nayo

Nayo is a village in Bhamo Township in Bhamo District in the Kachin State of north-eastern Burma.

View More On Wikipedia.org
  1. Prof_Adventure_guide

    JamiiForums Tanzania Kisa: Changamoto ambayo nimewahi kukumbana nayo katika hifadhi ya taifa Serengeti

    Karibu kwenye safari yetu ya kusisimua ya Serengeti, ambako mandhari ya pori ni ya kupendeza na wanyama wanaotembea kwa majivuno chini ya jua kali! Mimi ndiye mwongozo wako, na leo tunaendesha Land Cruiser ya kuvutia—model GX 200, yenye injini ya Turbo Diesel 4.5L V8. Ni gari linayojulikana kwa...
  2. Mwanamwana

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Diwani Arusha: Mbunge Mrisho Gambo ni matatizo tunayotembea nayo, hafai

    Diwani wa kata ya Themi Labora Mkoani Arusha kwa tiketi ya CCM Ampiga Spana Mbunge Mrisho Gambo, amuomba msamaha Rc Paul Makonda
  3. M

    JamiiForums Tanzania Kujiongezea sifa usiyokuwa nayo ili upendwe ni hatari inayomaliza vijana wengi

    Kujiongezea sifa usiyokuwa nayo ili upendwe ni hatari inayomaliza vijana wengi Mahusiano ni mfumo wa kihisia hivyo ili uwe ndani ya mfumo lazima uwe na hisia ila ni hatari kubwa sana kulazimisha hizo hisia kiasi cha kujipa sifa usizokuwa nazo ili tu upendwe. Kama haupo kwenye hadhi yake...
  4. Jobless_Billionaire

    JamiiForums Tanzania Hii nilikutana nayo mahala. Sijui ni ya muda gani ila nimeshare

    Huyu ni kiongozi kabisa. Sijajua kama alifanya research na kubaini faida ya wafanyao hiyo biashara kuwa ni shilingi mia tatu kwa siku. Ila sikuona kama alikuwa sahihi kukashifu jitihada za watanzania wa hali ya chini wafanyaji wa biashara husika Nimeishia kucheka tu
  5. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 CHADEMA nayo naona ina mfumo wa kulindana. "Kunya anye Kuku akinya bata Kaharisha"

    Hamjambo wote Bila Shaka. Lissu amezidi Kuonyesha rangi halisi za CHADEMA. Kwa kweli Watanzania wengi hawakutegemea haya wanayoyaona kwenye Chama hiki. Lissu hacheki na wowote. Lisu hana mawe mawili ya Kupimia. Yeye Mla Rushwa na CHADEMA ni sawasawa na mla Rushwa wa CCM. Wote ni wla Rushwa...
  6. Pdidy

    JamiiForums Tanzania RTO WETU .TUSAMBAZE NA MATRAFFIK LEO SIKUKUU KUNA MENGI SANA MTAKUTANA NAYO KESHO MNGEWEZA KUWATHIBITI

    HESHIMA kwako RTO wangu Nianze kukutakia hero ya MWAKA mpya na kikosi kizima cha barabaran Nisichukue mdawako sana naomba mh traffick wasilale mpaka saa saba wawe barabaran KUNA matukio siku ya leoo MKIWEZA kuthibiti HATA ajali zitapungua keshoooo Mungu awabariki
  7. Chief Kumbyambya

    JamiiForums Tanzania Hivi gari kama hii inatakiwa mafuta ya Tsh ngapi uweze kula nayo misele mjini hasa kipindi hiki cha holiday

  8. S

    JamiiForums Tanzania kwani TCRA hawawezi kuangalia namna ya kuzuia namba mpya kutuma ujumbe kwenye namba ambayo haijawahi kuwasiliana nayo??

    Kumekuwa na hili swala la kupokea sms mfululizo kutoka kwa namba zisizojulikana, yaani ukikaa kidogo utaona mara "iyo hela tuma kwa namba hii" mara "mzee nani nani anatibu mvuto, pete ya nini sijui" hujakaa sawa mara "jiunge na chama chetu" mara " mimi mwenye nyumba wako" na nyingine nyingi...
  9. GoldDhahabu

    JamiiForums Tanzania Kutokuyapenda majina uliyo nayo kunakuhalalishia kuyabadili?

    Ulipojielewa, uligundua kuwa jina ulilopewa na wazazi wako ni KITUNGUU, na jina la baba yako ni KIMEIVA MAGANGA. Kwa hiyo, majina yako kamili ni KITUNGUU KIMEIVA MAGANGA. Ikiwa huyapendi hayo majina, hasa KITUNGUU KIMEIVA, inaweza ikawa ni sababu halali inayotambulika kisheria ya kuamua...
  10. Nyani Ngabu

    JamiiForums Tanzania CHADEMA nayo ni biashara ya Mbowe?

