nchi zilizoendelea

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    JamiiForums Tanzania Nchi zilizoendelea kama South Afrika na Ulaya huwezi kukuta mabasi yanapewa amri kama hizi za kupakilia Magufuli stand .

    Sisi tuliotembea nchi kama South Afrika na Ulaya tunafahamu haya Ukiwa na safari na basi unaweza ukapandia popote. Unaweza ukapandia kwenye ofisi za basi unalotaka kusafiri nalo, ukapandia hata kwenye mgahawa linapopita. Hii ya Mkuu wa mkoa wa Dar kusema daladala zitakosa wateja ni pointless...
  2. Espoir_jnr

    JamiiForums Tanzania Hivi inawezekana Tanzania kuingia mikataba ya 'Visa-Free' na nchi zilizoendelea kama Japan? nini athari zake?

    Wana-JF salamu, Nimekuwa nikitafakari kuhusu diplomasia yetu ya kimataifa na nguvu ya pasipoti yetu. Swali langu kuu ni: Je, nchi mbili zinaweza kukubaliana kufuta kabisa masharti ya Visa (Bilateral Visa Waiver Agreement) ili wananchi wake watembee kwa uhuru? Kwa mfano, ikitokea Tanzania na...
  3. 100 others

    JamiiForums Tanzania Mawakili Vijana wa Bongo Wanabaki Kuwa Maskini, Wakati Wenzao wa nchi zilizoendelea Wanaogelea Kwenye Ukwasi Mkubwa

    Nimekaa na kutafakari maisha ya mawakili wetu vijana nchini hawa tunaowaita wakili msomi. Siku hizi fani hii imepoteza hadhi yake kiasi kwamba vijana wengi mtaani wanaiona kama kazi ya kawaida tu ya kusaka tonge. Tofauti kabisa na nchi zilizoendelea ambako vijana wa sheria wanaishi maisha ya...
  4. Yoda

    JamiiForums Tanzania Mshangao; KFC ni kwa ajili ya masikini nchi zilizoendelea ila Africa ni kwa ajili ya matajiri!

    Wadau wahoji na kushanga jinsi migahawa ya KFC imekuwa ni kwa ajili ya wenye kipato au matajiri nchi nyingi za Africa wakati nchi zilizoendea huko duniani kuanzia Marekani, Canada, Ulaya, Japan n.k KFC ni kwa ajili ya masikini au watu wenye kipato cha chini! Wadada wa mjini wanavyopenda kuku wa...
  5. OLS

    JamiiForums Tanzania Je wajua kwa nchi zilizoendelea, kukopa na kununua kwa fedha taslim gharama ni sawa?

    Bongo imekuja huduma ya kukopa simu kwa sasa ambapo simu hizo zinalipwa kwa siku. Hili suala la kulipa kwa siku lenyewe kwanza ni mtihani lakini pia gharama ya simu inaongezeka mara dufu. Hivyo anayekopa hakuna kitu anaepuka, maana kama unalipa 2100 kwa siku ujumlishe na hela ya kifurushi maana...
  6. Tanzanians

    JamiiForums Tanzania Tanzania tunaweza ku-emulate ile beauty ambayo ipo nchi zilizoendelea

    Xxx
  7. S

    JamiiForums Tanzania Tofauti na Tanzania, nchi zinazowafikiria wananchi wake hazikati kodi kamili kwenye gawio (dividends) na marupurupu ya mshahara (benefits)

    Tanzania sio rahisi kutoboa kama mfanyakazi tofauti na nchi nyingine. Ukienda Ulaya au USA, hata ukiwa mbeba maboksi utatoboa kama mfanyakazi. Zipo sababu. Huko nyuma, nadhani enzi za Nyerere na Mwinyi sijui na nani, ili mwajiri akupe motisha, mfanyakazi ulikuwa unapewa marupurupu kama ada ya...
  8. Brojust

    JamiiForums Tanzania Ajali za mwisho wa mwaka, Je ni Africa peke yake au hata nchi zilizoendelea ? Je ni dhana ya ulozi au Uzembe tuu ? Mbona watu wanapotea kizembe hivi ?

    Salaam Case study: Tanzania, Hizi ni coache tu, kagera 15, Mikese 18, hapo bado majeruhi watakao kuwa vilema wa maisha, Sina data kamili ila kuanzia mwezi wa 10 mpaka huu wa 12 inawezekana death toll kwenye ajari pekee inafika 50, hapo bado sijazungumzia pale songwe mlima mbalizi nasikia tena...
  9. Yoyo Zhou

    JamiiForums Tanzania Ahadi ya msaada wa fedha kutoka nchi zilizoendelea kwa nchi zinazoendelea haitoshelezi mahitaji ya kukabiliana na mabadiliko ya tabianchi

