nataka

Nataka is a village in Mirzapur, Uttar Pradesh, India.

View More On Wikipedia.org
  1. F

    JamiiForums Tanzania Mimi ni mzaliwa na raia wa Tanzania bara nataka kuwa raia wa Zanzibar, je inawezekana? Nifuate taratibu zipi?

    Mimi ni mzaliwa na raia wa Tanzania bara nataka kuwa raia wa Zanzibar, je inawezekana? Nifuate taratibu zipi?
  2. JamiiForums Tanzania Wapi ni sahihi kujenga nyumba ya Maisha kati ya Kigamboni Gezaulole au Goba?

    Wadau, Naomba ushauri au mawazo yenu. Nataka kununua kiwanja cha kujenga nyumba ya maisha, sasa kuna hizi sehemu mbili. Kigamboni Gezaulole na Goba. Ipi ni sehemu sahihi?
  3. JamiiForums Tanzania Nataka nitoke na wewe leo

    Ukitembea na pisi kali warembo wengine watakuwa wanajitongozesha wao wenyewe. Jumamosi iliyopita, nilipata mwaliko kutoka kwa mpenzi wangu (mchepuko) tukutane katika kiwanja fulani, angalau tuweze kubadilishana mawazo. Ilipofika saa nne usiku, ikabidi nifike eneo husika na bahati nzuri nayeye...
  4. JamiiForums Tanzania Mliobahatika kuacha unywaji wa pombe mlitumia formular gani?

    Wakuu Kiukweli I had a plan kuacha kunywa pombe this year ila nashindwa kabisa.mfano toka Wednesday ya week hii sijagusa kabisa pombe ila leo nimeamka na kiu ya hatari,nikaona nikajiboost kidogo.i feel sorry for me ,na natamani kuachana na hii addiction but nashindwa. Nyie wenzangu...
  5. F

    JamiiForums Tanzania Nataka kuacha kazi

    Wakuu kwema? Naombeni ushauri mimi nafanya kazi sehemu x ila nataka kuacha kazi sababu nalipwa 3000 kwa siku hiyo hiyo nifanyie Kila kitu kula, kodi, kuvaa yani Kila kitu nimefanikiwa kufanya ujanja ujanja mwingi kazin hadi nimesevu milion moja kwa miaka miwili ila Sasa ujanja unakuwaga na...
  6. JamiiForums Tanzania Nataka ninunue Pikipiki ila nahisi haitokuwa yangu

    Habari Wakuu, Nataka nivute Pikipiki kwaajili ya misele yangu hapa Town. Tatizo Nikiinunua itakuwa Pikipiki ya Washikaji tu. Muda wote naazimwa, Siwezi kupata muda mzuri wa kuinjoy nayo. Msaada, nifanyeje kuepuka Washikaji kuniazima Pikipiki mara kwa mara?
  7. N

    JamiiForums Tanzania Cocacola ya Ulaya ladha yake ni tofauti na za kwetu? Na iphone zao hazina line?

    1. Kwanini soda za pepsi na cocacola kule Majuu Yani Ulaya (sijajua kama ni nchi zote) eti ladha yake ni tofauti na za kwetu hapa bongo 2. Kwanini pia iPhone za hapa Bongo eti pia ni tofauti na za majuu ( kwao eti hazina sehemu ya kuwekea Laini😲) 3. Pia tekno za kwetu ni tofauti na za kwao...
  8. JamiiForums Tanzania Sincerely kwanini nataka Yanga SC ifike Fainali ya CAFCC na Ibebe kabisa na Ubingwa?

    1. Ili wana Simba SC tunaodanganywa kila mara mpaka kutuletea Mchezaji Mhamasishaji, Majeruhiwa, Mwanasiasa ( hasa za Michezo ), Mpiga Kura, Msanii na kufanywa Wapumbavu tuumbuke. 2. Ili Uongozi mbovu na wa Upigaji mwingi ubadilike au uachie ngazi. 3. Itufanye Mashabiki wa Simba SC kuachana na...
  9. T

    JamiiForums Tanzania Mpaka sasa Lissu hafai kuwa CHADEMA maana chama hicho ni CCM B, hakina tena mpango wa kupigania wananchi

    Maridhiano yaliyofanywa kati ya CCM na CHADEMA, kila mwenye akili timamu alijua mwisho wake Hao wenye akili na macho ya kuona kama kina Lissu, waliuona huo mchezo kwamba, hauna tija wala mwisho mwema katika kuitafuta dola kama chama cha upinzani! Yale yalikuwa maridhiano ya kuipozesha CHADEMA...
  10. N

    JamiiForums Tanzania Naomba Msaada kwa mtu yeyote anayefanya kazi ofisi za halmashauri ya Wilaya ya Serengeti kuna jambo nataka kuuliza!

