nchi za afrika

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. kavulata

    JamiiForums Tanzania Kwanini mkutano wa wakuu wa nchi za Afrika ufadhiliwe na Benki ya dunia?

    Unapoitaja World Bank, IMF na WTO ni sawa na kuitaja Marekani na Ulaya Magharibi. Kama mkutano wa wakuu wa nchi za Afrika uliofanyika Tanzania umedhaminiwa na Benki ya dunia maana yake umedhaminiwa na nchi ya Marekani. Kwanini AU na waafrika wenyewe wameshiñdwa kuudhamini mktano wao? Are we...
  2. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Rais Samia ashiriki Mkutano wa wakuu wa Nchi za Afrika kuhusu Rasilimali Watu, leo Julai 26, 2033

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akishiriki Mkutano wa Wakuu wa Nchi za Afrika kuhusu Rasilimali Watu katika Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNICC) tarehe 26 Julai, 2023 jijini Dar es Salaam. === Rais Samia anazungumza Ninayo furaha kubwa...
  3. L

    JamiiForums Tanzania Kwanini BRICS inavutia sana nchi za Afrika?

    Mkutano wa 15 wa wakuu wa nchi za BRICS utafanyika Johannesburg, Afrika Kusini kuanzia tarehe 22 hadi 24 mwezi ujao. Ukiwa chini ya kaulimbiu ya "BRICS na Afrika: Ushirikiano wa Wenzi wa Ukuaji wa Kasi ya Pamoja, Maendeleo Endelevu na Utaratibu Shirikishi wa Pande Nyingi", mkutano huo utaangalia...
  4. The Assassin

    JamiiForums Tanzania Finland imetishia nchi za Afrika na Asia kuziondolea misaada iwapo zitaunga mkono Urusi

    Serikali ya Finland imetoa onyo kali kwa nchi za Afrika na Asia kuchagua kuiunga mkono Urusi ama kuchagua misaada. Finland imesema ukiunga mkono Urusi inakata misaada na mikopo nafuu. Soma hapa.
  5. L

    JamiiForums Tanzania "Kuacha kutumia dola ya kimarekani" imekuwa maoni ya pamoja ya nchi za Afrika

    Hivi majuzi, video iliyomuonyesha Rais William Ruto wa Kenya akitoa hotuba katika bunge la Djibouti imeibua mjadala mkali kwenye mitandao ya kijamii. Katika video hiyo, Ruto aliuliza kwa kejeli: Kwa nini tunatumia dola ya kimarekani kwenye biashara kati ya nchi za Afrika? Baada ya kauli yake hii...
  6. benzemah

    JamiiForums Tanzania Bajeti za Nchi za Afrika Mashariki Zinatupa Picha Gani

    Juni 15, 2023 ilikuwa siku ya bajeti kwa nchi zinazounda Jumuiya ya Afrika Mashariki ambapo nchi za Tanzania, Kenya, Uganda , Rwanda, Burundi, DRC na Sudan Kusini ziliwasilisha makadirio ya bajeti zao kwa mwaka wa fedha 2023/24 Tanzania Katika bajeti yake, Tanzania imezingatia kuwekeza zaidi...
  7. Zaitun kessy

    JamiiForums Tanzania SoC03 Matumizi ya sarafu moja kama njia ya kuleta mabadiliko katika uwajibikaji na utawala bora katika nchi za Afrika

    Wazo la kuwa na sarafu moja ya Afrika limekuwa likijadiliwa tangu mwanzoni mwa miaka ya 1980, na jitihada zimefanywa katika miongo iliyofuata kuelekea lengo hilo. Matumizi ya sarafu moja katika bara la Afrika yanaweza kuwa na athari kubwa katika kukuza uwajibikaji na utawala bora. Hapa kuna...
  8. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Rais Ruto azitaka nchi za Afrika kuacha kutumia sarafu ya dola kwenye biashara zao za kimataifa

    Rais Ruto wa Kenya amezitaka nchi za Africa kuacha kutumia sarafu ya US Dollar 💵 💵 💵 kwenye biashara zao za kimataifa. Ruto anashangaa kwa nini Africa tumekuwa watumwa wa sarafu ya dola ya kimarekani kwenye biashara zetu kiasi kwamba inafikia nchi za Afrika zashindwa kuuziana bidhaa zao mfano...
  9. L

    JamiiForums Tanzania Utafiti waonesha kuwa mikopo toka China kwa nchi za Afrika ina gharama za chini kuliko ile ya nchi za Magharibi

    Watafiti katika taasisi ya Uchumi wa Dunia ya Kiel ya Ujerumani, wamefanya utafiti na kufikia hitimisho kuwa mikopo inayotolewa na China kwa nchi za Afrika ni ya gharama nafuu kuliko ile inayotolewa na nchi za magharibi, au inayotolewa na wakopeshaji wa kibiashara. Hitimisho hilo limefikiwa...
  10. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Nchi za Afrika zilizofuta Adhabu ya Kifo kwa Makosa yote

