Natafuta kazi yoyote ya halali, nimesoma Stashahada ya Ualimu Chemistry na Biology. Naweza fundisha Sekondari na Msingi

IgKim

Member
Jul 31, 2018
28
21
Kama kuna mtu anahitaji mtu wa kufanya kazi yoyote ya halali, nipo hapa napatikana mkoa wa Arusha. Kwa yeyote mwenye connection ata Dar es Salaam naweza kuja kama kuna mwenye kazi tafadhali.
 
Kama kuna mtu anahitaji mtu wa kufanya kazi yoyote ya halal nipo hapa napatikana mkoa wa Arusha kwa yeyote mwenye connection ata dar es salaam naweza kuja kama kuna mwenye kazi tafadhali
Kila la heri Chifu.

Wazee wa kunanga walimu mpitwe mbali na hayo mapepo ili Ndugu yetu apate kibali chema cha kazi. Amina.
 
Jiajiri. Ingia maabara tengeneza bidhaa. Kama una uwezo wa kufundisha wanafunzi hayo masomo basi una ujuzi mkubwa. Angalia namna utakavyoifanya mirungi iwe kwenye form ya vidonge, iwe rahisi kuhifadhiliwa, kusafirishwa na kudumu bila kuharibika.
 
Hahahahaaaa aina kabaya mkali
Jiajiri. Ingia maabara tengeneza bidhaa. Kama una uwezo wa kufundisha wanafunzi hayo masomo basi una ujuzi mkubwa. Angalia namna utakavyoifanya mirungi iwe kwenye form ya vidonge, iwe rahisi kuhifadhiliwa, kusafirishwa na kudumu bila kuharibika.
 
kwanza elewa kuwa kazi ya ajira rasmi utapata. lakini itakuja kwa wakati sahihi. kwa sasa fanya namna upate mtaji ufanye biashara au fikiria hata kuanzisha kituo cha tuition.

mahusiano kimapenzi kaa nayo mbali.
 
Amina
Kila la heri Chifu.

Wazee wa kunanga walimu mpitwe mbali na hayo mapepo ili Ndugu yetu apate kibali chema cha kazi. Amina.

kwanza elewa kuwa kazi ya ajira rasmi utapata. lakini itakuja kwa wakati sahihi. kwa sasa fanya namna upate mtaji ufanye biashara au fikiria hata kuanzisha kituo cha tuition.

mahusiano kimapenzi kaa nayo mbali.
Sawa sawa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom