Ndugu zanguni heshima kwenu!
Jamani nimedondosha digital camera imekata kile kikaratasi kinachounganisha mawasiliano ya screen na camera yote, imesababisha camera ikiwaka kunakuwa na gizo tu kwenye kioo yaani kioo hakionyeshi kitu giza tu, na fundi ameshindwa kuunganisha, akanishauri ninunue...