    1981 - Cape Verde 1990 - Msumbiji, Namibia, Sao Tome 1992 - Angola 1993 - Guinea-Bissau, Seychelles 1995 - Djibouti, Mauritius 1997 - Afrika Kusini 2000 - Ivory Coast 2004 - Senegal 2007 - Rwanda 2009 - Burundi, Togo 2010 - Gabon 2015 - Congo-Brazzaville, Madagascar 2016 - Benin 2017 - Guinea...
  11. B

    JamiiForums Tanzania Miziki toka nchi za Afrika

    Luanda, Angola Shiny I - E ndege na
  12. L

    JamiiForums Tanzania Mapigano ya Sudan yaonyesha tena kuwa nchi za Afrika hazitakiwi kuwa wahanga wa umwamba wa Magharibi

    Mapigano nchini Sudan yamedumu kwa siku kadhaa, na kusababisha maelfu ya watu kupoteza maisha na kujeruhiwa. Licha ya wito wa kusimamisha vita wa Umoja wa Mataifa, Umoja wa Afrika na mashirika mengine ya kimataifa na ya kikanda, hadi sasa, pande zinazopigana za jeshi na kikosi cha usaidizi wa...
  13. J

    JamiiForums Tanzania Hii ni aibu kubwa kwetu Waafrika, Yaani nchi 50 kutoa club moja ya Simba

    Katika mashindano ya CAF Champions League zinaenda timu 8 robo fainali ila cha ajabu kati ya timu hizo timu 1 tu ndio inatoka Sub Sahara Africa, Simba Sports Club Yaani nchi 50 za Sub Sahara zimeshindwa kutoa timu zaidi ya Simba kwenda robo fainali, Zambia, Malawi, Nigeria, DRC, Gabon, Sudan...
  14. Mhafidhina07

    JamiiForums Tanzania Nadiriki kusema nchi za Afrika hususani viongozi wake hawajielewi

    Nchi nyingi duniani zimepitia katika kandamizi za kimabavu za nchi nyenginezo (expansionism)) hii inatokana na kwamba mkataba wa mwanzo wa maisha ulikuwa unategemea sana vita (SURVIVE for war) nguvu zako katika vita zitakuhakikishia kutawaliwa au kutawala (State of Nature). Nchi kama marekani...
  15. L

    JamiiForums Tanzania Kwanini nchi za Afrika hazina hamu tena na "Demokrasia ya Kimarekani"

    Mkutano wa pili unaojiita kama "Wa kilele wa demokrasia duniani" ulioandaliwa na serikali ya Marekani utafanyika hivi karibuni, na moja ya kumbi ndogo itakuwa barani Afrika lakini hadi sasa, ni nchi 16 tu kati ya 54 za Afrika ambazo zimethibitisha kuhudhuria. Hii imeonyesha kwa mara nyingine...
  16. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Rwanda yaongoza kwa Watu wake kuishi Umri Mrefu kwa Nchi za Afrika Mashariki

    Utafiti wa #UmojaWaMataifa (UN) na #BenkiYaDunia (WB), umeonesha maisha marefu yanategemea mambo 3 makuu: Maumbile, Jinsia, na Mtindo wa Maisha unaojumuisha Usafi, Chakula Bora na Mazoezi, Upatikanaji wa Huduma Bora za Afya, na Viwango vya Uhalifu. Hadi kufikia mwaka 2023 umri wa Binadamu...
  17. L

    JamiiForums Tanzania Kuneemeka kwa China ndio kuneemeka kwa nchi za Afrika

    Watu husema mwaka mpya huleta matumaini mapya. Lakini kwa uchumi wa dunia wa mwaka 2023, inahofiwa kuwa matarajio hayo sio mazuri sana, wasomi wengi wanakadiria kuwa kasi ya ukuaji uchumi itaendelea kupungua. Kwa Afrika haswa ukanda wa kusini mwa Sahara, watu wanaendelea kulalamikia bei kubwa ya...
  18. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Rais Samia ashiriki Mkutano wa Wakuu wa Nchi za Afrika leo, Januari 25, 2023

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akishiriki Mkutano wa Wakuu wa Nchi za Afrika - Dakar chini Senegal leo tarehe 25 Januari, 2023
  19. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania ILO imeandaa Jukwaa kwa Wadau Kujadili uboreshaji wa Changamoto na Uhamaji wa Kutafuta Fursa katika Nchi za Afrika Mashariki

    Mkutano huu wa siku mbili unafanyika Zanzibar kwa muda wa siku mbili, Januari 24 na 25, 2023 ambapo lengo kuu ni majadiliano ya Wadau mbalimbali kuhusu mazingira ambayo wanakutana nayo wanaotafuta ajira kutoka sehemu moja kwenda kwingine, hasa wakilengwa zaidi vijana. Wanaoratibu mjadala huu ni...
  20. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Rais Samia akizungumza na Wawekezaji, Wadau wa Maendeleo na baadhi ya Viongozi Wakuu wa Nchi za Afrika

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akizungumza na Wawekezaji, wadau wa maendeleo pamoja na baadhi ya Viongozi Wakuu wa Nchi za Afrika katika Mkutano wa Eneo Huru la Biashara la Afrika (AfCFTA) uliofanyika Davos nchini Uswizi tarehe 18 Januari, 2023. Katika mkutano huo...
Back
Top Bottom