Ni kwa namna gani naweza ku fix tatizo la bluescreen (BSOD) katika Lenovo

Scars

JF-Expert Member
Apr 8, 2017
44,290
105,071
Whatsupp

Nina PC yaina ya Lenovo Thinkcentre ilianza kuleta error ya blue screen siku kama 4 zilizopita. Ilikuwa kwa siku inaweza restart na kunonesha blescreen halafu ikarudi normal na isirudie tena.

Mwanzo niliona kawaida kwasababu hizi Windows 10 ishu ya bluescreen ni very common, so nilibashiri huwenda zile updates za windows ambazo nilikuwa nazi pause kwa hofu ya kumaliza bundles ndio zimeleta damage hii.

Sasa kuanzia juzi hapo hali ikawa critical yani kila ikiwaka nikifngua app yeyote tu inaji restart a kuleta bluescreen ikiwa na errors code tofauti tofauti.

Kuna muda ilikuwa ikiji restart inaniletea error code hii

IMG_20220822_131837.jpg

Ambapo hiyo code kwa mujibu wa website yao husika ina husiana na tatizo la incompatible driver, ku abort windows update au RAM imechafuka.

Na recommendation yao ni kufanya system restore, kusafisha RAM ambapo vyote hivyo nilifanya lakini tatizo bado liliendelea na saizi nikawa naletewa error code tofauti tofauti kama inavyoonesha hapa chini

IMG_20220822_132252.jpg

Nayo hiyo error code kwa mujibu wa microsoft wanadai ni corrupted files

Niki run safe mode lile tatizo la kuji restart halijitokezi na PC inakuwa stable sana ila ndio hivyo safe mode haikupi full access.

Nilichoamua kufanya ni kupiga windows nyingine lakini bado tatizo likawa vile vile, nikarudia upya kupiga windows, round hii nika format drive yote ili kama kuna files ambazo ni corrupted kwenye partition zingine zote zifutike ninaze na moja.

Lakini kwa bahati mbaya nayo haikusaidia, nikahofia pengine ni drive imeanza kufa, nikajaribu ku run disk checker kuangalia kama kuna bad sectors zinazo kwamisha lakini disk nimeikuta ipo clean.

Nikabadili hadi Drive nyingine kuona kama labda tatizo ni Drive yangu lakini bado tatizo liliendelea. Nikiweka windows 7 napata utulivu haisumbui kabisa ila nakuwa limited program zangu nyingi hazi run kwenye windows 7

Kama kuna mdau mwenye ujuzi wa kutatua hii changamoto basi TAFADHALI unaombwa ushee huo ujuzi hapa
 
Issue ya Bsod siku zote ni random, inaweza andika error fulani na isiwe tatizo ni hilo.

Ukishaweka windows uli update drivers toka website ya manufacture? Kuna driver za chipset, graphics etc zinaweza sababisha mkuu kama hazipo up to date na os mpya imetoka.
 
Mkuu kwenye issue ya driver ni process ambayo iko mbele yani baada ya PC kuwaka punde tu ulipomaliza ku install windows

Sasa Mkuu hili tatizo la bluescreen kwa upande wangu linatokea popote hadi katikati ya windows installation

Kuna muda nime format HDD ili ni install windows baada ya disk kufaomatika nikashangaa napokea blue screen error.

Nacho jiuliza mpaka sasa kwanini windows 7 inaoekana kutulia na wimdows 10 niki run safe mode haileti hiyo errors?
 
Kama inatokea hadi ukiwa unapiga windows mkuu basi ni hardware.

Umecheki thermal paste ipo vizuri?

Pia kuhusu ram jaribu kurun na ram moja tu kama zipo mbili, ama kama ipo moja badili slot uone kama itasaidia.
 
Thermal paste ndio siijui ni kitu gani

Ila kuhusu RAM sio tu kwmba nimetumia moja bali nilibadilisha kabisa nikachukua RAM zingine lakini bado tatizo liliendelea
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom