kuendelea kutumia "Plate Number" zisiofuata mfumo rasmi wa nchi

    Maana yake Kuna Ombwe kubwa linatengenezeka . Sina Uhakika Tena Kama Askari Barabarani wanaweza Kuyasimamisha Magari yenye hizi namba. Hawawezi kwa sababu Vichwani mwao na wao wanaamini ni ya Akina Abduli. Kiasi kwamba huu uwazi , Umetengeneza Mazingira Mazuri kwa WATU WABAYA . Leo hiii...
Back
Top Bottom