    I’m continuing to read the tea leaves from Tundu Lissu’s Clubhouse appearance. Lissu aliulizwa swali kuhusu Mbowe kuibeba CHADEMA kifedha. Akafunguka na kusema kuwa kuna nyakati kamati kuu ya chama ilikuwa inamwambia Mbowe kuwa chama kinahitaji kiasi hiki cha pesa kwa sababu moja, mbili, tatu...
  11. The Burning Spear

    JamiiForums Tanzania Unahisi ni mambo gani ukiachana nayo 2025 unaweza kufikia malengo yako?

    Hi Great Thinkers. Hii dunia imejaa distractions amabazo sometimes zinaweza kukupotezea malengo y'ako. Sasa Kwa wale wanaojitafuta na hustlers unazani ni vitu vipi vimekupotezea malengo.yako miaka iliyopita na unahisi.ukiachana navyo unaweza kusonga mbele Zaidí. 2025.na kuendelea. Baadhi ya...
  12. KENZY

    JamiiForums Tanzania Maneno mapya yakiswahili nisiyovutiwa nayo...

    Habari zenu wana kiswahili... Kwa mara nyengine nimeamua kuibukia huku tena ili nieleze dukuduku langu juu ya maneno kama mawili matatu ambayo sijavutiwa nayo!. pia ningependa mabaraza ya Kiswahili yayafute na aidha yachukue maoni kutoka kwa wadau kisha ndio wawe wanayarasimisha maneno ambayo...
  13. ankol

    JamiiForums Tanzania Gari ipi ni low budget lakini ukiwa nayo unaonekana unazo?

    Habari wanajamvi. Nimeishi sana kwenye ka baby walker kwa muda sasa. Natarajia mwakani niachane nako nipande hadhi japo kidogo. Nakuja kwenu wana jamvi, wataalam wa masuala haya. Nahitaji kujua gari ambayo running cost yake ni sawa na ka baby walker lakini kimwonekano inaonekana ni gari ya...
  14. kipara kipya

    JamiiForums Tanzania Yanga vs tawi lake point haziulizwi hapo hiyo nayo ni timu ya jeshi tutegemee magoli ya mchongo!

    Yanga jioni ya leo anakwenda kuendeleza ushindi wa magoli ya mchongo kutoka kwa timu ya jeshi la magereza nyote mtakuja kunikumbuka jioni ya leo tutaona vituko vya mtu mmoja anaweza funga magoli manne ya kipa kujiangisha au kufumba macho yaani mchongo mchongo tunaomba TFF wafanye uchunguzi wa...
  15. nzalendo

    JamiiForums Tanzania Mambo tofauti tunayokutana nayo Madereva wa malori toka enzi

    Hii ni kwa ufupi juu ya mambo mbali mbali tunayokutana nayo toka enzi mpaka leo hii.....Mengine hudhaniwa ni ya kutunga mengine yanahusishwa na uchawi na ushirikina hasa kwenye makampuni ...... Basi hapa nitakuwa nampeni stori tofauti tofauti juu ya vituko na mambo ambayo si ya kawaida sana...
  16. Lugano Edom

    JamiiForums Tanzania Wadau hii nayo mtasema nimeipiga mkoa gani? 😊

  17. Mad Max

    JamiiForums Tanzania Mwakani nahamia Nissan: Either Leaf, Note au Ariya!

    Bado uwezo wa kumkimbia Mjapan sina, ingawa Mchina na Mmarekani wanashawishi ila hamna jinsi. Kwa trend anatoenda nayo Nissan kutokea 2020 aisee nadhani ndio kituo kifuatacho. Kama nitabaki na ICE (magari ya mafuta) nitamfikiria Nissan Note 2020. Engine ndogo 1.2L hybrid itafaa sana hapa...
  18. Magical power

    JamiiForums Tanzania Kuishika kwa mkono huwezi inatia kinyaa labda upate mti uichome nayo kisha utupe huko kwasababu imeleta kinyaa bafuni

    Kuishika kwa mkono huwezi inatia kinyaa labda upate mti uichome nayo kisha utupe huko kwasababu imeleta kinyaa bafuni rangi yake sasa kijanijeshi, kaniki, jano😎
  19. Jidu La Mabambasi

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nairobi, Kenya, nayo kujenga BRT kama Tanzania wenye thamani ya Ksh 43.4 bilioni

    Serikali ya Kenya nayo imeamua kuinga toka Tanzania, kuwa na mradi wa Rapid Bus Transport(BRT) ijengwe Nairobi Kenya. Mradi wa Kenya inaelekea utakuwa mkali zaidi kwa kuwa na mabasi ya umeme. ================= Baraza la Mawaziri Jumanne, Desemba 17, limeidhinisha ujenzi wa mfumo wa Clean Bus...
  20. GoldDhahabu

    JamiiForums Tanzania Prospecting License ina manufaa gani?

    Naombeni majibu tafadhali! 1. Mtu asiye na taaluma ya madini anaruhusiwa kumiliki leseni ya aina hiyo? 2. Utafiti wake utamnufaishaje? 3. Endapo utafiti wake utamwezesha kugundua mahali penye madini, ataruhusiwa kuiupgrade liseni yake ili aweze kulimiliki hilo eneo kwa ajili ya uchimbaji?
Back
Top Bottom