Topic ya shisha: Nipo Dynasty UNUNIO kufurahia salary, watu wanavuta shisha balaa nataka kujaribu

Jugado

JF-Expert Member
Oct 28, 2021
1,449
3,135
Vipi Ina raha Gani sijawahi jaribu kuvuta chochote sio sigara sio nini. .

N.b : ule uzi wa kuacha pombe Kwa miezi sita ushafeli napiga JB Mdogo mdogo nipo na yule mpangaji.
 
Hivi mnashindwaje kuacha pombe!? Very simple....

Nilimudu kuacha KWA maamuzi ya siku 1 tu, huu ni mwaka na nusu sasa....

Fegi nimeshindwa kuacha, niache vilevi vyote KWA pamoja namwachia nani!?

By the way usipende kujaribu jaribu KILA ulevi....

Kuna vilevi vingine vina uraibu wa kudumu....

It's very easy to get in! But very hard to get out of it!!!!

Ni USHAURI tu
 
Thanks sijagusa pombe nitawezaje inaniletea zogo sio kidogo
 
Huo uzoefu utakuwa uliupata baada ya wewe kuwa kiono wazi na kuwa na shanga! Right..?
Mtu akikuambia ili kwenda nje ya nchi unahitaji kuwa na passport haimaanishi kuwa yeye amewahi kwenda nje ya nchi.
Kama utang'ang'ania hicho ulicho comment maana yake unakubaliana na mimi kuwa wakati mnavuta Shisha ni kweli huwa mnaacha viuno wazi na lazima mvae shanga.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom