Wapi Dar naweza kupata kiwanja cha milioni mbili?

Mr Chromium

JF-Expert Member
Aug 20, 2020
2,088
2,705
Habari wakuu,

Nataka nijenge Dar lakini kabla ya hapo nilikuwa nahitaji kufanya survey. Napenda wilaya tatu Kinondoni, Dar na Kigamboni lakini nilivyopitia maeneo mengi ambayo ni mazuri Kawe, Mbezi, Mbezi Beach, Kinyerezi Kimara ni ghali sana, hii survey nimeifanya mtandaoni! Yaani huku kupata kiwanja cha hata 2M sidhani.

Swali: Je, ni wapi naweza kupata kiwanja cha 2 Milion au hata 3 maximum kilicho Dar katika moja ya wilaya za Dar siyo lazima nilizotaja hapo juu! Isiwe Pwani, Kibaha sijui Mkuranga.

Karibuni
 
Chanika unapata kwa bajeti hiyo.

Chanika ni wilaya ya Ilala ipo ndani ya Dar. Pia Chamazi ndani ndani ama Mbande ndani ndani unaweza pata cha milioni 3.

Mbande ipo ndani ya wilaya ya Temeke.

Pia Kivule ndani ndani unaweza pata cha milion 3. Hiyo ni wilaya ya Ilala.
 
Back
Top Bottom