    Ndugu zangu wana Jamiiforums, mimi ndugu yenu naomba kama kuna mtu yoyote humu anayefanya kaz ofisi za Halmashauri ya Wilaya ya Serengeti nahitaji nimfate DM tuzungmze nina shida ya muhimu sana Ahsanteni
  11. JamiiForums Tanzania Nataka niagize Dye za kurudisha rangi za nguo zilizopauka rangi na kuchuja, Nipeni mawazo yenu ya ziada kuhusu hii business idea kwa bongo

    Habari zenu wakuu, nimepitia pitia mitandao ya huko kwa wenzetu nimeona kwamba huwa kuna unga ama vimiminika vinarejesha rangi za nguo zilizopauka rangi. Kwa hapa kwetu nimeona nguo hasa hizi za dukani zina janga la kuondosha rangi hara sana waweza kununu aipo fresh ila ukifua nara mbili ama...
  12. JamiiForums Tanzania Week nzima nataka nitoe zawadi kali kwa wadada watano wa JF. Nimeguswa tu moyoni

    Well, nimewaza niwafanye nini wadada wa JF ambacho watanishukuru na kunikumbuka milele. Nikapata jibu. Mimi kiuchumi nipo vizuri. Sina shida ndogo ndogo maisha yangu ni uchumi wa juu wa kati. Sijafanikiwa bado kuwa uchumi wa juu wa juu. Ila si haba mambo mengi kwa kweli nayaweza. Tena nayaweza...
  13. JamiiForums Tanzania Nataka nifuge kondoo dume na mbuzi mkoa wa Tanga

    Habari Wana JF! Nataka nianzishe mradi wa kufuga kondoo dume pamoja na mbuzi dume kwa mkoa wa Tanga, ningependa kujua eneo zuri likiwa karibu na mjini itapendeza zaidi.. na mbinu na je italipa au.
  14. JamiiForums Tanzania Msaada: Nafikaje Ofisi za Uhamiaji Magomeni nikitokea Mabibo Sokoni?

    Wakuu mimi ni ngosha nimeingia daisalama nimeona mengi sana, nimeona barabara imejengwa juu ya barabara. Tuachane na hayo, nataka kwenda kwenye hiyo ofisi, nafikaje? Napanda magari ya wapi nashukia wapi. Amakweli ngosha aliijenga daisalama.
  15. JamiiForums Tanzania Nina kipato kwa mwezi nataka gari wewe unaleta kujua. Wengine hawataki ushauri ni maelekezo

    This is mei dei. Happy birthday dear workers world wide. Kwa wasiojua siku hii inazingatiwa na international labour organization- ILO. Niende kweny point yangu. Nilianza kuhangaikia maisha long ago. Age is so so so going fast. Nyumba yangu ya kupunzikia sio kulala. Ninayo. Watoto yesu...
  16. T

    JamiiForums Tanzania Ukiondoa Mawaziri, Wakurugenzi, wakuu wa Idara, mikoa na wilaya' wengine Serikali iwaagizie baiskeli ili kuokoa uchumi unaokufa

    Shalomu Tanzania' Kwanza, itasaidia sana, pesa nyingi zilizoelekezwa kununua magari ya viongozi, bajeti yake ielekezwe kwenye maendeleo. Bajeti ya kunywesha mafuta magari hayo kwa mwaka mzima, pia ielekezwe kwenye maendeleo na bajeti hiyo itumike kama nyongeza ya mshahara kwa wafanya kazi...
  17. S

    JamiiForums Tanzania Nataka kuhamia Kibamba naomba mwongozo

    Kwa wenyeji na wazoefu wa maeneo ya Kibamba nataka kuhamia huko. Naomba mnisaidie kufahamu ni Kibamba ipi nzuri kwa mtu anaeishi maisha ya kibachela na rahisi kwenda na kurudi katikati ya jiji. Pia namna gani naweza pata chumba au nyumba ya kupanga na bei zake zipoje, kwa nyumba standard iliyo...
  18. JamiiForums Tanzania Nataka kununua gari,kwa mtu aliyeuziwa na kampuni,hakubadili umiliki.

    Wazoefu naomba msaada,nataka kununua gari kwa jamaa,lakini yeye aliuziwa na kampuni,ila hakubadili jina,linasoma la kampuni,,documents za mauziano anazo,naomba kujua taratibu za kufuata wakuu.
  19. JamiiForums Tanzania Hallo Mbinguni, Nataka gari

    Kabla huja comment chochote tega sikio kwenye hii audio clip niliyo attach.
  20. B

    JamiiForums Tanzania Msaada wa mawazo: Nataka kuanza kilimo cha maharage

    Wakuu nawasalimu, Heri ya sikukukuu ya Pasaka. Kama kichwa cha habari kinavyojieleza naomba msaada nataka kuanza kilimo cha maharage na target yangu ni kupata gunia zisizopungua 100, naomba kusaidiwa ni hekali ngapi zitanifikisha katika hyo target? Palizi yake ni mara ngap, mavuno ni baada ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…