    Mkutano wa 29 wa Umoja wa Mataifa wa Kukabiliana na Mabadiliko ya Tabianchi (COP29) umefungwa hivi karibuni huko Baku, mji mkuu wa Azerbaijan, na nchi mbalimbali zimefikia makubaliano kwamba, nchi zilizoendelea zitatoa angalau dola bilioni 300 za Kimarekani kila mwaka hadi mwaka 2035, ili...
  10. Sir John Deere

    JamiiForums Tanzania Nchi zilizoendelea Hasa marekani na ulaya wanachukua rasilimali Afrika na huku wakituambia ni nchi masikini Duniani. Tujitafakari

    Kuanzia Congo , Tanzania, Kenya , South Africa, Namibia , Zambia , Botswana, Zimbabwe na nchi nyingine nyingi za Africa makampuni kutoka ulaya na Marekani wanachota rasilimali za afrika ikiwa ni dhahabu , almas, trophies, shaba , coltan , mbao n.k Wakati huo huo Afrika imetengwa kama Moja...
  11. winnerian

    JamiiForums Tanzania Kwanini Tanzania haiko tayari kunakili mfumo wa maendeleo ambao tayari umeonekana kufanikiwa katika nchi zilizoendelea kama vile Ulaya na Amerika/US?

    Huwa najiuliza sana hili swali lakini sipati picha majibu kabisa.. Mfumo wa utawala, sheria, elimu, miundo mbinu, jamii, n.k. ni mzuri sana ukilinganisha na nchi ya Tanzania. Kwanini?
  12. Heart Wood.

    JamiiForums Tanzania Mambo ambayo wenzetu katika nchi zilizopiga hatua kiuchumi, kijamii na kisiasa tunaweza kujifunza

    Wakuu Salaam, Nitakuwa nilkileta hapa mfululizo wa mambo muhimu ambayo wenzetu katika nchi zilizopiga hatua huko Ulaya ya Magharibi tunaweza kupata la kujifunza. Kwa leo nitajikita kwenye angle ya usafirishaji. Bila kupoteza muda na kukuchosha mpenzi msomaji naanza kuyataja mambo hayo kama...
  13. F

    JamiiForums Tanzania Mpango wa kupiga marufuku matumizi ya petrol na dizel unaandaliwa na nchi zilizoendelea. Tuwe makini na miradi katika nishati hizi

    Niliwahi kutahadharisha miaka takriban minne iliyopita kuwa, siku za petrol and dizel zinakwisha na hivyo tufikirie vizuri zaidi kuhusu miradi mikubwa ya petrol and dizel. Nililenga moja kwa moja mradi mkubwa wa bomba la mafuta kutoka Hoima nchini Uganda hadi Tanga nchini Tanzania. Technologia...
  14. Kaka yake shetani

    JamiiForums Tanzania Nchi zilizoendelea biashara ya chakula ni kubwa sana na ndio zinalipa sana kwa watafutaji

    Tuliosafiri ndio tunafahamu kuhusu upatikanaji wa chakula nchi za nje.mfano tu ukifika china ,japan,india,usa,south africa na n.k utaona sehemu nyingi biashara ya chakula ilivyopamba moto. Biashara ya chakula kwa nchi zilizoendelea ni zakutofautiana sana ili kila mtu kumudu chakula anachoweza...
  15. R

    JamiiForums Tanzania Nchi zilizoendelea kiongozi akituhumiwa kwa rushwa anajiuzulu, Tanzania viongozi wanakamatwa na vidhibiti lakini hawatishiki hadi watumbuliwe

    Viongozi wa Tanzania wanakiburi sana, wanakamatwa kwa rushwa na tuhuma nyingine za maadili lakini uwezi kusikia wamejiuzulu. Wanasubiri hadi Mh. Rais awatumbue jambo ambalo ni dharau kwa mamlaka. Kujiuzulu ni Ishara ya kuomba radhi na kukaa pembeni ni Ishara ya kufungua milango usafishwe au...
  16. Escrowseal1

    JamiiForums Tanzania Nini tofauti ya trade deals zinazofanywa na nchi za kiafrika ukilinganisha na zile zinazofanywa na nchi zilizoendelea

    Huwa sielewi. Rish Sunak asili yake ni India, nchi yake ya UK imekuwa kwenye negotiation ya trade deal na India kwa miezi mpaka wanafika sehemu wanaweka pause then wanaendelea na sometime prime minister anafanya visit na anarudi patupu. Marekani ili push UK ijiondoe EU kwamba trade deal itakuwa...
  17. J

    JamiiForums Tanzania SoC03 Changamoto za Uchumi wa Kati

    UTANGULIZI. Uchumi wa kati ni hali ya nchi kupiga hatua ya maendeleo ya kijamii, kiuchumi, kisiasa na kitamaduni,hivyo nchi huweza kujiimarisha yenyewe katika sekta muhimu za uzalishaji mali Kama viwanda,Kilimo, biashara na uchumi na kuongeza pato la nchi kwa haraka,hivyo kuachana na hali ya...
Back
Top Bottom