Nataka kufungua goli la Kitimoto Ujiji Kigoma

MSAGA SUMU

JF-Expert Member
May 25, 2015
6,491
20,455
Niko Ujiji natafuta Kitimoto siku nzima lakini wapi.
Nimeongea na wenyeji hapa wananiambia hata wenyewe asilimia karibia 70 wanamtumia shida huwa inakuwa ni wanaogopa macho ya watu kwa hiyo inabidi waende mbali kidogo.
Nataka kuwa nafanya delivery mpaka home unajifungia ndani na familia yako inapiga vitu.
Mdudu Kwanza Mambo mengine baadae.
 
Usifungulie Ujiji centre, itadoda kwa sababu ya walaji kuhofia macho ya watu.
Fungua mitaa mingine huko kustahi wateja kwa kuwapa privacy
 
Ujiji vimebaki vibabu na vibibi tu vijana wao wanaushi dar es Salam kuna itikadi za kiislam apo

Mashekh wa ujiji miaka ya zamani walifanyia hujuma sana wakati kanisa la kwanza katholiki linajengwa uko
 
Mbona Zipo nyingi tu? Kuna Jamaa yeye ana shamba kabisa na anawasafirisha pia. Uko sehemu Gani? Naelekea Kasulu muda huu.
 
Niko Ujiji natafuta Kitimoto siku nzima lakini wapi.
Nimeongea na wenyeji hapa wananiambia hata wenyewe asilimia karibia 70 wanamtumia shida huwa inakuwa ni wanaogopa macho ya watu kwa hiyo inabidi waende mbali kidogo.
Nataka kuwa nafanya delivery mpaka home unajifungia ndani na familia yako inapiga vitu.
Mdudu Kwanza Mambo mengine baadae.
Unatafuta kutupiwa jini siyo bure. Nenda Katubuka au hapo mjini nyuma ya NBC Bank utapata kitimoto
 
e7016483-06c9-4110-873e-53d9f8cfb2ed.jpg
 
2009 nilifik Mtwara nilishangaa kitimoto bei juu sana halafu inaliwa balaa! Hawa ndugu zetu nao ni washirika wazuri.
 
Back
Top Bottom