Habari guys?
Ndugu zangu, kamanda wenu Keyboard Warrior nataka kuingia serikalini.
Sasa miezi kadhaa iliyopita nilifululiza sana kutuma maombi ya kazi AJIRA PORTAL, leo nimechungulia nimekuta nimeitwa kwenye usaili katika kada zaidi ya 3.
Matangazo ya kada zote wanasema usaili utafanyika kwa...
Nikiacha kazi mwaka 2015 kutokana na sababu za kiafya na nikapokea mpaka mafao yangu ya PSPF.
Lakini sasa nimekuwa fit na naweza kufanya kazi kama kawaida.
Nilijaribu kuandika barua utumishi kuomba kurudi maana nilikuwa nikiomba kazi naambiwa nina check namba hivyo siwezi ajiriwa na mimi...
Habari za Dominica,
Wanasema usipoweza kuingiza pesa ukiwa umelala, utafanya kazi maisha yako yote, sasa naomba kujua ni vipi naweza kuingiza pesa nikiwa nimelala?
Natanguliza shukran.
Ndio wadau kampuni ya ICT works inaendeshwa vipi na upatikanaji WA tende ni vitu gani muhimu hasa KWENYE kuoperatr.
Kwa Sasa tunafanya heavy printing but tunataka kujua upande huo pia
Hello bosses and roses...
Je ni wapi au nani anatoa huduma nzuri ya corporate/office food catering kwa hapa dar? Location around Ubungo, Kimara na Tabata.
Pia hata kama una hoteli yako na upo maeneo hayo pia unatengeneza chakula grade nzuri unaweza nicheki tuka-negotiate
Habari wana JF,
Naandika haya si kwa lengo la kudhalilisha mwanamke, bali kuweka wazi msimamo wangu kuhusu nafasi ya mwanaume katika jamii na familia.
Katika mpangilio wa asili na kimajukumu, mwanaume amepewa jukumu la kuwa kiongozi. Uongozi si ubabe, si dharau, si kumkandamiza mwanamke- bali...
Salaam wakuu.
Katika harakati za kujikwamua kimaisha na eneo nililopo naona hii biashara itanilipa.
Sasa nilikuwa nahitaji inakopatikana ile mikeka iliyoandikwa ZARI au ile ya milia. Ikiwa ni kiwandani au kwa Mchina itakuwa zaidi mana nahitaji kuuza jumla nipo Mtwara.
Natanguliza shukran.
"aah wapi, hayo mapiza na mabaga wanayokula na mimi ninae kula matembele vyote vitaishia kuwa mavi tumboni"
"usione mtu amekuwa tajiri kiasi hicho wewe, watu wanalala na nyoka kitandani, wewe unaweza?"
"usione dar hii watu wengi hali ngumu, lile sanamu la askari pale posta ndilo linalonyonya...
Habari zenu wadau wa jukwa la biashara.
Nakua hapa sintakosasaada wa ombi langu.
Ombi langu kwenu ni kutaka kufahamishwa ni sehemu Gani kwa Dar es salaam ambapo naweza kupata khanga na vitenge kwa Bei ya jumla,NAMI kwenda kuuza kwa Bei ya lejaleja.
Naomba msaada wenu tafadhari
Natanguliza...
Wakuu,
Nataka nifungue madai ya fao la kukosa ajira. Shida ni kwamba NSSF hawapokei simu wala kujibu emails.
Nimesikia kuwa siku hizi Madai ya NSSF yanafanyika Online kwa 100%. Hakuna haja ya kwenda Ofisini kwao.
Je, Kuna aliyewahi kutumia hii njia?
Attachment nilizonazo: Certificate of...
Wakuu,
Naomba wataalamu msisaidie,siku hizi imekuwa adimu sana kuwaona vipepeo kirahisi tofauti na hapo zamani.
Nataka niwavutie vipepeo shambani au kama kuna uwezekano wa kununua mbegu mahali nikawafuga ili kuongeza idadi yao, Je kuna mahali naweza kupata ili niwafuge au nitumie njia gani...
I am proud kwamba bado nikiwa kijana nime debunk utapeli wa dini na itikadi katika maisha yangu.
Thus kwa maana hio, nitakufa sio kama mtumwa wa kitu ambacho ili bidi babu yangu acharazwe viboko na kuteswa ndio akipokee.
Nitakufa nikijua, sijakubali itikadi yoyote ile ishinde utashi ulio asili...
“Uranium haiwezi kuwa na umuhimu kwa watu ambao hawajui afya zao zitarejeshwaje wakiugua. Watoto wao wanasoma mazingira ya duni.......”
Mfano hoja ya “wanaomezea mate madini ya uranium”. Kulikuwa na haja gani ya kuizungumza jukwaani wakati hao wanaomsikiliza wanashida ya maji toka dunia...
Somo la thread linajieleza,natafuta laptop computer zenye uwezo wa kati hasa zile nyembamba zenye screen pana,je ni maduka gani yako reputable kwenye uuzaji wa laptop nzuri,pia na hata bei ziwe reasonable
Habari wakuu, naombeni msaada wa haraka kwa ufafanuzi au ushauri.
Nimekua na passion ya kuja kufundisha vyuo vikuu kwa muda sasa, lakini kuna jambo linanitatiza hapa.
Undergraduate nilisoma Human Resources Management (GPA 3.2) Naomba izingatie hii GPA. Kozi hii haikuwa passion yangu, nilisoma...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.